MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMAMOSI
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la Championi Jumamosi
KIKOSI CHA SIMBA KILICHOPINDUA MEZA KIBABE KIMATAIFA
Hiki hapa Kikosi Cha Simba kilichopindua meza kibabe kimataifa
MABOSI WA YANGA WAMALIZA UTATA KUHUSU MORRISON
WANAFAMILIA wa Yanga ambao ni mabosi pia, Kampuni ya GSM imesema kuwa suala lao na Bernard Morrison walishalimaliza hivyo hawana mashaka na nyota huyo kwa sasa. Morrison amekuwa kwenye ubora kabla ligi haijasimamishwa kupisha maambukii zaidi ya Virusi vya Corona ambapo kwenye mechi 10 alizocheza amefunga mabao matatu na kutoa pasi tatu za mabao.Mkurugenzi wa Uwekezaji ndani ya GSM Injinia...
KOCHA LIGI KUU AHOFIA WACHEZAJI KUSHUKA VIWANGO LIGI IKIREJEA
ZUBER Katwila, Kocha Mkuu wa Mtibwa Sugar amesema kuwa iwapo wachezaji watashindwa kuendelea kufanya mazoezi wakati huu wa mapumziko kupisha Virusi vya Corona endapo Ligi Kuu Tanzania Bara itarejea wengi watakuwa wanaweza shuka viwango.Kwa sasa Ligi Kuu imesimamishwa na Serikali ambapo tamko hilo lilitolewa Machi 17 na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa inatarajia kurejea iwapo hali itakuwa shwari.Katwila amesema:"Iwapo wachezaji...
SIMBA YAPANIA KUMCHOMOA BEKI MMOJA POLISI TANZANIA
IMEELEZWA kuwa uongozi wa Simba upo kwenye hesabu za kuinasa saini ya beki mpambanaji ndani ya Polisi Tanzania, Idd Mobby.Mobby ambaye ni nahodha pia wa Polisi Tanzania amewakuwa kwenye ubora wake msimu huu jambo lililowavutia mabosi wa Simba ambao wanapanga kuboresha kikosi chao kwa sasa.Nyota huyo mzawa amewahi kukipiga pia ndani ya Toto Africans na Mwadui FC.Ofisa Habari wa...
KAZI IMEANZA, AZAM FC SASA KUSHUSHA MASHINE ZA KAZI NNE
UONGOZI wa Azam FC umeamua kuweka wazi dhamira yao ya kutaka kushindana na klabu kongwe katika Ligi Kuu Bara, Simba na Yanga katika masuala ya usajili wa wachezaji watakaokiimarisha kikosi chao kwa ajili ya kupindua utawala wa timu hizo.Awali Azam FC waliweza kupindua utawala wa timu hizo msimu wa 2013/2014 baada ya kufanikiwa kutwaa ubingwa wa ligi kuu kwa...
ISHU YA BILIONI 20 YA MO YAMUIBUA MWENYEKITI ATOA NENO HILI
ALIYEWAHI kuwa Mwenyekiti wa Klabu ya Simba, Swedy Mkwabi ameitaka Bodi ya Wakurugenzi ya klabu hiyo kushughulikia masuala yote ya muhimu ikiwemo kuhakikisha Sh. bilioni 20 zinawekwa kwenye akaunti.Mkwabi amesema Simba ndani ya uwanja haina shida kwa kuwa inakwenda vizuri, kilichobaki ni kwa bodi inayoongozwa na Mohammed Dewji ‘Mo’ ishughulikie mambo ya nje ya uwanja ambayo yataonekana na mashabiki.Mkwabi...
TAMBWE ATOA NENO YANGA NI KESHO NDANI YA CHAMPIONI JUMAMOSI
KESHO ndani ya Championi Jumamosi