MATOKEO YA MECHI ZA JANA
MATOKEO YA SOKA JANA JUMANNE 20.10.2020UEFA Champions League FT Chelsea 0 - 0 Sevilla FT Rennes 1 - 1 FC KrasnodarFT Zenit St. Petersburg 1 - 2 Club BruggeFT Lazio 3 - 1 Borussia DortmundFT Dynamo Kyiv 0 - 2 JuventusFT Barcelona 5 - 1 FerencvarosFT Paris Saint-Germain 1 - 2 Manchester UnitedFT RasenBallsport Leipzig 2 - 0 Istanbul BasaksehirEngland -...
KOCHA MANCHESTER UNITED: TULISTAHILI USHINDI
OLE Gunnar Solskjaer, Kocha Mkuu wa Manchester United amesema kuwa walistahili ushindi usiku wa kuamkia leo mbele ya PSG kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Ulaya wakati wakiibamiza mabao 2-1 PSG.Mchezo huo uliochezwa Uwanja wa Parc des Prinnces jumla yalifungwa mabao matatu yote yalifungwa na wachezaji wa timu ya Manchester United.Bruno Fernandes alianza kufunga bao la kwanza dakika ya...
MUZIKI WA TANZANIA PRISONS WAIPA PRESHA SIMBA
UONGOZI wa Simba umesema kuwa mchezo wao dhidi ya Tanzania Prisons kesho sio mwepesi kutokana na uimara wa wapinzani wao hao ambao kwa sasa wanatumia Uwanja wa Nelson Mandela, Rukwa.Simba ambao ni mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Bara wana kibarua cha kusaka pointi tatu mbele ya Prisons kesho, ikiwa ni mchezo wao wa sita ndani ya ligi.Ofisa Habari wa...
YANGA YAZIPIGIA HESABU POINTI TATU ZA POLISI TANZANIA
UONGOZI wa Yanga umesema kuwa upo tayari kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu Bara utakaochezwa kesh, Oktoba 22, Uwanja wa Uhuru dhidi ya Polisi Tanzania.Mchezo huo ni wa raundi ya sita kwa Yanga unatarajiwa kuwa na ushindani mkubwa kutokana na rekodi za timu hizi mbili kwa msimu uliopita wa 2019/20.Kwenye mechi mbili ambazo walikuwa wanasaka pointi sita kila...
AMRI SAID WA MBEYA CITY AFUTWA KAZI
AMRI Said, aliyekuwa Kocha Mkuu wa Mbeya City amefutwa kazi Oktoba 20 kutokana na timu kutokuwa na mwendo mzuri msimu wa 2020/21.Kwa sasa timu itakuwa chini ya Kocha msaidizi Mathias Wandiba.Mchezo wake wa mwisho ilikuwa jana Oktoba kukaa Kwenye benchi na timu ya Mbeya City ilipoteza kwa kufungwa mabao 2-1 dhidi ya Mwadui FC.
YANGA YATUA KWA KIUNGO WA KAIZER CHIEFS
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Championi Jumatano
SIMBA; KUTOLEWA MAPEMA LIGI YA MABINGWA NI SOMO KWETU
CLATOUS Chama, kiungo wa Klabu ya Simba raia wa Zambia amesema kuwa kuondolewa kwa timu hiyo msimu uliopita kwenye michuano ya kimataifa ni somo kwao wanaamini watapambana msimu huu kufanya vizuri.Simba msimu wa 2019/20 iliondolewa kwenye hatua ya awali kwenye michuno ya Ligi ya Mabingwa Afrika, tofauti na msimu wa 2018/19 ilipoweza kuandika rekodi ya kutinga hatua ya robo...
PRINCE DUBE AIPOTEZEA TUZO YA MEDDIE KAGERE
PRINCE Dube, kinara wa utupiaji ndani ya Ligi Kuu Bara amesema kuwa kwa sasa hana hesabu na tuzo ya kiatu cha ufungaji bora kwa kuwa kitamtoa kwenye ramani ya kupambania timu yake ya Azam FC kufikia malengo ya kuweza kutwaa ubingwa.Tuzo ya kiatu bora ambayo Dube ameipotezea ipo mikononi mwa Meddie Kagere mshambuliaji namba moja wa Simba ambaye alitwaa...
NYOTA SABA KUKOSEKANA KESHO TANZANIA PRISONS V SIMBA
KLABU ya Simba inayonolewa na Kocha Mkuu, Sven Vandenbroeck raia wa Ubelgiji pamoja na mzawa Seleman Matola ambaye ni kocha msaidizi kesho, Oktoba 22 itakosa huduma ya nyota sita wa kikosi cha kwanza.Simba itamenyana na Tanzania Prisons kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara ikiwa kwao ni raundi ya sita baada ya kucheza mechi tano za ligi na Prisons wao...