HIMID MABO: BADO NINAPIGA MAZOEZI NDANI, KIKUBWA DUA TUWE SALAMA
HIMID Mao, nyota anayekipiga Klabu ya ENPPI ya Misri inayoshiriki Ligi Kuu nchini humo amesema kuwa licha ya kuwepo kwa Virusi vya Corona bado anaendelea kufuata kanuni za afya na kufanya mazoezi akiwa ndani ili kulinda kipaji chake.Kwa sasa ligi nyingi duniani zimesimama kutokana na maambukizi ya Virusi vya Corona ambavyo vimekuwa janga la dunia.Akizungumza na Saleh Jembe, Himid...
KIUNGO HUYU WA SIMBA PANGA LINAMHUSU MAZIMA
SAID Ndemla, nyota wa Simba yupo kwenye hatihati ya kuachwa na mabosi wake hao kutokana na kushindwa kufurukuta ndani ya klabu hiyo kwa sasa.Ndemla amekuwa kwenye wakati mgumu msimu huu ambapo Simba ikiwa imecheza mechi 28 amecheza mechi tatu za Ligi Kuu Bara.Simba ikiwa imetumia dakika 2,520 ametumia dakika 270 kuonyesha makeke yake.Habari zinaeleza kuwa kwa sasa Simba ipo...
MANARA: CORONA IMETIBUA DILI LA WAZUNGU KUJA BONGO
OFISA Habari wa Simba, Haji Manara amesema kuwa Ugonjwa wa Covid-19 unaonezwa na Virusi vya Corona umetibua dili lake la kuwaleta nchini Wazungu wa Klabu ya Olympique Lyonnais ambao walikuwa wanakuja kwa ajili ya kuangalia vipaji. Manara amesema kwamba alipata dili na klabu hiyo baada ya kwenda nchini Ufaransa hivi karibuni na walikubali kuja Aprili 28, mwaka huu lakini virusi...
HIZI NDIZO TIMU ALIZOKIPIGA NYOTA MWENYE RASTA ANAYEWINDWA NA YANGA
YASSIN Salum beki wa Polisi Tanzania anayekipiga ndani ya Polisi Tanzania mwenye rasta kichwani mabosi wa Yanga inaelezwa kuwa wamemuweka kwenye hesabu ili kuipata saini yake.Nyota huyo kabla ya kuibukia Polisi Tanzania aliwahi kucheza ndani ya Stand United ambayo kwa sasa inashiriki Ligi Daraja la Kwanza hiyo ilikuwa ni mwaka 2014.Aliibukia ndani ya Polisi Tanzania iliyo chini ya Malale...
BEN CHILWELL WA LEICESTER AINGIA ANGA ZA CHELSEA
BEN Chilwell nyota wa Leicester City ameingia kwenye hesabu za kuwaniwa na Klabu ya Chelsea ili akaongeze nguvu ndani ya kikosi hicho kinachoshiriki Ligi Kuu England.Frank Lampard mbaye ni Kocha Mkuu wa Chelsea ameonyesha dalili za kumtaka nyota huyo ili awe naye kwenye kikosi chake.Inaelezwa kuwa dau la kumtoa beki huyo ndani ya Leicester City ni pauni milioni 50.Nyota...
MNATA: YANGA KUNA USHINDANI WA NAMBA
METACHA Mnata, mlinda mlango namba mbili wa Yanga amesema kuwa ndani ya kikosi hicho kuna ushindani mkubwa wa namba jambo linalomfanya azidi kupambana kuwa bora.Ndani ya Yanga kuna makipa watatu ambao ni Farouk Shikalo, Ramadhan Kabwili pamoja na Mnata mwenyewe."Ushindani wa namba ni mkubwa kwani kila mmoja ana kitu cha kipekee, jambo hilo linanifanya nami nipambane kuwa bora kwani...
UONGOZI WA SIMBA: TULISTAHILI KUFUNGWA NA YANGA, BOSI MMOJA ALISHINDWA KUMALIZA KUUTAZAMA MCHEZO
UONGOZI wa Simba umesema kuwa Yanga walistahili kushinda mechi yao iliyochezwa Machi 8 Uwanja wa Taifa kutokana na kuwazidi mbinu.Yanga iliwashinda Simba kwa kuifunga bao 1-0 bao lililofungwa na Bernard Morrison dakika ya 44.Habari kutoka ndani ya Uongozi wa Simba zimeeleza kuwa walistahili kuchapwa kwenye mechi hiyo kwa kushindwa kufanya vizuri."Tulistahili kufungwa kwa kuwa hatukufanya vizuri na wapinzani wetu...
MABOSI YANGA WATUMA UJUMBE MZITO SIMBA, KISA TSHISHIMBI
WANAFAMILIA wa Yanga ambao ni mabosi pia Kampuni ya GSM imesema kuwa iwapo kuna klabu ndani ya Bongo ama nje ya nchi itahitaji saini ya nahodha Papy Tshishimbi inapaswa isubiri mpaka mkataba umalizike.Maneno hayo ni ujumbe kwa watani wao Simba ambao ilielezwa kuwa wanahitaji saini ya nyota huyo ili akaongeze makali ndani ya kikosi cha Simba.Mkurugenzi wa Uwekezaji ndani...
MUONEKANO WA UKURASA WA NYUMA GAZETI LA CHAMPIONI IJUMAA
MUONEKANO wa Ukurasa wa nyuma Gazeti la Championi Ijumaa
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI IJUMAA
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la Championi Ijumaa