KOCHA MTIBWA AIBUKIA IHEFU

0

Zuber Katwila sasa ni Kocha Mkuu wa Ihefu baada ya kubwaga manyanga Mtibwa Sugar akichukua mikoba ya Maka Mwalwisi aliyefutwa kazi Oktoba 6.

MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMATATU

0

 MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la Championi Jumatatu 

KABLA YA YANGA NA SIMBA, MECHI ZAO ZA MOTO HIZI HAPA

0

NOVEMBA 7, Uwanja wa Mkapa ile mechi ambayo iliota mbawa Oktoba 18  sasa inatarajiwa kupigwa kwa watani hawa wa jadi kuweza kukutana ndani ya uwanja.Kuelekea mechi hiyo timu zote zimebakiwa na mechi nne mkononi za kucheza ambazo ni dakika 360, katika mechi hizo, Simba itacheza mechi tatu Dar na moja itapigwa nje ya Dar na Yanga itacheza mechi tatu...

AZAM FC YATAKA KUSHINDA MECHI ZOTE

0

 UONGOZI wa Azam FC umesema kuwa hesabu kubwa kwa sasa ni kushinda mechi zote zilizobaki ndani ya Ligi Kuu Bara kwa msimu wa 2020/21 ili kutimiza lengo lao namba moja la kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Bara.Azam FC imecheza mechi sita ndani ya ligi ambazo ni dakika 540 imeshinda zote, imefunga mabao 12 na kufungwa mabao mawili na pointi...

MEDDIE KAGERE HATIHATI KUIKOSA YANGA NOVEMBA 7

0

 MTUPIAJI namba moja ndani ya Bongo kwa misimu miwili mfululizo akiwa amefunga jumla ya mabao 49 ambapo alifunga mabao 23 msimu wa 2018/19 na mabao 22 msimu wa 2019/20 na mabao manne msimu wa 2020/21 Meddie Kagere kuna hatihati akaukosa mchezo dhidi ya Yanga, Novemba 7 kutokana na kusumbuliwa na majeraha.Kagere ana zali la kuwafunga Yanga ambapo kwenye mabao...

KUMBE KIUNGO MPYA WA YANGA ALIWAGOMEA MWANZO

0

 KIUNGO mshambuliaji wa Yanga, Mrundi, Said Ntibazonkiza, amesema timu hiyo ilianza kumfuatilia miezi miwili hadi mitatu iliyopita kabla ya kufikia makubaliano ya kusaini mkataba huku akitamba ametua kwa kazi moja tu ya kusaidia timu kutwaa mataji. Ntibazonkiza alisajiliwa na Yanga Oktoba 12 kwa mkataba wa mwaka mmoja na nusu akiwa mchezaji huru ambapo vijana hao wa Jangwani walimnasa baada ya...

RATIBA YA MECHI ZA LIGI KUU BARA LEO OKTOBA 19

0

LIGI Kuu Tanzania Bara inaendelea leo Oktoba 19 kwa timu nne kushuka uwanjani kusaka pointi tatu muhimu ndani ya uwanja.Ratiba ipo namna hii:-JKT Tanzania iliyo nafasi ya 16 na pointi nne itamenyana na Tanzania Prisons iliyo nafasi ya 12 na pointi 5, Uwanja wa Jamhuri, Dodoma saa 8:00 mchana.Mtibwa Sugar iliyo nafasi ya 13 na pointi tano itamenyana na...

POGBA BADO YUPOYUPO MANCHESTER UNITED

0

 KOCHA Ole Gunnar Solskjaer amekanusha tetesi kuwa staa wake, Paul Pogba yupo njiani kujiunga na Real Madrid, baada ya mchezaji huyo kusema kuwa ana ndoto ya kuichezea timu hiyo. Pogba ambaye alisajiliwa na Manchester United kwa pauni 89m amekuwa akihusishwa kujiunga na Madrid ambayo inanolewa Mfaransa mwenzake, Zinedine Zidane.Pamoja na kuwa katika presha kubwa ya timu yake kutocheza vizuri, Solskjaer...

YANGA WABEBA IMANI KUBWA KWA KOCHA MPYA

0

 KIUNGO wa Yanga, Feisal Salum ‘Fei Toto’ amesema kuwa anaamini mbele ya kocha mpya wa timu hiyo, Cedric Kaze, kikosi chao kitafanya vizuri msimu huu kwa kupata ushindi katika michezo ya ligi kuu na michuano mingine. Oktoba 15 Kaze alisaini mkataba wa miaka miwili kuinoa Yanga na Oktoba 16, jana Jumamosi alianza kazi rasmi ya kuwanoa wachezaji wake wanaojiandaa na...

TFF YATOA TAMKO KUHUSU NAMNA INAVYOSHUGHULIKIA KESI

0

 SHIRIKISHO la Soka nchini (TFF) limeonesha kusikitishwa na baadhi ya taarifa zinazosambaa mitandaoni juu ya namna taasisi hiyo inashughulikia kesi zinazowasilishwa kwake na vilabu mbalimbali.Aidha TFF itaendelea kusimamia haki kwa vile na taasisi inayoendeshwa kwa misingi na utawala bora, hivyo kama kuna upande hauridhishwi na uamuzi wa vyombo vya chini ya TFF, utaratibu ni kukata rufani ngazi ya juu...