SIMBA NA YANGA ZAGONGANA KWA NYOTA HAWA WAKAZI

0

INAELEZWA kuwa msimu ujao Klabu ya Namungo itakuwa na kazi ya kusuka kikosi chake upya kutokana na mitambo yake mitatu ya kazi kwa sasa kuwekwa kwenye rada za vigogo wa Dar.Lukas Kikoti mwenye mabao manne, Bigirimana Blaise mwenye mabao 10 na Relliants Lusajo mwenye mabao 11 wamehusika kwenye mabao 25 kati ya 36 yaliyofungwa.Lusajo na Blaise inaelezwa kuwa wapo...

MSIMAMO WA LIGI KUU TANZANIA BARA UPO NAMNA HII

0

Msimamo wa Ligi Kuu Bara baada ya mechi mbili za jana, Juni 14 upo namna hii

MASHINE HATARI YASAINI YANGA, SVEN AJA NA MIKAKATI MIZITO, KESHO NDANI YA CHAMPIONI JUMATATU

0

KESHO ndani ya Championi Jumatatu usikubali kukosa nakala yako

AZAM FC SIO WATU WAZURI, WAIPIGA MABAO 2-0 MBAO FC

0

AZAM FC imeibuka na ushindi wa mabao 2-0 mbele ya Mbao FC kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa leo Uwanja wa Azam Complex.Mabao ya Azam FC yalifungwa na Richard Djod dakika ya 49 kwa pasi ya Idd Naldo huku lile la pili likifungwa na Idd Chilunda dakika ya 90+3.Ushindi huo unaifanya Mbao FC isalie nafasi ya 19 ikiwa...

KISA KUGAWANA POINTI MOJA NA RUVU, SIMBA WATOA TAMKO HILI

0

UONGOZI wa Simba umesema kuwa sare ya kufungana bao 1-1 na Ruvu Shooting Uwanja wa Taifa leo sio aina ya matokeo mazuri ambayo waliyatarajia.Simba imekubali kusepa na pointi moja mbele ya Ruvu Shooting kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara uliokuwa na ushindani mkubwa.Simba ilianza kupata bao kupitia kwa Shiza Kichuya dakika ya 11 ambalo lilisawazishwa na Fully Maganga dakika...

AZAM FC YAPIGA MTU 4G

0

TIMU ya wafanyakazi wa Azam FC imefanya kweli baada ya kuwafunza soka wafanyakazi wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) ikiwanyuka mabao 4-0.Mechi hiyo ya kirafiki ilikuwa ni maalumu kwa ajili ya ushirikiano baina ya pande hizo mbili.Wafanyakazi wa Azam FC walionyesha umwamba mkubwa wa kutandaza soka kwa dakika zote 90 za mchezo huo.Mabao yaliwekwa kimiani na John Matambara, aliyefunga...

SIMBA YAKIONA CHA MOTO LEO TAIFA, YAAMBULIA POINTI MOJA MBELE YA WAZEE WA KUPAPASA

0

LICHA ya Shiza Kichuya kuifungia Simba bao la kuongoza dakika ya 11 halikufua dafu mbele ya wazee wa kupapasa Ruvu Shooting ambao walilipinduapindua ndani ya kipindi cha kwanza.Fully Zully Maganga alimpa tabu leo Aishi Manula kwa kumtungua kichwa kilichojaa jumlajumla ndani ya wavu na kufanya ubao usome  1-1 ilikuwa ni dakika ya 36.Jitihada za Simba kusaka ushindi ziligonga mwamba...

AZAM FC WATEKELEZA SIKU YA UCHANGIAJI DAMU KWA VITENDO

0

AZAM FC leo imetekeleza kwa vitendo siku ya wachangiaji damu duniani, kwa baadhi ya wafanyakazi kuchangia damu kwenye benki ya Taifa ya Damu Salama.Zoezi hilo limefanyika kwenye viunga vya Azam Conmplex, ambapo pia watu mbalimbali wakiwemo mashabiki wa soka, waliruhusiwa kuchangia damu.Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kwa kushirikiana na kllabu hiyo kwa pamoja wamedhamini zoezi hilo, lengo ni kuokoa...

VPL: SIMBA 1-1RUVU SHOOTING

0

Zimeongezwa dakika 3Kipindi cha Kwanza Uwanja wa Taifa dakika 45 zimemegukaDakika ya 43 Ruvu wanalifuata lango la SimbaDakika ya 35 Goal MagangaDakika ya 35 Luis anajikunja mpira unakwenda njeDakika ya 34 Nyoni anapeleka mashambulizi kwa RuvuDakika ya 32 Wawa anaokoa hatariDakika  ya 31 Manula anaokoa hatari langoni mwakeDakika ya 30 Ruvu wanacheza fauloDakika ya 29 Gadiel anaanzisha mpira kwa...