RATIBA YA LEO OKTOBA 20 NDANI YA LIGI KUU BARA

0

 LEO Oktoba 20 Ligi Kuu Tanzania Bara inaendelea kutimua vumbi ambapo kutakuwa na timu nane ambazo zitashuka kwenye viwanja vinne tofauti kusaka pointi tatu muhimu.Mambo yatakuwa namna hii:-Ihefu FC iliyo nafasi ya 17 na pointi zake tatu baada ya kucheza mechi sita itaikaribisha Azam FC iliyo nafasi ya kwanza na pointi 18 baada ya kucheza mechi sita, Uwanja wa...

TFF YATAJA MAFANIKIO YAKE KWA MUDA WA MIAKA MINNE

0

 RAIS wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Wallace Karia, amesema upatikanaji wa viwanja kwa ajili ya kukuza soka vilivyopo Kigamboni jijini Dar na mkoani Tanga, ni miongoni mwa mafanikio makubwa kwao. Karia alitoa kauli hiyo kwenye hafla iliyoandaliwa na Baraza la Michezo la Taifa (BMT) iliyofanyika Oktoba 17, ambapo alisema hayo kwao ni mafanikio ya uongozi wake ndani ya miaka...

KUMBE MESSI ALIGOMEA ISHU YAKE YA KUIBUKIA REAL MADRID

0

 LIONEL Messi amekuwa ni nembo ya Klabu ya Barcelona kwa muda mrefu tangu kuondoka kwa Ronaldinho mwaka 2008, lakini kumbe wapinzani wao wa jadi, Real Madrid, waliwahi kutuma ofa ya kutaka kumsajili. Rais wa Madrid, Florentino Perez alifanya mpango huo mwaka 2013 lakini dili likawa gumu licha ya kuwa alikuwa tayari kumwaga fedha kumsajili Messi. “Maombi ya usajili ya Florentino Perez...

MSIMAMO WA LIGI KUU TANZANIA BARA UPO NAMNA HII

0

 MSIMAMO wa Ligi Kuu Tanzania Bara kwa sasa upo namna hii

SIMBA YAPIGA MATIZI LEO UWANJA WA SOKOINE, MBEYA

0

 KIKOSI cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu, Sven Vandenbroeck akisaidina na Kocha Msaidizi Seleman Matola baada ya kuwasili Mbeya leo Oktoba 19 kimefanya mazoezi kwa ajili ya kurejesha miili ya wachezaji kwenye ubora wao.Oktoba 17 kilikuwa na mchezo wa kirafiki dhidi ya Mlandege FC uliochezwa Uwanja wa Azam Complex na kiliibuka na ushindi wa mabao 3-1.Mazoezi hayo ambayo ni...

YANGA YAIVUTIA KASI POLISI TANZANIA

0

 KIKOSI cha Yanga kinachonolewa na Kocha Mkuu, Cedric Kaze leo Oktoba 19 kimeendelea kujiweka sawa kwa ajili ya mchezo wao wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Polisi Tanzania kwenye kambi yao iliyopo maeneo ya Kigamboni. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Oktoba 22, Uwanja wa Mkapa saa 1:00 usiku unatarajiwa kuwa na ushindani kwa timu zote mbili kuwania pointi tatu muhimu.Msimu uliopita...

MWINYI ZAHERA ASHUHUDIA TIMU YA GWAMBINA FC IKIGAWANA POINTI MOJA NA POLISI TANZANIA

0

 MWINYI Zahera, Mkurugenzi wa Benchi la Ufundi ndani ya Klabubya Gwambina FC, leo Oktoba 19 alikuwa ndani ya Uwanja wa Sheik Amri Abeid akishuhudia timu yake ikigawana pointi mojamoja na Klabu ya Polisi Tanzania baada ya sare ya kufungana bao 1-1.Stive Jimmyson alipachika bao kwa upande wa Gwambina FC huku lile la Polisi Tanzania likipachikwa na Hamad Ally na...

MTIBWA SUGAR YAIFUNGA BAO 1-0 NAMUNGO FC

0

 SALUM Kihimbwa nyota wa Mtibwa Sugar FC leo Oktoba 19 amefunga bao lake la kwanza ndani ya msimu wa 2020/21 wakati timu yake ikishinda bao 1-0 dhidi ya Mtibwa Sugar. Mchezo wa leo umechezwa Uwanja wa Jamhuri, Morogoro ukiwa ni wa kwanza kwa Mtibwa Sugar kucheza ikiwa chini ya kocha msaidizi, Vincent Barnaba baada ya Zuber Katwila aliyekuwa Kocha Mkuu, ...

IHEFU FC KUKIWASHA KESHO DHIDI YA AZAM FC

0

VINARA wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Azam FC kesho, Oktoba 20 wana kazi ya kupambana na Ihefu FC kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara utakaochezwa Uwanja wa Sokoine saa 8:00 mchana.Azam ipo nafasi ya kwanza baada ya kucheza mechi sita imeshinda zote na kujiwekea kibindoni pointi 18.Inakutana na Ihefu inayonolewa na Zubeir Katwila ikiwa nafasi ya 17 na pointi...

SIMBA YAFIKIRIA MICHUANO YA KIMATAIFA

0

 KIUNGO wa Simba, Clatous Chama ana matumaini makubwa ya timu yao kufanya vizuri kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika msimu huu.Michuano hiyo inatarajiwa kuanza Novemba 20, mwaka huu ambapo michezo ya hatua ya awali itapigwa.Kwa msimu wa 2020/21, Simba ndiyo wawakilishi pekee wa michuano hiyo. Akizungumzia nafasi ya Simba kwenye michuano hiyo, Chama alisema: “Nawapongeza viongozi kwa kufanya usajili bora, ukiachana...