KAZE ATUA BONGO, KUANZA MAJUKUMU YANGA

0

 CEDRIC Kaze, Kocha Mkuu wa Klabu ya Yanga amewasili Kwenye ardhi ya Bongo usiku wa kuamkia leo kwa ajili ya kuanza majukumu mapya ndani ya timu hiyo.Kaze ambaye alikuwa nchini Canada amekuja kuchukua mikoba ya Zlatko Krmpotic ambaye alifutwa kazi Oktoba 3 na uongozi wa Yanga kwa kile ilichoeleza kuwa hakuendana na falsafa za timu hiyo.Wakati akiondoka alikuwa amekiongoza...

MWAKINYO KUZICHAPA NA MUARGENTINA KUTETEA MKANDA WA IBA

0

 BONDIA bingwa wa mabara wa uzito wa superwelter, Hassan Mwakinyo atautetea mkanda wake wa Chama cha WBF Novemba 13 dhidi ya bondia wa Argentina Jose Carlos Paz.Pambano hilo limepewa jina  la  'Dar Fight Night' limeandaliwa na kampuni ya Jackson Group Sports.Mbali ya kutetea mkanda huo, Mwakinyo pia atawania ubingwa wa mabara  wa uzito huo huo wa Chama cha IBA. Pambano hilo limepangwa...

SIMBA WAPEWA ONYO KISA WINGA MPYA WA YANGA

0

 MSHAMBULIAJI wa zamani wa Yanga, Mrundi, Amissi Tambwe ameibuka na kusema kuwa kitendo cha uongozi wa Yanga kumsajili mshambuliaji, Saidi Ntibazonkiza wamefanya jambo sahihi. Yanga Oktoba 12 ilitangaza kumsajili mchezaji huyo kwa mkataba wa mwaka mmoja na nusu akiwa huru baada ya Oktoba 11,2020 kufunga bao pekee katika mchezo wa kirafiki wa kimataifa dhidi ya Taifa Stars akiwa na timu...

PRINCE DUBE WA AZAM AINGIA ANGA ZA SIMBA NA CASABLANCA

0

IMEELEZWA kuwa nyota wa Klabu ya Azam FC, Prince Dube ameingia kwenye anga za Klabu ya Raja Casablanca ambayo inahitaji kuinasa saini yake.Casablanca inapigana vikumbo na Klabu ya Simba ambayo nayo inatajwa kumpigia hesabu Dube.Ofa ya Casbalanca inatajwa kuwa ni nono hivyo ikwa itawekwa mezani Simba ina kazi ya kujipanga kupindua dili hilo.  Ofisa Habari wa Simba hivi karibuni alisema...

KUPOTEZA KWA KUCHAPWA NA BURUNDI NYUMBANI IWE SOMO KWA STARS

0

 WIKIENDI iliyopita, ulipigwa mchezo wa kimataifa wa kirafi ki kati ya Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars ambayo ilikuwa mwenyeji wa Timu ya Taifa ya Burundi. Mchezo huo uliopigwa Uwanja wa Mkapa jijini Dar, Taifa Stars ilikubali kipigo cha bao 1-0. Ukiangalia taswira nzima ya mchezo ule, Taifa Stars walikuwa vizuri kwa takribani dakika 80 wakifanikiwa kuutawala mchezo, lakini...

KAZE APANIA MAKUBWA NDANI YA YANGA

0

KOCHA mpya wa Yanga Mrundi, Cedric Kaze, amewatumia ujumbe mkubwa mashabiki wa timu hiyo akiwaambia kwa pamoja watafanya makubwa.Kauli hiyo aliitoa kocha huyo akiwa njiani kutua hapa nchini akitokea Canada ambapo makazi yake yalikuwa huko.Kocha huyo anakuja kuifundisha timu hiyo baada ya kufikia makubaliano mazuri na mabosi wa Yanga akichukua nafasi ya Mserbia, Zlatko Krmpotic aliyetimuliwa Oktoba 3.Kaze amesema:-“Ninajivunia...

CHAMA AFUNGUKIA ISHU YA MKATABA WAKE SIMBA KISA YANGA

0

 KIUNGO mchezeshaji wa Simba, Mzambia, Clatous Chama, ameibuka na kufunguka hatma yake ya kujiunga na Yanga huku akielezea mipango yake ya kubaki kucheza Msimbazi. Hiyo ikiwa ni siku chache kupita tangu ziwepo tetesi za staa huyo kutakiwa na Yanga inayopata jeuri ya udhamini wa GSM mara baada ya taarifa kuzagaa za kugomea kuongeza mkataba wa kuendelea kubaki Simba. Chama ni kati...

TUIPE SAPOTI STARS, MZUNGUKO WA SITA UTUZINDUE KIUSHINDANI

0

 WAKATI mizunguko mitano ya Ligi Kuu Bara (VPL) ikiwa imeshamalizika kwa sasa mzunguko wa sita unarejea ni wakati wa timu kuendelea kupambana kwa ajili ya kuhakikisha zinafanya vizuri zaidi. Baadhi ya makosa ambayo yalionekana katika michezo iliyopita tuna imani yamefanyiwa kazi kwenye mapumziko hayo hivyo tunategemea kuona soka lenye ushindani zaidi tofauti na hapo awali.Ligi inazidi kuwa yenye ushindani na...

KOCHA WA YANGA KUTUA LEO BONGO

0

 KOCHA Cedric Kaze anayekuja kushika mikoba ya kuifundisha Yanga, yupo safarini kuja nchini Tanzania kwa ajili ya kuanza rasmi majukumu yake mapya.Ofisa Habari wa Yanga Hassan Bumbuli, amethibitisha ujio wa Kocha huyo ambaye mapema leo alikuwa jijini Amsterdam Uholanzi, kwaajili ya kubadilisha ndege ya kumleta Tanzania.Kaze anatarajiwa kutua kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere majira ya...

POGBA MWILI UPO MANCHESTER UNITED ROHO REAL MADRID

0

 PAUL Pogba ametoa kauli ambayo inamaanisha au inaonyesha kuwa anaweza kuondoka ndani ya Manchester United, hiyo ni baada ya kusema kuwa anatamani kuichezea Real Madrid. Kiungo huyo mwenye umri wa miaka 27, mkataba wake unatarajiwa kumalizika miezi 10 ijayo, na hadi sasa hakuna mazungumzo ya mkataba mpya kuhusu kuendelea kuichezea timu yake hiyo.Uongozi wa United chini ya Mtendaji, Ed Woodward...