Home Authors Posts by Staff Desk

Staff Desk

1810 POSTS 0 COMMENTS

BENCHIKHA AWATULIZA WANASIMBA LICHA YA USHINDI AJA NA KAULI HII

0
Licha ya ushindi wa mabao 2-0 ambao Simba wameupata dhidi ya Wydad Casablanca lakini kocha mkuu wa timu hiyo, Abdelak Benchikha amesema kuwa bado...

UNAAMBIWA HUYO AYOUB WA SIMBA BADO HAJAANZA BALAA LAKE

0
Kocha wa makipa wa Simba, Dani Cadena amesema kiwango kinachoonyeshwa na kipa Ayoub Lakred ni asilimia ndogo na mashabiki wa kikosi hicho watarajie mambo...

PACOME ,SANKARA USO KWA USO CAFCL

0
Pacome Zouzoua ameendelea kuongeza akaunti ya mabao kwa kufikisha matatu nyuma ya Sankara Karamoko wa Asec Mimosas mwenye mabao manne, kwenye michuano ya Ligi...

MASTAA HAWA SIMBA WANAKUSANYA MAOKOTO KIMYA KIMYA

0
Simba kimya kimya ipo kwenye hatua za mwisho kusaini mastaa wapya kikosini hapo watakaoingia kwenye dirisha dogo la usajili lililowazi hadi Januari 15, mwakani. Wakali...

YANGA NA PACOME MPAKA AFCON

0
Nyota wa Yanga, Pacome Peodoh Zouzoua amejumuishwa kwenye kikosi cha awali cha wachezaji 53 wa Ivory Coast 'The Elephant' kitakachoingia kambini kuipambania bendera ya...

ENG HERSI AMPA NENO HILI GSM BAADA YA YANGA KUCHUKUA POINT...

0
Klabu ya Yanga imefanikiwa kuondoka na alama tatu katika mchezo wake dhidi ya Medeama katika michuano ya Klabu Bingwa Afrika. Katika mchezo huo ambao Yanga...

MNAHESABU HUKO? PACOME AFANYA BALAA ZITO

0
Habari mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam leo ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo

KWANI MLITAKAJE

0
Habari mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam leo ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo

SIMBA WASHINDWE WENYEWE MWAMBA KAVUNJA MKATABA HUKO

0
Kiungo wa klabu ya Union Touarga ya Morocco, Eric Mbangossoum mwenye umri wa miaka 23, amevunja mkataba na klabu hiyo hivyo ni dodo kwa...

SASA NI SIMBA NA REKODI HIZI ZA KIBABE KWA MKAPA

0
Baada ya kumaliza kipindi cha kwanza cha ikiwa inaongoza kwa mabao 2-0, dhidi ya Wydad Casablanca, Simba imefanikiwa kuweka rekodi tofauti tofauti. Kwanza ndio imekuwa...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS