NONDO WA COASTAL UNION AWAKUBALI MABEKI HAWA BONGO
BEKI chipukizi wa Coastal Union, Bakari Nondo amesema kuwa amekuwa akivutiwa na uwezo wa wazawa wanaokipiga ndani ya Simba na Yanga kutokana na uwezo wao.Ukuta wa Coastal Union umekuwa imara msimu huu ambapo kwenye mechi 28 ilizocheza na pointi 46 imefungwa mabao 19."Ninajifunza kwa wenzangu ambao ninakubali kazi zao wakiwa ndani ya uwanja, kwa upande wa mabeki ambao ninakubali...
MCHEKA NYAVU WA MBAO FC AWAOMBA WATANZANIA KUCHUKUA TAHADHARI DHIDI YA CORONA
WAZIRI Jr mshambuliaji anayekipiga ndani ya Mbao FC amesema kuwa kwa sasa anajifua ili kulinda kipaji chake pamoja na kuchukua tahadhari ya Virusi vya Corona.Jr ana tuzo ya mchezaji bora Ligi Kuu Bara mwezi Februari timu yake ipo nafasi ya 19 baada ya kucheza mechi 29 na kibindoni ina pointi 23.Nyota huyo amesema:"Hili ni janga la dunia nzima ni...
YANGA YATUMA UJUMBE HUU KWA PAPY TSHISHIMBI
UONGOZI wa Yanga umesema kuwa umemtumia salamu za kumtakia maisha marefu nahodha wao Papy Tshishimbi ambaye leo anatimiza miaka kadhaa.Akizungumza na Saleh Jembe, Ofisa Uhamasishaji wa Yanga, Antonio Nugaz amesema kuwa kabla ya kufanya shughuli zake leo alianza kumtumia ujumbe Tshishimbi kumtakia kheri ya kuzaliwa."Leo ni siku ya kumbukizi ya kuzaliwa kwa nahodha wetu Tshishimbi, kabla ya kuanza kufanya...
JAMES KOTEI:NINAWEZA KURUDI SIMBA
JAMES Kotei, kiraka wa zamani wa Simba amesema kuwa iwapo mabosi wake wa zamani watahitaji saini yake hana tatizo nao kwani hawakuzinguana.Nyota huyo kabla ya kusepa ndani ya Simba aliibuka kuwa kiungo bora wa timu kwa msimu wa 2018/19 walipotwaa ubingwa wa Ligi Kuu Bara."Ubora wa Simba hakuna ambaye anaweza kugoma kufanya kazi kutokana na ushirikiano uliopo na ukizingatia...
KIUNGO WA MTIBWA SUGAR ANAYEWINDWA NA YANGA AFUNGUKIA ISHU YAKE
ABDULHAMAN Humud, kiungo anayekipiga ndani ya Klabu ya Mtibwa Sugar amesema kuwa iwapo Yanga itahitaji saini yake hana tatizo nao lazima atasaini iwapo watafikia makubaliano.Humud amekuwa kwenye ubora wake msimu huu ndani ya Mtibwa Sugar iliyo nafasi ya 14 baada ya kucheza mechi 29 na kwenye mabao 22 waliyofunga yeye amefunga mabao mawili.Kiungo huyo amesema:"Mchezaji kazi yake ni kucheza...
KINARA WA UTUPIAJI BONGO ATAJA KINACHOWAPONZA WAZAWA KUTUSUA
MEDDIE Kagere, mshambuliaji wa Simba amesema kuwa wazawa wana uwezo mkubwa wa kucheza nje ya nchi ila wanashindwa kujiamini na kujituma ndani ya uwanja.Kwa sasa Ligi Kuu Bara ikiwa imesimama kupisha maambukizi ya Virusi vya Corona, Kagere ametupia mabao 19 akiwa ni namba moja kwa utupiaji.Kagere amesema:" Wachezaji wazawa hasa kwa nafasi ambayo ninacheza ya ushambuliaji wana nafasi ya...
YANGA YATOA TAMKO KUHUSU KURUDI KWA MTUPIAJI MAKAMBO
UONGOZI wa Yanga umesema kuwa mashabiki wanapaswa kuwa na subira kwa wakati huu kuhusu kumrudisha nyota wao wa zamani Heritier Makambo ndani ya Yanga.Makambo msimu wa 2018/19 alikuwa kinara wa kutupia ndani ya Yanga ambapo alifunga mabao 17 huku kinara wa jumla ndani ya Ligi Kuu Bara akiwa ni Meddie Kagere aliyetupia mabao 23.Kwa sasa imeelezwa kuwa Yanga inamvutia...
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMATATU
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la CHAMPIONI Jumatatu
KOCHA LIGI KUU AWAPA WACHEZAJI MAZOEZI YA KUCHEZA NA WAKE ZAO
JACKSON Mayanja aliyekuwa Kocha Mkuu wa KMC inayoshiriki Ligi Kuu Tanzania Bara amesema kuwa amewapa wachezaji wake mazoezi ya kucheza na wake zao wakiwa nyumbani ili kulinda vipaji vyao wakati huu ligi ikiwa imesimama.Mayanja kwa sasa ni Kocha Mkuu wa timu ya KFC ya Uganda inayoshiriki Ligi Kuu ya Uganda amesema kuwa ameamua kuwapa wachezaji wake program maalumu watakazofanya...
TIMU TATU KUBWA ZAINGIA VITANI KUIWINDA SAINI YA MARIO GOTZE WA DORTMUND
MARIO Gotze, kiungo anayekipiga ndani ya Borussia Dortmund saini yake imegeuka lulu kwa kuwaniwa na klabu kubwa ambazo zinahitaji huduma yake ikiwa ni pamoja na West Ham United, Everton na Roma.Matumaini ya klabu hizo ni kuipata saini ya nyota huyo bure kwani mkataba wake unameguka Juni 30 msimu huu huku ikielezwa kuwa hana mpango wa kusaini dili jipya.Akiwa ndani...