YANGA WAMCHUNGE SANA HUYU MWAMBA LIGI YA MABINGWA
Mtangane kati ya CR Belouizdad wapinzani wa Yanga kwenye CAFCL kwa dakika 90 dhidi ya USM Alger umemaliziks na CR wamefungwa bao 2-1 wakiwa ugenini.…
Mtangane kati ya CR Belouizdad wapinzani wa Yanga kwenye CAFCL kwa dakika 90 dhidi ya USM Alger umemaliziks na CR wamefungwa bao 2-1 wakiwa ugenini.…
Mshambuliaji wa Timu ya Taifa ya Ghana, Black Stars, Raphael Dwamena amefariki dunia baada ya kuanguka uwanjani leo wakati wa mechi kati ya timu yake…
Habari mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam leo ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo
KOCHA Mkuu wa timu hiyo, Miguel Gamondi ameanza kuwafatilia CR Belouizdad ya Algeria kuona ubora wa wachezaji wake kwa ajili ya kukabiliana katika mchezo wa…
Kukaa kijanja ndio jambo ambalo unatakiwa kulifanya wikiendi hii ili uweze kupiga mkwanja wako wa kutosha, Kwnai wikiendi hii itapigwa michezo mingi katika madimba mbalimbali…
Saa chache ikitoka kupata ushindi wa nane wa Ligi Kuu Bara msimu huu ugenini dhidi ya Coastal Union, Kocha wa Yanga, Miguel Gamondi amewaita mastaa…
Kiungo Mshambuliaji wa Simba, Saidi Ntibazonkiza hayupo kwenye mipango ya klabu ya Simba kwa baada ya dirisha lijalo la usajili kupita na tayari klabu imempa…
Katika mastaa wapya tisa wa mwisho kusajiliwa na Simba wachezaji wenye viwango vya ukubwa wa klabu hiyo ni wawili tu, Che Malone na Fabrice Ngoma.…
Swali ni moja tu, Kwa mfano pale Yanga Khalid Aucho anaumia,Yanga wanaenda kucheza na CR BELOUZDAD ugenini, fikiria eneo la kiungo mkabaji atacheza nani na…
Taarifa za uhakika kutoka Yanga SC ni kwamba klabu hiyo inaufuatilia kwa karibu uongozi wa mshambuliaji Sankara William Karamoko (20) ili kupata saini yake katika…