LIGI USHINDANI NI MKUBWA, MASHABIKI TUIPE SAPOTI STARS

0

RAUNDI ya sita kwa sasa ndani ya Ligi Kuu Bara inazidi kurindima ambapo timu zimekuwa zikipambana kusaka pointi tatu ndani ya uwanja. Ipo wazi kabisa ushindani wa msimu huu wa 2020/21 ni tofauti kabisakabisa na ule uliopita wa 2019/20 kwa namna ambavyo timu zinaingia kupata matokeo ndani ya uwanja.  Kila timu imejipanga kwa namna yake na mwisho wa siku inapata matokeo...

AZAM FC WATAJA HOFU YAO ILIPO NDANI YA LIGI KUU BARA

0

 STRAIKA wa Azam FC, Prince Dube amefunguka kuwa hafurahii timu yake inapocheza kwenye baadhi ya viwanja vya mikoani kutokana na kwamba haviifanyi timu hiyo kucheza mpira ambao ameuzoea. Straika huyo ameongeza kwamba katika viwanja hivyo pia wachezaji wanaovitumia wamekuwa wakitumia nguvu zaidi tofauti na wakikutana kwenye uwanja wao wa nyumbani wa Azam Complex.Dube mwenye mabao sita katika Ligi Kuu Bara...

KAZE NA WINGA MPYA WATAJWA KUWA SABABU YA YANGA KUTWAA UBINGWA

0

 MKUU wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano kutoka Shirikisho la Soka la Burundi (FFB), Ramadhan Kabugi, amefunguka kuwa kitendo cha Yanga kumsajili Said Ntibazonkiza pamoja na kumpa ajira mwalimu Cedric Kaze, kitaisaidia timu hiyo kutwaa kombe la ligi msimu huu na kuweka rekodi ya kipekee kwenye Ligi Kuu Bara. Kabugi alisema Ntibazonkiza ni mchezaji mkongwe na mzoefu kwenye soka la...

SIMBA WAANZA KUWAPIGIA HESABU PRISONS MAPEMA

0

 UONGOZI wa Simba umesema kuwa mchezo wa leo dhidi ya Mlandege FC utakaochezwa Uwanja wa Azam Complex saa 11:00 jioni ni maalumu kwa ajili ya kukiweka sawa kikosi hicho.Simba ni mabingwa watetezi wana kibarua cha kuufunga mwezi Oktoba kwa kucheza na Tanzania Prisons, Oktoba 22, Uwanja wa Nelson Mandela, Sumbawanga.Simba inanolewa na Kocha Mkuu, Sven Vandenbroeck raia wa Ubelgiji...

THIAGO NA MANE WAPO FITI BAADA YA KUUGUA CORONA

0

JURGEN Klopp, Kocha Mkuu wa Liverpool amesema kuwa kwa sasa nyota wake wawili ambao ni Sadio Mane na Thiago Alcantara wapo fiti baada ya afya zao kutengamaa baada ya kukutwa na Virusi vya Corona.Nyota hao wote wawili wanatarajiwa kuanza kufanya kazi rasmi leo Oktoba 17 wakati timu yao ya Liverpool itakapokuwa ugenini ikicheza mchezo wa Ligi Kuu England dhidi...

DAYNA NA PATORANKING WANA JAMBO LAO

0

 MWANADADA mwenye kipaji kikubwa kunako gemu ya Bongo Fleva hapa nchini, Dayna Nyange amefunguka kuwa yuko kwenye maandalizi kabambe ya kudondosha ‘sapraizi’ kubwa kwa kushirikiana na staa wa muziki kutokea nchini Nigeria, Patrick Nnaemeka Okorie ‘Patoranking’. Dayna, mama wa mtoto mmoja amewahi kutamba na ngoma kali kama; Angejua, Komela akiwa na Billnass na Nivute Kwako aliyomshirikisha mkali wa sauti, Barnaba...

LEO EPL EVERTON V LIVERPOOL NI MOTO

0

 LIGI kuu ya soka nchini England inarejea tena wikiendi hii baada ya mapumnziko mafupi kupisha mechi mbalimbali za kimataifa macho na masikio ya wengi yatakuwa katika jiji la Liverpool kwenye dabi maarufu kama Merseyside, ambapo Everton watawakaribisha mabingwa watetezi wa EPL na majirani zao, Liverpool. Mechi hii inatajwa kuwa kali kuwahi kutokea kutokana na timu ya Everton kujiimarisha vizuri kwenye...

AZAM FC: TUNA KAZI NGUMU YA KUFANYA

0

 UONGOZI wa Azam FC umesema kuwa una kazi kubwa ya kufanya msimu huu wa 2020/21 kutokana na ushindani uliopo ndani ya Ligi Kuu Bara.Kwa sasa Azam FC inashika namba moja kwenye msimam baada ya kucheza mechi sita na imeshinda zote.Safu yake ya ushambuliaji imetuia jumla ya mabao 12 huku safu ya ulinzi ikiruhusu mabao mawili ndani ya dakika 540.Akizungumza...

KOCHA ZLATKO ATUA FIFA KISA KUFUTWA KAZI JUMLAJUMLA

0

ALIYEKUWA Kocha wa Yanga, Mserbia, Zlatko Krmpotic ameibuka kuwa ameamua kwenda mwenyewe kwa miguu yake katika Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA) kuishitaki Yanga kutokana na kitendo cha uongozi wa klabu hiyo kuvunja mkataba wake bila kuwepo makubaliano yoyote. Hivi karibuni, Yanga ilitangaza kumfuta kazi kocha huyo kutokana na kile kilichoelezwa timu kucheza kwa kiwango cha chini licha ya kushinda...

BEKI IHEFU FC NJE YA UWANJA WIKI NNE

0

 BEKI wa Klabu ya Ihefu FC, Omary Kindamba atakuwa nje kwa muda wa  wiki tatu hadi nne kufuatia  nyota huyo kupata majeraha ya mbavu baada ya kuanguka vibaya alipokuwa akiitetea timu yake dhidi ya Biashara, Mara.Mchezo huo uliochezwa Oktoba 14, Uwanja wa Karume Ihefu ilipoteza kwa kufungwa bao 1-0.