BEKI MWENYE MIAKA 32 TOKA IVORY COAST AHUSHISHWA KUMALIZANA NA SIMBA, WAKALA WAKE AFUNGUKA

0

Imeelezwa  kuwa beki wa kati anayekipiga katika klabu ya Es Metlaoui ya Tunisia, Ange Bares ameingia katika rada za kusajiliwa na Simba.Beki huyo mwenye umri wa miaka 32 na raia wa Ivor Coast ameingia kwenye rada hizo ikiwa ni moja ya mapendekezo ambayo Kocha Patrick Aussems aliyataka ya kuhitaji beki mmoja katika nafasi hiyo.Taarifa zinasema beki huyo aliwahi kuvichezea...

TIMU SAMATTA, KIBA HAPATOSHI LEO TAIFA

0

LEO Jumapili hutakiwi kukosa pale Uwanja wa Taifa kwani mastaa Mbwana Samatta na Ally Saleh Kiba na timu zao watakuwa wakionyesha umwamba katika mchezo maalum uliopewa jina la Nifuate huku kila upande ukitamba kuwa lazima ushinde.Mchezo huo ni maalumu, umeratibiwa na Samakiba Foundation kwa lengo la kuhakikisha wanarudisha shukrani zao kwa jamii yote hususani ile yenye mahitaji maalum na...

NIYONZIMA AVUNJA UKIMYA SIMBA

0

Kiungo machachari wa Simba, Mnyarwanda Haruna Niyonzima, amevunja ukimya kuwa mpaka sasa uongozi wa timu hiyo haujazungumza naye ishu yoyote ya kuongeza mkataba na kwamba hilo halimtishi kwani ana ofa kibao.Niyonzima alijiunga na Simba misimu miwili iliyopita akitokea Yanga, alianza kazi Msimbazi kwa kusuasua kutokana na majeraha kabla ya kuibuka hivi karibuni na kuonyesha kiwango kizuri.Kwa sasa mkataba wake...

KKUNGO HATARI MPYA YANGA AAHIDI KUMALIZA KAZI NA TSHISHIMBI

0

BAADA ya juzi kusaini mkataba wa miaka miwili ya kuichezea Yanga, kiungo mshambuliaji mpya Mnyarwanda, Issa Bigirimana ‘Walcott’ amemuulizia Ibrahim Ajibu akitaka kujua anabaki au anaondoka Jangwani.Bigirimana alisaini mkataba huo juzi baada ya kufi kia makubaliano mazuri na viongozi wa Yanga kabla ya kumpa mkataba huo akitokea APR ya Rwanda aliyokuwa anaichezea.Bigirimana alisema kuwa, anavutiwa na wachezaji wengi Yanga,...

MUONEKANO WA GAZETI LA SPOTI XTRA KATIKA UKURASA WA MBELE LEO JUMAPILI

0

MUONEKANO WA GAZETI LA SPOTI XTRA KATIKA UKURASA WA MBELE LEO JUMAPILI

ALIKIBA AUNGANA NA CHUMA ‘ MEDDIE KAGERE’ KUMMALIZA SAMATTA LEO, TAZAMA TIZI LAO – VIDEO

0

Msimu mpya wa 'Nifuate' ya msanii, Alikiba na mwanasoka, Mbwana Samatta imekuja kivingine huku wakitambiana kuelekea mchezo wao wa hisani, Juni 2 utakaochezwa Uwanja wa taifa jijini Dar es Salaam.Viingilio katika mchezo huo ni Sh.2000 kwa viti vya mzunguko, eneo maalumu yani vip B ni Sh.2000 huku maalumu zaidi 'Champion' ikiwa Sh. 5000.Nifuate ni kampeni maalumu imeanzishwa na mastaa...

HII SASA NI BALAA, YANGA YASAINI TISA WAPYA, SIMBA MNATOKAJE- VIDEO

0

Yanga imepania acheni utani jamani, hii ni kutokana na usajili wanaoendelea kuufanya na tayari wamekamilisha saini za wachezaji tisa kati hao sita kutoka nje ya nchi na wawili wazawa.Timu hiyo imemalizana na mastaa tisa ambao tayari wamesaini mikataba ya miaka miwili kila mmoja  na kati ya hao yupo kipa wa Bandari, Farouk Shikalo.