KUHUSU USAJILI MPYA MSIMBAZI..SENZO EMEFUNGUKA HAYA..!!
WAKATI baadhi ya majina ya wachezaji wakihusishwa na Simba, uongozi wa klabu hiyo umesema tayari umepokea mapendekezo ya benchi la ufundi linaloongozwa na Kocha Mbelgiji Sven Vandenbroeck na kuanza kuyafanyia kazi kimya kimya.Akizungumza na gazeti la Nipashe jijini Dar es Salaam, Mtendaji Mkuu wa Simba, Senzo Mazingisa, alisema kwa sasa wanafanyia kazi mapendekezo ya benchi la ufundi kwa wachezaji...
MLINDA MLANGO MTIBWA SUGAR AANZA KUPIGA MAZOEZI MEPESI NYUMBANI
ABOUTWALIB Mshery, mlinda mlango wa Mtibwa Sugar kwa sasa hali yake inaendelea vizuri baada ya kupata matibabu.Nyota huyo alipata majeraha Februari 15 wakati timu yake ilipokuwa inamenyana na JKT Tanzania.Kwa sasa mlinda mlango huyo anaendelea na mazoezi mepesi akiwa nyumbani kutokana na kujilinda na Virusi vya Corona.
MBELGIJI WA YANGA ASHIKILIA HATMA YA TSHISHIMBI
UONGOZI wa Yanga umesema kuwa hautakubali kumruhusu mchezaji wao yeyote kusepa iwapo Kocha Mkuu, Luc Eymael atahitaji saini yake ikiwa ni pamoja na Papy Tshishimbi.Kwa sasa Yanga ipo kwenye mazungumzo ya kuongeza mkataba na Tshishimbi ambaye inaelezwa kuwa Simba wapo kwenye mpango wa kuinasa saini yake.Akizungumza na Saleh Jembe, Ofisa Uhamasishaji wa Yanga, Antonio Nugaz amesema kuwa wana mpango...
NYOTA POLISI TANZANIA SAINI YAKE YAGEUKA DILI
BARAKA Majogoro kiungo wa Polisi Tanzania saini yake imegeuka lulu kutokana na klabu nyingi kuelezwa kuitaka saini yake.Polisi Tanzania ipo chini ya Kocha Mkuu, Malale Hamsini ipo nafasi ya sita kwenye msimamo wa Ligi Kuu Bara ikiwa na pointi zake 45.Miongoni mwa klabu ambazo zinatajwa kuwania saini yake ni pamoja na Namungo FC, Lipuli FC, Kagera Sugar na Azam...
MO RASHID: MUHIMU KUCHUKUA TAHADHARI YA VIRUSI VYA CORONA
MOHAMED Rashid, nyota wa JKT Tanzania anayekipiga kwa mkopo akitokea Simba amesema kuwa kuna umuhimu wa kila mmoja kuchukua tahadhari ya kujilinda dhidi ya Virusi vya Corona ili kubaki salama.Akizungumza na Saleh Jembe, Rashid amesema kuwa amekuwa akitumia muda mwingi nyumbani kutokana na kushindwa kuendelea na mazoezi ikiwa ni njia ya kujilinda na Corona."Muda mwingi natumia nikiwa nyumbani kwa...
MBAO FC YAGOMA KUSHUKA DARAJA
WAZIR Jr, mshambuliaji wa Mbao FC amesema kuwa anaimani kuwa timu yao haitashuka daraja kutokana na mipango ambayo itapangwa baada ya ligi kurejea.Kwa sasa Ligi Kuu Bara imesimama kupisha maambukizi ya Virusi vya Corona.Akizungumza na Saleh Jembe, Wazir amesema kuwa mipango mikubwa ni kuona timu inapata matokeo chanya kwenye mechi zilizobaki jambo litakalowabakiza kwenye ligi."Bado tuna nafasi ya kubaki...
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA BETIKA, BURE KABISA
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la Betika, lipo mtaani jipatie nakala yako BURE kabisa
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMATANO
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la Championi Jumatano, lipo mtaani nafasi ya kushinda ndinga ni yako
FRAGA WA SIMBA HUMUAMBII KITU KUHUSU KUKU, LICHA YA KUPIGWA STOP BADO WAMO
GERSON Fraga, kiungo wa Simba amesema kuwa wamepigwa stop kula kuku ila akipata muda huwa anafanya hivyo kwa kuwa ni vitu anavyovipenda.Fraga, raia wa Brazil ametupia mabao matatu kwenye Ligi Kuu Bara kati ya mabao 63 ambayo yamefungwa na Simba.Kwa sasa Ligi Kuu Bara imesimama kupisha maambukizi ya Virusi vya Corona.Fraga amesema: "Kati ya vitu ambavyo ninapenda ni msosi...
MTUPIAJI WA NAMUNGO AFUNGUKIA USAJILI WAKE YANGA
RELIANTS Lusajo, nahodha wa Namungo amesema kuwa anaamini akitua ndani ya Yanga ataendelea kutupia kama kawaida kutokana na uwezo alionao.Lusajo amekuwa akihusishwa kutua Yanga kuongeza makali ya safu ya ushambuliaji iliyo chini ya David Molinga mwenye mabao nane ya Ligi Kuu Bara ndani ya Yanga.Akizungumza na Saleh Jembe, Lusajo amesema kuwa amekuwa akiskia kuwa anahitajika kutua ndani ya Yanga...