ANAANDIKA HAJI MANARA KUHUSU JONAS MKUDE

0

ANAANDIKA Haji Manara Ofisa Habari wa Simba kuhusu Jonas Mkude:-Msimu wa kumi huu wa kiungo fundi Jonas Gerald Mkude ndani ya kikosi cha kwanza cha Machampioni wa nchi Simba SC.Huwa nasema kila siku Jona sio Attacking midfielder wala Holding Au Defending Midfielder!!Yy ni Mido halisi,.Yaan amezaliwa kucheza eneo la kati tu, mara kadhaa viungo wa ushambuliaji au wa kuzuia...

MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMAMOSI

0

 MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Championi Jumamosi 

NAHODHA WA SIMBA JOHN BOCCO CHINI YA UANGALIZI MAALUMU

0

 NAHODHA wa Simba ambaye ni mfungaji mzawa mwenye mabao zaidi ya 100 kibindoni ndani ya Ligi Kuu Bara kwa sasa yupo chini ya uangalizi wa mtaalamu wa viungo ndani ya timu hiyo, Paulo Gomez. Bocco alipata majeraha ya enka kwenye mchezo dhidi ya Mtibwa Sugar wakati Simba ilipokubali sare ya kufungana bao 1-1, Uwanja wa Jamhuri, Morogoro. Nyota huyo Oktoba 8...

DODOMA JIJI YATOSHANA NGUVU NA MBEYA CITY LEO

0

 MCHEZO wa Ligi Kuu Bara uliochezwa leo Oktoba 16 wa mzunguko wa sita kati ya Dodoma Jiji dhidi ya Mbeya City Uwanja wa Jamhuri Dodoma umekamilika kwa timu zote kutoshana nguvu ya bila kufungana.Kwa Mbeya City unakuwa mchezo wake wa sita mfululizo kushuka uwanjani na safu yake ya ushambuliaji inatoka uwanjani bila kuambulia bao.Kwenye msimamo ipo nafasi ya 18...

VIDEO: NAMNA YANGA WALIVYOMALIZANA NA KAZE

0

 NAMNA Kocha Mkuu wa Yanga Cedric Kaze alivyomalizana na Yanga kwa dili la miaka miwili leo Oktoba 16 akichukua mikoba ya Zlatko Krmpotic Kaze amesaini dili la miaka miwili baada ya kutua Bongo usiku wa leo akitokea nchini Canada ambapo alikuwa akiishi.Krmpotic alifutwa kazi Oktoba 3 kutokana na mwendo wake kutowafurahisha mabosi wake wa Yanga ndani ya kikosi hicho na...

KESHO NDANI YA CHAMPIONI JUMAMOSI USIPANGE KUKOSA NAKALA YAKO

0

 Usikose nakala yako ya Gazeti la Championi Jumamosi kesho Oktoba 17

SIMBA KAZINI KESHO UWANJA WA AZAM COMPLEX, KIINGILIO BUKU 5

0

 KESHO Oktoba 17 kikosi cha Simba kitashuka uwanjani kucheza mchezo wa kirafiki dhidi ya Mlandege FC ikiwa ni kwa ajili ya kujiweka sawa na maadalizi ya Ligi Kuu Bara.Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa majira ya saa 11:00 Uwanja wa Azam Complex.Kiingilio kwenye mechi hiyo ya kirafiki kwa mzunguko ni 5,000 (buku tano ) huku VIP ikiwa ni 7,000. Mchezo wake wa...

JINA LA KELVIN YONDANI LATAJWA YANGA

0

KOCHA mpya wa Yanga, Mrundi, Cedric Kaze amemtaja aliyekuwa beki wa Yanga, Kelvin Yondani kuwa ni mmoja kati ya wachezaji wenye heshima kubwa kwake na alitamani kufanya naye kazi ndani ya timu hiyo. Kocha huyo aliwasili jana usiku kwa ndege ya Shirika la Ndege la Uholanzi (KLM) akitokea nchini Canada tayari kwa kuanza majukumu mapya ndani ya timu hiyo akichukua...

PACHA YA CHIRWA NA DUBE INA MOTO KWELI

0

 PACHA ya nyota wawili ndani ya Klabu ya Azam FC imeweza kujibu ndani ya uwanja kutokana na kuwa na maelewano makubwa ndani ya uwanja.Mpaka sasa wamefunga mabao 10 kwa pamoja kwenye Ligi Kuu Bara ndani ya Azam FC ambayo imefunga mabao 12.Prince Dube amefunga mabao 6 na Obrey Chirwa amefunga mabao manne kwenye mechi ambazo wamecheza kwa msimu wa...

SIMBA YAZUNGUMZIA POINTI ZA YANGA

0

 KIUNGO mchezeshaji wa Simba, Mzambia, Clatous Chama, ameweka wazi kwamba licha ya kukosa kucheza na Yanga Oktoba 18, mwaka huu lakini anaamini watazipata pointi zao kutokana na kuongezewa muda zaidi wa kujiandaa. Kiungo huyo ameongeza kwamba walikuwa wameshaanza kuitolea macho mechi hiyo ya dabi lakini kwa sasa wanaangalia mechi zijazo baada ya kupelekwa mbele. Simba walipangiwa kucheza na Yanga kwenye Kariakoo...