YANGA KUJA KIVINGINE WAKATI WA USAJILI, MFUMO MPYA KUTUMIKA

0

UONGOZI wa Yanga umesema kuwa utatumia mfumo mpya wa kufanya usajili wa wachezaji wao ili kupata wachezaji watakaoleta ushindani ndani ya kikosi chao msimu ujao.Kwa sasa Ligi Kuu Tanzania Bara imesimama kupisha maambukizi ya Virusi vya Corona ambapo wachezaji wengi wapo nyumbani wakifanya mazoezi binafsi.Akizungumza na Saleh Jembe, Ofisa Uhamasishaji wa Yanga, Antonio Nugaz amesema kuwa watafanya mambo kipekee...

NYOTA KANE ANAWINDWA NA MANCHESTER UNITED

0

MSHAMBULIAJI wa Spurs, Harry Kane amesema kuwa anahitaji kupata changamoto mpya kwa sasa nje ya timu yake hiyo anayoitumikia.Spurs imekuwa kwenye mvutano mkubwa na nyota huyo ambaye inaelezwa kuwa hafurahii maisha ndani ya kikosi hicho kutokana na kuona kwamba hakina nafasi ya kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu England.Manchester United iliyo chini ya Kocha Mkuu Ole Gunnar Solskjaer inatajwa kuwania...

KIUNGO POLISI TANZANIA ATUMA UJUMBE KWA WATANZANIA WOTE KUOMBEANA DUA

0

BARAKA Majogoro, kiungo wa Polisi Tanzania amesema kuwa ni muhimu kwa kila mmoja kwa sasa kuomba dua wakati huu wa kipindi cha maambukizi ya Virusi vya Corona.Majogoro amesema kuwa kwa sasa ni wakati wa kuungana katika kupambana na Virusi vya Corona ili hali irejee kama ilivyokuwa zamani."Muhimu kukumbuka kuombeana kila mmoja kwa wakati wake na kuchukua tahadhari ili kuwa...

MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMATATU

0

MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la Championi Jumatatu

HIVI NDIVYO SVEN ANAVYOWAZA KUHUSU UBINGWA SIMBA

0

SVEN Vandenbroeck, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa kwa sasa hesabu zake ni kuona timu inamaliza mechi zake ndipo itwae ubingwa kuliko kusubiri ubingwa wa mezani.Ligi Kuu Tanzania Bara kwa sasa imesimama kupisha maambukizi ya Virusi vya Corona ambapo Simba ni vinara wa ligi wakiwa na pointi 71 baada ya kucheza mechi 28.Sven amesema:"Jambo la msingi ni kuona kwamba...

YANGA YA GSM YADHAMIRIA KUIBOMOA UD SONG..NUGAZ AMEFUNGUKA A-Z..!!

0

KATIKA kuhakikisha inatekeleza mapendekezo ya kukiimarisha kikosi chao kama ilivyopendekezwa na Kocha Mkuu wa Yanga, Luc Eymael, uongozi wa Yanga umeanza mchakato wa kunasa saini ya mshambuliaji, Jimmy Ukonde kutoka UD Songo ya Msumbiji.Akizungumza na Nipashe jijini Dar es Salaam jana, Ofisa Mhamasishaji wa Yanga, Antonio Nugaz alisema uamuzi wa kumsajili Ukonde unatokana na ripoti ya benchi la ufundi...

YANGA NA TSHISHIMBI..MAMBO NI BAMBAM..!!

0

HATIMAYE uongozi wa Yanga umefanikiwa kukamilisha mchakato wa kumwongezea mkataba mpya kiungo wake wa kimataifa kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), Papy Tshishimbi, ambaye inadaiwa alikuwa anawindwa na watani zao, Simba, imefahamika.Mbali na kukamilisha usajili huo, Yanga pia imemaliza tofauti iliyokuwapo na wadhamini wao, Kampuni ya GSM, baada ya kufikia muafaka katika kikao kilichofanyika juzi jijini Dar es...

MIRAJI ATHUMAN- NIMEREJEA UPYAAA

0

MSHAMBULIAJI wa mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Simba, Miraji Athuman, amesema mazoezi ya wiki mbili yatamfanya arejee katika ubora wake ule ule ambao alikuwa nao kabla ya kupata majeraha.Akizungumza na gazeti la NIPASHE  jijini Dar es Salaam jana, Miraji alisema anafanya mazoezi ya kunyonga baiskeli kwa ajili ya kujiweka sawa kabla ya kurudi rasmi uwanjani.Miraji alisema mazoezi...

KASSIM DEWJI AWEKA HADHARANI WALICHOIFANYA ZAMALEK CAF 2003

0

ALIYEKUWA Katibu Mkuu wa Simba, Kassim Dewji 'KD", ameweka wazi timu hiyo ilifanya vema katika mashindano ya kimataifa ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwenye msimu wa 2003 kwa sababu walikuwa na kikosi bora kilichokuwa na wachezaji waliojitolea katika kiwango cha juu.Msimu huo Simba ilitinga hatua ya robo fainali ya michuano hiyo inayoandaliwa na Shirikisho la Soka Afrika (CAF), kwa...

KIUNGO POLISI TANZANI- NIYONZIMA AMENIIBA NAFASI YANGU YA KUSAJILIWA YANGA

0
Habari za Yanga

KIUNGO wa Polisi Tanzania, Baraka Majogoro amesema kuwa kama asingekuwa Haruna Niyonzima kurejeshwa katika kikosi cha Yanga basi yeye angekuwa mmoja wa wachezaji wa timu hiyo ambayo ilikuwa ikimuhitaji. Niyonzima alisajiliwa na Yanga katika usajili wa dirisha dogo la usajili mwezi Januari akitokea katika timu ya AS Kigali ya Rwanda aliyojiunga akitokea Simba.Akizungumza na Championi Jumamosi, Majogoro alisema kuwa uongozi...