MITAMBO YA KUTENGENEZA MABAO NDANI YA YANGA V SIMBA HII HAPA
TARATIBU siku zinazidi kuyeyuka kuweza kuifikia ile dabi ambayo awali ilipaswa ichezwe Oktoba 18 ila sasa itachezwa Novemba 7.Kwa sasa ni siku 15 zimebaki kabla ya Yanga na Simba kukutana Uwanja wa Mkapa. Kikubwa kinachotazamwa ni nani ataibuka mshindi.Hapa mitambo ya kutengeneza mabao ndani ya timu hizo mbili ambayo itakuwa na kazi ya kusaka rekodi mpya namna hii:-Hawa hapa...
JUMA ABDUL AWACHAMBUA MABEKI WA YANGA
BEKI wa kulia wa zamani wa Yanga, Juma Abdul amesema kuwa safu ya ulinzi ya Yanga imetimia kwa ajili ya kupambana na washambuliaji wanaocheza katika ligi kuu kwa kuwa ni imara. Juma Abdul baada ya kuondoka Yanga kwa sasa anakipiga katika Klabu ya Inden FC inayoshiriki Ligi Kuu ya nchini Zambia. Beki huyo amesema kuwa amewatazama mabeki wote ambao wapo katika...
YANGA V POLISI TANZANIA KAZE ANA KAZI KWA MALALE
KIKOSI cha Polisi Tanzania kinachonolewa na mzawa, Malale Hamsini leo Oktoba 22 kitashuka Uwanja wa Uhuru saa 10:00 kusaka pointi tatu dhidi ya Yanga.Malale anakumbukumbu ya kuwaongoza vijana wake kwenye sare ya kufungana na bao 1-1 na Gwambina FC mchezo wake uliopita anakutana na Cedric Kaze raia wa Burundi ambaye leo inakuwa ni mechi yake ya kwanza kukaa kwenye...
KAGERE ATUMA UJUMBE HUU KWA WANASIMBA
NYOTA wa Simba, Meddie Kagere ametoa kauli ya matumaini kwa kusema yupo kwenye muda wa 'kurikava' majeraha yake ambapo baada ya muda atarejea katika majukumu yake. Kagere ameongeza kwamba kwa kipindi hiki anapumzika kwa ajili ya kujiweka salama baada ya kupata majeraha kwenye mechi iliyopita mbele ya JKT Tanzania. Mchezo huo uliochezwa Uwanja wa Jamhuri, Dodoma, Simba ilishinda kwa mabao 4-0...
YANGA KUWAKOSA WATATU LEO, MUANGOLA NAYE HATIHATI,POLISI TANZANIA MMOJA
HUENDA kiungo mshambuliaji wa Yanga, Carlos Carlinhos raia wa Angola akaukosa mchezo wa leo Oktoba 22 dhidi ya Polisi Tanzania kwa kuwa anasumbuliwa na majeraha ya enka.Kocha Mkuu wa Yanga, Cedric Kaze amesema kuwa atawakosa wachezaji watatu leo kwenye mchezo wake wa kwanza ambao anatarajiwa kuwa kwenye benchi la ufundi baada ya kusaini dili la miaka miwili akirithi mikoba...
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA SPOTI XTRA ALHAMISI
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Spoti Xtra Alhamis
RATIBA YA LIGI KUU BARA LEO OKTOBA 22, YANGA NA SIMBA KAZINI
LEO Oktoba 22, Ligi Kuu Bara inaendelea ambapo timu nne zitakuwa kwenye viwanja viwili tofauti kusaka pointi tatu muhimu.Yanga itakuwa Uwanja wa Uhuru saa 10:00 jioni kumenyana na Polisi Tanzania mchezo wa ligi. Timu ya Polisi Tanzania imetoka kulazimisha sare ya kufungana bao 1-1 dhidi ya Gwambina FC mchezo wao uliopita huku Yanga ikitoka kushinda mabao 3-0 dhidi ya...
TANZANIA PRISONS: TUMEWAFUNGA MARA NYINGI SIMBA, TUTAWAFUNGA TENA
LEO, Tanzania Prisons itawakaribisha Simba kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara unaotarajiwa kuchezwa majira ya saa 10:00 jioni.Tanzania Prisons wamewaambia Simba kwamba watawafunga leo Uwanja wa Nelson Mandela kwa kuwa wamewafunga mara nyingi.Rekodi zinaonyesha kwamba mchezo wa leo utakuwa na ushindani mkubwa kutokana na timu hizi matokeo yao kutotabirika mpaka dakika 90 zitakapokamilika.Kwa misimu miwili iliyopita wakiwa wamekutana mara...
FURAHA YA MTAMBO WA MABAO NDANI YA LIGI KUU BARA IMEJIFICHA HAPA
MASHINE ya mabao ya Azam FC, Mzimbabwe Prince Dube amefunguka kuwa furaha yake ni kuona timu inashinda kwenye mechi ambazo wanacheza ndani ya ligi. Nyota huyo amekuwa kwenye ubora wake ndani ya Azam FC inayofundishwa na Kocha Mkuu, Aristica Cioaba kwa kuwa ni kinara wa kufunga na kutoa pasi za mwisho ndani ya Azam FC.Pia kiujumla kwenye Ligi Kuu Bara...
C7 MUGALU WA SIMBA ATAKIWA KUFUNGA MABAO MENGI
KOCHA Mkuu wa Klabu ya Simba, Sven Vandenbroeck amempa kazi maalum mshambuliaji wake raia wa DR Congo, Chris Mugalu, kuhakikisha anatumia kila nafasi ambayo anaipata kuifungia timu hiyo mabao mengi zaidi. Mugalu anayekamatia nafasi ya nne kwenye chati ya wafungaji msimu huu na mabao yake matatu, amekuwa kwenye kiwango bora tangu ajiunge na Simba ambapo Jumamosi iliyopita alifunga mabao mawili...