MBALI NA KUIKOSA YANGA, MECHI NYINGINE AMBAZO MORRISON ATAKOSA HIZI HAPA

0

 NYOTA wa Simba, Bernard Morrison huenda ataukosa mchezo wa Ligi Kuu Bara utakaoihusu timu yake ya zamani ya Yanga unaotarajiwa kuchezwa Novemba 7, Uwanja wa Uhuru. Morrison mwenye pasi moja ya bao kati ya 14 yaliyofungwa na Simba kwa msimu wa 2020/21, alionekana akimpiga ngumi mchezaji wa Ruvu Shooting, Juma Nyosso kwenye mchezo huo uliopigwa Uwanja wa Uhuru wakati timu...

KOCHA SIMBA ATAJWA KUWA TATIZO LA VICHAPO MFULULIZO

0

 ALIYEWAHI kuwa kocha wa Simba, Jamhuri Kihwelo ‘Julio’ amemtaja kocha wa timu hiyo, Sven Vandenbroeck kuwa ndio chanzo cha matokeo mabaya kwenye michezo miwili iliyopita. Simba imepoteza mchezo wa pili mfululizo baada ya awali kufungwa dhidi ya Tanzania Prisons bao 1-0 kisha Ruvu Shooting bao 1-0, ikiwa nafasi ya nne ya msimamo wa ligi ikibaki na pointi zake 13, baada...

KUMBE KAZE ALIKUWA KWENYE HESABU ZA SIMBA

0

 IMEELEZWA kuwa Kocha Mkuu wa Yanga wa sasa, Cedric Kaze alikuwa kwenye hesabu za mabosi wa Simba baada ya kumchimbisha Patrick Aussems kwenye nafasi hiyo msimu uliopita na nafasi yake kuchukuliwa na Sven Vandenbroeck.Sven ambaye aliikuta timu ikiwa inaongoza ligi aliendelea pale ambapo Aussems maarufu kama Uchebe alikuwa ameishia na alifanikiwa kutwaa taji la Ligi Kuu Bara pamoja na...

MANCHESTER UNITED YAMPIGA MTU MKONO

0

 USIKU wa kuamkia leo Manchester United imeibuka na ushindi wa mabao 5-0 dhidi ya RB Leipzig kwenye mchezo wa UEFA hatua ya makundi.Manchester United iliyo kundi H imecheza mchezo wake wa pili na kuibuka na ushindi huo mnono Uwanja wa Old Trafford. Kwa ushindi huo wanakuwa ni vinara wa kundi H baada ya kucheza mechi mbili na kushinda zote hivyo...

SVEN WA SIMBA ANA MTIHANI MZITO MWINGINE TENA MBELE YAKE

0

SVEN Vandenbroeck, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa makosa ambayo wameyafanya kwenye mechi mbili zilizopita watayafanyia kazi kwenye mechi zao zijazo ili kuweza kupata matokeo chanya.Kocha huyo ana mtihani mgumu mwingine mbele yake wa kusaka pointi tatu mbele ya Mwadui FC ambao msimu uliopita kwenye mchezo wa ligi walipokutana mara ya kwanza Simba ilipoteza kwa kufungwa bao 1-0.Simba imekwama...

MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA SPOTI XTRA ALHAMISI

0

 MUONEKANO wa ukurasa wa mbele Gazeti la SPOTI XTRA Alhamisi.

RUVU SHOOTING: UWEZO WA SIMBA NI MDOGO,PIRA BIRIANI SASA LITAKUWA KACHORI

0

 MASAU Bwire, Ofisa Habari wa Ruvu Shooting amesema kuwa uwezo wa timu ya Simba inayojiita ina kikosi kipana ndani ya uwanja ni mdogo jambo ambalo liliwafanya wawafunge bao 1-0 Uwanja wa Uhuru, Oktoba 26.Ruvu Shooting iliendelea kupiga pale ambapo Simba iliumia baada ya kutoka kupoteza kwa kufungwa bao 1-0 dhidi ya Tanzania Prisons mchezo wa Ligi Kuu Bara ambao...

MWADUI FC YAIPIGA MKWARA SIMBA

0

 KHALID Adam, Kocha Mkuu wa Mwadui FC amesema kuwa baada ya wachezaji wake kupokea zigo la mabao 6-1 mbele ya JKT Tanzania wakiwa nyumbani wamejipanga kuibukia mbele ya Simba, Oktoba 31, Uwanja wa Uhuru.Mwadui FC yenye pointi tisa ikiwa nafasi ya 14 imecheza mechi 8 inakutana na Simba ambayo imecheza jumla ya mechi saba na ina pointi 13 ikiwa...

NYOTA WATATU WA YANGA KUIKOSA BIASHARA UNITED

0

 NYOTA watatu wa kikosi cha Yanga kinachonolewa na Kocha Mkuu, Cedric Kaze huenda wakaukosa mchezo dhidi ya Biashara United unaotarajiwa kuchezwa Oktoba 31.Yanga ina kibarua cha kusaka pointi tatu mbele ya Biashara United inayonolewa na Francis Baraza Uwanja wa Karume baada ya kumalizana na KMC kwa kuichapa mabao 2-1.Wachezaji hao ni pamoja na Carlos Carlinhos ambaye anatibu jeraha lake la...

MWENDO WA FRANCIS BARAZA NDANI YA BIASHARA UNITED

0

 FRANCIS Baraza, Kocha Mkuu wa Biashara United ndani ya msimu wa 2020/21 amekuwa ni miongoni mwa makocha ambao wameanza mwendo wa kusaka matokeo vizuri ndani ya Ligi Kuu Bara.Kwa sasa ikiwa imecheza jumla ya mechi 8, imeshinda mechi tano, sare moja na imepoteza jumla ya mechimbili ambapo imefungwa jumla ya mabao saba.Licha ya kwamba ipo nafasi ya tatu na...