SIMBA MAJANGA TUPU NYOTA WATANO KIKOSI CHA KWANZA OUT

0

KUUMIA kwa beki wa kulia wa Simba, Shomari Kapombe jana Oktoba 22 kunafanya jumla ya wachezaji watano wa Simba kuwa majeruhi.Nyota mwingine ambaye ni majeruhi ni Chris Mugalu, raia wa Congo ambaye alipata maumivu ya nyonga muda mfupi kabla ya timu hiyo kuvaana na Tanzania Prisons.Wengine ambao ni majeruhi ni pamoja na Meddie Kagere na John Bocco ambao wote...

MECHI ZA UWANJA WA MKAPA ZAPELEKWA UHURU

0

 MECHI zilizopangwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa sasa kuchezwa Uwanja wa Uhuru

SIMBA KUREJEA BONGO BAADA YA KUCHEZESHWA GWARIDE NA PRISONS

0

 BAADA ya mchezo wa jana Oktoba 22 kwa kufungwa bao 1-0 kikosi cha Simba kimeanza safari leo kurejea Dar kwa ajili ya kujiandaa na mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Ruvu Shooting.Simba ilifungwa bao hilo kwa kichwa na Samson Mangula dakika ya 49 na kuwafanya mabingwa hao watetezi kuziacha pointi tatu Uwanja wa Nelson Mandela.Mchezo wao dhidi ya...

KMC YAANZA KUIVUTIA KASI YANGA MWANZA

0

 KIKOSI cha KMC kimeshaweka kambi Mwanza kwa sasa kwa ajili ya kujiwinda na mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Yanga utakaochezwa Uwanja wa CCM Kirumba.KMC itashuka uwanjani ikiwa na kumbukumbu ya kulazimisha sare ya kufungana bao 1-1 dhidi ya Ruvu Shooting uliochezwa Uwanja wa Uhuru.Kikosi kilikwea pipa jana na kuibukia Mwanza kwa ajili ya mchezo huo unaotarajiwa kuchezwa...

GLOBAL FC YATUMA SALAMU E MEDIA

0

 KUELEKEA kwenye mechi ya kirafiki kati ya wababe wa mji Global FC dhidi ya E Media, Kocha Mkuu wa kikosi cha Global FC, Philip Nkini amesema kuwa wamejipanga kuwafunga E Media pamoja na wachezaji wao.Leo Oktoba 23, Global FC wanatarajia kucheza mechi ya kirafiki dhidi ya E Media kwenye Uwanja wa Tanganyika Packers wakiwa na kumbukumbu ya kuchapwa bao...

WANNE YANGA WAINGIA KWENYE VITA YA KUWANIA TUZO BAADA YA KUSHINDA MBELE YA POLISI TANZANIA

0

 BAADA ya ushindi wa bao 1-0 walilopata Yanga jana Uwanja wa Uhuru na kusepa na pointi tatu nyota wanne waingia kwenye vita ya kuwania tuzo ya mchezaji bora wa mechi.Bao pekee la ushindi kwa Yanga inayonolewa na Cedric Kaze raia wa Burundi lilipachikwa kimiani na Tonombe Mukoko dakika ya 70 kwa pasi ya Farid Mussa.Ushindi huo unaifanya Yanga kufikisha...

NYOTA AZAM FC ATIMKIA ISRAEL

0

 KIUNGO Novatus Dismas ameuzwa kwenda Klabu ya Macabi Tel Aviv ya Israel kutoka Klabu ya Azam FC.Nyota huyo mwenye tuzo ya mchezaji bora chipukizi kwa msimu wa 2019/20 dili lake limejibu baada ya kufanya vizuri majaribio yake.Kwa mujibu wa Ofisa Habari wa Azam FC, Zakaria Thabit amesema kuwa majaribio yake timu ya wakubwa alifaulu jambo ambalo limewafanya mabosi wa...

DAVID KISSU WA AZAM FC AWEKA REKODI YAKE BONGO

0

 DAVID Kissu Mapingano kipa namba moja wa Azam FC ameweka rekodi ya kuwa kinara wa clean sheet ndani ya Ligi Kuu Bara Bara msimu wa 2020/21 akitumia dakika 540 bila kuruhusu kufungwa na kumpoteza Daniel Mgore kipa wa Biashara United.Kissu ambaye ni ingizo jipya kutoka Klabu ya Gormahia ya Kenya ameweza kukaa langoni kwenye mechi saba na ametunguliwa mechi...

MSIMAMO WA LIGI KUU BARA UPO NAMNA HII

0

 MSIMAMO wa Ligi Kuu Tanzania Bara baada ya dakika 180 ya mechi mbili za jana Oktoba 22

BAADA YA BIRIANI LA SIMBA KULIWA,NENO LAO HILI HAPA

0

 MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Simba baada ya kupotezwa na faslafa yao ya mpira biriani kwa kufungwa bao 1-0 dhidi ya Tanzania Prisons Uwanja wa Nelson Mandela, nahodha msaidizi, Mohamed Hussein amesema kuwa ni sehemu ya matokeo.Mchezo huo ulikuwa ni wa sita kwa Simba inayonolewa na Kocha Mkuu, Sven Vandenbroeck huku ukiwa ni wa kwanza kwake kupoteza...