Home Authors Posts by Staff Desk

Staff Desk

1810 POSTS 0 COMMENTS

MNAHESABU LAKINI

0
Habari mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam leo ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo

GAMONDI AGÒMA KUZUNGUMZIA MECHI ZA KIMATAIFA AFUNGUKA HAYA

0
KOCHA Mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi amesema hataki kuongea lolote kuhusu mechi za hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika, badala yake ameweka...

KAZI IMEANZA CAFCL WAPINZANI WA YANGA WAMTIMUA KOCHA WAO

0
Klabu ya CR Belouizdad ya nchini Algeria imethibitisha kumfuta kazi Kocha wake mkuu, Sven Vandenbroeck kutokana na mwenendo mbaya wa matokeo wa kikosi hicho...

KWENYE HILI SIMBA MI BORA KULIKO YANGA

0
Mtangazaji na mchambuzi wa soka Prisca Kishamba, amesema Yanga SC, inakosa aina ya washambuliaji kama waliopo Simba SC. Prisca amesema, laiti ingekuwa na washambuliaji kama...

KUNA JOHN BOCCO MMOJA TU, MPENI MAUA YAKE

0
Kuna John Bocco mmoja tu nchini. Jamaa mmoja mrefu, ‘kauzu’ flani mwenye mzuzu kidevuni. Huyu ndiye nahodha wa Simba akitimiza msimu wa saba akiwa...

HII HAPA MIEZI MIWILI YA UBABE YANGA

0
Umebaki muda usiozidi wiki moja ili itimie miezi miwili tangu msimu wa soka wa 2022/2023 uanze hapa nchini na tayari umeshuhudia msisimko na mvuto...

YANGA SASA WAMETIMIZA MALENGO YAO SASA WATUONYESHE HILI TU

0
Yanga nafasi ya tatu kwa ubora barani afrika kwa mujibu wa Shirikisho la kimataifa la historia na takwimu za Mpira Duniani (IFFHS) pamoja na...

SIMBA, YANGA WAPEWA MBINU HIZI CAFCL

0
Simba na Yanga zimepangwa na vigogo kwenye makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika, lakini nyota wa zamani wa timu hizo wamezipa ujanja ili zitoboe...

ALLY KAMWE ATOA KAULI HII BAADA YA YANGA KUPANGWA KUNDI D

0
Baada ya Yanga kupangwa kundi “D” ya Ligi ya Mabingwa Afrika (CAFCL) ikiwa na Al Ahly, Belouizdad na Medeama Afisa Habari Yanga, Ally Kamwe...

KWANI MMENUNA

0
Habari mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam leo ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS