Home Uncategorized WAZIR JUNIOR AFIKIRIA KIATU CHA UFUNGAJI BORA BAADA YA KUFUNGA BAO LA...

WAZIR JUNIOR AFIKIRIA KIATU CHA UFUNGAJI BORA BAADA YA KUFUNGA BAO LA KWANZA MBELE YA KMC

0

 


WAZIR Junior amesema kuwa ndoto yake ni kuwa mfungaji bora wa msimu wa 2020/21 baada ya kufunga bao moja Kwenye ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya KMC leo Oktoba 25, Uwanja wa CCM Kirumba