Home Authors Posts by Staff Desk

Staff Desk

1810 POSTS 0 COMMENTS

YANGA WAMUIBUA KOCHA TABORA UNITED….. JAMBO LAFIKA TFF ISHU NZIMA IKO...

0
Kocha Mkuu wa Tabora United, Mserbia Goran Kopunovic amelalamikia kutopewa nafasi ya kuchezea uwanja wa nyumbani licha ya viongozi wa timu hiyo kutengeneza uwanja...

KASI YA BENCHIKHA YAWASHITUA MAKOCHA

0
Mechi nne alizokaa benchi kocha wa Simba, Abdelhak Benchikha zimetuliza upepo ndani ya timu hiyo na mashabiki kuanza kufurahia kinachoonyeshwa na mastaa wao uwanjani,...

MABOSI YANG WAFUNGUKA USAJILI WA MSUVA

0
Mshambuliaji wa timu ya taifa ya Tanzania, Saimon Msuva. WANANCHI kuna bomu wanataka kulitengeneza kupitia dirisha hili dogo la usajili nalo ni kushusha mashine...

VIGOGO HAWA WA SIMBA WANAPUMUA SASA BAADA YA MSALA HUU

0
Presha ilikuwa kubwa sana kwa wazee wangu wale wawili, Salim Abdallah ‘Try Again’ na Murtaza Mangungu ndani ya Simba Sports Club. Baada ya Simba kupitia...

SIMBA WAANZA KULITUMIA DIRISHA DOGO LA USAJILI, WAMBA ATUA NIGERIA

0
Imefahamika kuwa mabosi wa Simba SC wapo kwenye mazungumzo na winga wa klabu ya Sporting Lagos ya Nigeria, Jonathan Alukwu kufuatia maagizo ya kocha...

KUMBE UTEUZI WA HERSI UNAHUSISHWA NA MWAMBA HUYU

0
Wiki iliyopita kuna jambo liliripotiwa vibaya na baadhi ya vyombo vya habari na pia wachambuzi baadhi. Jambo lenyewe lilikuwa ni uteuzi wa Injinia Hersi Said...

KOMBE LA MAPINDUZI LAMVURUGA GAMONDI

0
Kocha Mkuu wa Yanga, Miguel Gamond amesema moja ya changamoto wanayokabiliana nayo ni uchovu wa wachezaji kutokana na kuwa na mechi za viporo sambamba...

ACHA KIPIGWE….KWA AZAM HII LAZIMA MSEME

0
Habari mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam leo ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo

SIMBA YANGANA MUELEKEO MPYA LIGI YA MABINGWA

0
Upepo umebadilika, vigogo Simba na Yanga sasa wana nguvu ya kupambana kutafuta tiketi ya kucheza robo fainali kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika, hatua ambayo...

YANGA YAMTEMESHA BUNGO KOCHA MADEAMA

0
BAADA ya kipigo cha mabao 3-0 kutoka kwa Yanga kwenye mchezo wa hatua ya makundi wa Ligi ya Mabingwa Afrika, uliochezwa Desemba 20, Medeama...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS