BAADA YA AZIZ KI KUBEBWA NA WAARABU….PACOME AJIANDAE KWA HAYA NDANI YA YANGA….
KUONDOKA kwa Stephane Azizi Ki Yanga kumeibua jambo kwa staa wa timu hiyo, Pacome Zouzoua. Azizi Ki ameuzwa kwenda Wydad Casablanca ya Morocco na tayari ameshaondoka nchini kujiunga na klabu hiyo inayojiandaa na Kombe la Dunia la Klabu. Kocha wa Asec Mimosas, Julie Chevalier, ametabiri kitakachomtokea Pacome ndani ya Yanga baada ya kuondoka kwa Azizi KI. Chevalier amesisitiza kuwa hiyo ni fursa...
ODDS KUBWA ZA KUKUPATIA MSHIKO ZIPO MERIDIANBET…
Mechi za ushindi zinakusubiri wewe pekee, Laliga, Serie A, na zingine zinaendelea ambapo nafasi ya kuibuka mshindi unayo leo. Tengeneza jamv lako na ufurahie maokoto leo. Meridianbet ilianza kuitazama ligi kuu ya Italia kule SERIE A ambapo mechi kadhaa zitapigwa Bologna atakiwasha dhidi ya Genoa ambao wanashika nafasi ya 13, huku wenyeji wao wakiwa nafasi ya 8. Nafasi ya kuondoka...
MERIDIANBET YAPIGA HATUA KUBWA KATIKA ULINZI WA MAZINGIRA
Kampuni inayozingatia jamii na mazingira yazidi kujidhihirisha kama kiongozi wa kweli wa uwajibikaji wa kijamii barani Afrika na Ulaya Katika dunia inayokumbwa na changamoto nyingi za mazingira na kijamii, Meridianbet inazidi kujitokeza kama moja ya kampuni chache zinazochukua hatua halisi badala ya ahadi tu. Ikiwa sehemu ya kampuni mama ya Golden Matrix Group (NASDAQ: GMGI), Meridianbet imeanza mwaka 2025 kwa kasi...
CHUKUA CHAKO MAPEMA LEO…ODDS ZA USHINDI HIZI HAPA…
Kama kawaida leo hii ni siku ya kutusua na wakali wa ubashiri Meridianbet ambapo leo hii odds za kijanja zinapatikana hapa. Suka jamvi lako la ushindi na unufaike leo. Leo hii pale SERIE A Italia kuna mechi mbili kali sana ambazo zinaenda kuamua hatma ya ubingwa wa timu mbili moja kabisa, SSC Napoli watakuwa na kibarua cha kukupiga dhidi ya...
KUELEKEA MECHI YA FAINAL YA CAF J/PILI HII….CHE MALONE ‘AJIPA UMUHIMU’ SIMBA….
BEKI wa kati wa Simba SC, Che Malone Fondoh, ameweka bayana dhamira ya kikosi chao kubadilisha matokeo ya mchezo wa kwanza dhidi ya RS Berkane na kuandika historia mpya katika mchezo wa marudiano wa fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika. Simba watakuwa wenyeji wa Berkane katika uwanja wa New Amaan Complex, Zanzibar, Jumapili Mei 25, wakihitaji ushindi wa mabao 3-0...
SIMBA:- UBINGWA WETU CAF TUNAMPA RASI MWINYI…..
KATIKA hekaheka za maandalizi kuelekea mchezo wa marudiano wa fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika, klabu ya Simba imedhihirisha dhamira yake ya dhati kuhakikisha historia haijirudii. Ni dhamira iliyojaa heshima, kumbukumbu na kiu ya mafanikio ambayo yamecheleweshwa kwa zaidi ya miongo mitatu. Mnamo mwaka 1993, Simba ilifika hatua ya fainali ya mashindano ya Afrika, na mgeni rasmi katika mchezo huo...
MAKOCHA WALIOFUNGWA NA RS BERKANE WAITONYA SIMBA….FADLU ASHINDWE MWENYEWE TU….
SIMBA ina deni la mabao 2-0 dhidi ya RS Berkane lililotokana na kupoteza mechi ya kwanza ya fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika iliyochezwa Jumamosi iliyopita mjini Berkane, Morocco. Marudiano ya mechi hiyo ni Jumapili hii kwenye Uwanja wa New Amaan Complex, Zanzibar ambapo anachokifanya kocha wa Simba, Fadlu Davids hivi sasa ni kuumiza kichwa ni namna gani apange kikosi...
MSHAHARA WA AZIZ KI HUKO WYDAD NI KUFURU NA NUSU….JAMAA ANAlIPWA KIULAYA ULAYA…
DILI la kiungo mshambuliaji wa Yanga, Stephane Aziz KI, kwenda Wydad Casablanca ya Morocco, limezidi kuutunisha mfuko wake kutokana na kile ambacho atakuwa akilipwa kwa mwezi. Nyota huyo raia wa Burkina Faso, anakwenda kujiunga na Wydad baada ya kukitumikia kikosi cha Yanga kwa mafanikio makubwa katika misimu mitatu, tangu Julai 15, 2022. Kitendo cha Aziz KI kukubali dili la kutua Wydad,...
GATES OF OLYMPIA – MLANGO WA USHINDI UMESHAFUNGULIWA…
Jukwaa la mabingwa wa michezo ya kubahatisha Tanzania, linakuletea mchezo mpya wa kisasa na wa kuvutia: GATES OF OLYMPIA. Ukiwa umejengwa kwa hadithi ya Kigiriki, mchezo huu unakuweka uso kwa uso na mungu wa radi Zeus, huku akikusambazia zawadi, spins na multipliers za ajabu! 🌟 KWA NINI UCHEZE GATES OF OLYMPIA KWENYE MERIDIANBET? 🌀 Ushindi Mkubwa, Bila Kisingizio: Mchezo huu una...
LIGI IKIELEKEA KUISHA…MASTAA HAWA SIMBA , YANGA MGUU NDANI MGUU NJE….
LIGI Kuu Bara ipo ukingoni kwa sasa ikiwa imesaliwa na mechi za raundi tatu kabla ya msimu kufikia tamati Juni 22, huku mbio za ubingwa zikisalia kwa vigogo Simba na Yanga tu, ilihali Azam FC na Singida Black Stars zikichuana kuwania nafasi ya tatu inayotoa tiketi ya kushiriki Kombe la Shirikisho Afrika. Eneo la mkiani, baada ya KenGold kushuka daraja...