NAHODHA MANCHESTER UNITED: TUNAPINGWA KWA SABABU YA WIVU
NAHODHA wa Klabu ya Manchester United, Harry Maguire anaamini kuwa kinachoitesa kwa sasa timu hiyo ni kupitia kipindi cha mpito cha kupingwa na baadhi ya watu wenye wivu wa kuona mafanikio ya haraka ndani ya timu hiyo.Jana Novemba 7, Maguire alikuwa kwenye kikosi cha Manchester United kilichoibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Everton kwenye mchezo wa Ligi...
KLOPP APATA HOFU KUIKABILI MANCHESTER CITY
KOCHA wa Liverpool, Jurgen Klopp amesisitiza kuwa leo atakuwa na kazi ngumu kwani kucheza na Manchester City huwa kuna ugumu kati yao. Leo Jumapili,Novemba 8 Man City itavaana na Liverpool kwenye Uwanja wa Etihad ukiwa ni mchezo wa Ligi Kuu England. Msimu uliopita kwenye Uwanja wa Etihad, Man City aliibuka na ushindi wa mabao 4-0, huku walipokutana Anfield, Liverpool alishinda 3-1.“Aina...
ILE PENALTI YA YANGA,MH NDANI YA SPOTI XTRA JUMAPILI
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele gazeti la Spoti Xtra Jumapili lipo mtaani jipatie nakala yako
LEO NI KAMA FAINALI KWA TANZANITE
Na Mwandishi Wetu, Port Elizabeth Kikosi cha timu ya taifa ya wanawake ya Tanzania chini ya miaka 17 kinacheza mechi yake ya tatu ya michuano ya Cosafa leo jijini Port Elizabeth.Mechi hiyo ni dhidi ya wenyeji Afrika Kusini na inakua ni sawa na fainali kwa kuwa kama wakipoteza leo basi watakuwa wameaga mashindano kwa asilimia 90.Wanachotakiwa ni kushinda leo dhidi...
SIMBA :HAIKUWA MIPANGO YETU KUPATA SARE MBELE YA YANGA
SVEN Vandenbroeck, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa kupata sare ya kufungana baoa 1-1 dhidi ya Yanga jana Novemba 7 haikuwa kwenye mpango wake wa kazi.Simba wakiwa ugenini walikubali kugawana pointi mojamoja na watani zao wa jadi Yanga ambao walikuwa ni wenyeji kwenye mchezo huo.Michael Sarpong alianza kupeleka maumivu kwa Simba dakika ya 31 kwa mkwaju wa penalti na...
KAZE: MAMBO YALIKUWA MAGUMU KIPINDI CHA PILI
KOCHA Mkuu wa Yanga, Cedric Kaze amesema kuwa wachezaji wake jana Novemba 7 walionyesha bidii kwenye kuska matokeo kipindi cha kwanza ila mambo yalibadilika kipindi cha pili na kuwa magumu kwetu.Yanga ilianza kufunga bao la kwanza kupitia kwa Michael Sarpong dakika ya 31 kwa mkwaju wa penalti ikiwa ni bao lake la kwanza ndani ya Yanga kwenye mchezo wake...
THIERY:HAKUNA MAANDALIZI KWA SASA NDANI YA NAMUNGO
HITIMANA Thiery Kocha Mkuu wa Namungo amesema kuwa kwa sasa timu yake ipo mapumziko kwa kuwa ligi imesimama kwa muda kupisha maandalizi ya timu za taifa kwa ajili ya mechi za Afcon.Akizungumza na Saleh Jembe, Thiery amesema kuwa wakati huu hakuna program ambayo inaendelea kutokana na ligi kusimama."Kwa sasa hakuna kinachoendelea kuhusu maandalizi kwa kuwa ligi imesimama hivyo ligi...
SIMBA YABANWA MBAVU KWA MKAPA NA YANGA, YAAMBULIA POINTI MOJA
MABINGWA watetezi Simba chini ya Kocha Mkuu, Sven Vandenbroeck leo, Novemba 7 wamebanwa mbavu Uwanja wa Mkapa wakiwa na nyota wao namba moja Clatous Chama.Yanga ilianza kupata bao la kwanza kupitia kwa Michael Sarpong dakika ya 31 kwa penalti baada ya Tusisila Kisinda kuchezewa faulo nje kidogo ya 18 na nyota Joash Onyango na mwamuzi Abdalah Mwinyi Mkuu kuamua...
LIVE: YANGA 1-0 SIMBA
Dakika 45 zimekamilika zimeongezwa dk 2Yanga 1-0 SimbaDakika ya 40 Mnata anapewa huduma ya kwanzaDakika ya 31 Michael Sarpong Gooooal penaltiDakika ya 28 Kisinda anachezewa faulo na Onyango Yanga wanapata penatiDakika 15 zinakamilika hakuna timu iliyoona lango la mwenzake ndani ya Uwanja wa MkapaDakika ya 14 Farid Mussa anampa pasi Kisinda ambaye anafanya jaribio linaokolewa na ManulaDakika ya 11...
RASMI, KIKOSI CHA SIMBA V YANGA, CHAMA MAJERUHI NDANI
KIKOSI cha Simba leo kitakachoanza dhidi ya Yanga Uwanja wa Mkapa Novemba 7, majeruhi Clatous Chama kwa mujibu wa Kocha Mkuu Sven Vandenbroeck naye ndani:-1.Aish Manula2.Shomari Kapombe3.Mohamed Hussein4.Pascal Wawa5.Joash Onyango6.Jonas Mkude7.Luis Miqussone8.Clatous Chama9.Mzamiru Yassin10,John Bocco11. Lary BwalyaWachezaji wa akiba12. Beno Kakolanya13.Gadiel14.Ame15.Dilunga16.Ajibu