HESABU ZA MBARAKA YUSUPH ZIPO NAMNA HII

0

MBARAKA Yusuph, mshambuliaji wa Azam FC  amesema kuwa kwa sasa anaendelea na mazoezi binafsi akiwa nyumbani ili kurejea kwenye kasi yake ya zamani.Mbaraka alikuwa nje kwa muda mrefu kutokana na kusumbuliwa na majeraha, amerejea kikosini hakupata nafasi ya kucheza mpaka Ligi Kuu Bara iliposimamishwa kutokana na kuzuia maambukizi ya Virusi ya Corona.Akizungumza na Saleh Jembe, Mbaraka amesema kuwa amekuwa...

SIMBA YAMPA PONGEZI KAHATA

0

UONGOZI wa Simba umempa pongezi Francis Kahata kwa kujitolea kwa jamii yake nchini Kenya.Kahata ambaye kwa sasa yupo nchini Kenya alitoa msaada wa lita 10,000 za maji safi katika eneo la Mathare, jijini Nairobi ikiwa ni kwa ajili ya mapambano ya Virusi vya Corona.  Ofisa Habari wa Simba Haji Manara amesema kuwa ni jambo la msingi kwa nyota huyo kuisaidia...

HII HAPA TIMU AMBAYO NYOTA GUSTAVO WA BRAZIL ALICHEZA MECHI NYINGI

0

LUIS Gustavo Dias ni kiungo raia wa Brazil anayekipiga ndani ya klabu ya Fenarbahce kwa sasa.Kwenye maisha yake ya soka ni timu ya Vfl Wolfsburg alicheza mechi nyingi ambazo ni 109.Ilikuwa ni 2013-2017 na alifunga mabao saba, pia alikipiga Bayern Munich 2011-13 ambapo alifunga mabao sita baada ya kucheza mechi 64.Kwa sasa akiwa na timu yake ya Fenarbahce amecheza mechi...

MORRISON: MUHIMU KUJIWEKA FITI NA KUCHUKUA TAHADHARI

0

BERNARD Morrison, kiungo mshambuliaji wa Yanga amesema kuwa kazi kubwa kwa sasa ni kujiweka fiti ilikuwa imara.Morrison amekuwa kwenye ubora wake licha ya kucheza kwa muda mfupi baada ya kujiunga na Yanga akitokea nchini Ghana tayari amefunga mabao matatu kwenye ligi.Kwa sasa Ligi Kuu Bara imesimama kwa muda ili kupisha maambukizi ya Virusi vya Corona."Muhimu kwa kila mmoja kuchukua...

NAHODHA WA MBWANA SAMATTA AOMBA RADHI

0

JACK Grealish, nahodha wa Aston Villa ameomba radhi baada ya kuvunja agizo la Serikali la kujifungia ndani wakati huu wa mlipuko wa virusi vya Corona.Grealish, anacheza na nyota wa Tanzania Mbwana Samatta, amesema rafiki yake ndiye amemshawishi kufanya kosa hilo.“Kila mtu kujifungia ndani ni wakati mgumu kwa sasa, nilipata simu kutoka kwa rafiki yangu akitaka nikamuone kwake, na kwa...

TANZIA:KIONGOZI SIMBA ATANGULIA MBELE ZA HAKI

0

TAARIFA iliyotolewa leo Machi 31 na Uongozi wa Simba kupitia Ukurasa wa Instagram imeeleza hivi:-

MEDDIE KAGERE: NINAIPENDA KAZI YANGU

0

MEDDIE Kagere, mshambuliaji wa Simba amesema kuwa anapenda kazi yake ya mpira jambo linalomfanya afurahie kufunga kila wakati akiwa ndani ya uwanja.Ligi Kuu Bara kwa sasa imesimama ili kupisha maambukizi ya Virusi vya Corona wakati ligi ikisimama, Kagere alikuwa amefunga mabao 19.Kagere amesema:"Ninaipenda kazi yangu ndio maana nikiwa ndani ya uwanja ninafunga na ninafurahi pamoja na wachezaji wenzangu."Ninatambua kuwa...

MESSI: TULICHELEWA KUKATWA MSHAHARA

0

LIONEL Messi nahodha wa Barcelona, amesema kuwa jambo la wachezaji kukatwa mshahara limechelewa kufanyika kwa sababu wachezaji walikuwa wanapambana kuisadia klabu pamoja na kuwasiaidia wale walioathirika.Hatua hiyo ya kukatwa mshahara huo ni kwa ajili ya kuwachangia wafanyakazi wa Barcelona kulipwa mshahara pamoja nakuwasaidia waathirika wa Virusi vya Corona.Uongozi wa Barcelona umekubaliana kuwakata wachezaji  asilimia 70 ya mishahara.Messi,amesema:- "Kwetu wakati umefika,...

AISHI MAULA ALIKUBALI BAO ALILOFUNGWA NA MORRISON UWANJA WA TAIFA

0

  AISHI Manula mlinda mlango namba moja wa Simba amesema kuwa Bernard Morrison wa Yanga anastahili pongezi kwa kumtungua bao kwenye mchezo wa watani wa jadi uliochezwa Machi 8, Uwanja wa Taifa.Morrison alifunga bao la ushindi dakika ya 44 kwa mpira wa adhabu akiwa nje ya 18 lilidumu mpaka mwisho wa kipindi na kuipa pointi tatu Yanga. Manula amesema kuwa sheria...

NYOTA WA KMC ATAJA SABABU ZA MEDDIE KAGERE KUFUNGA MABAO

0

MSHAMBULIAJI wa KMC, Salim Aiyee amesema kuwa sababu kubwa inayomfanya Meddie Kagere wa Simba kufunga mabao mengi ni muunganiko anaoupata ndani ya Simba pamoja na kutokuwa na majeruhi.Aiyee alijiunga na KMC akitokea Mwadui FC ambapo alikuwa mshambuliaji tegemeo alitimiza majukumu yake kwa kufunga mabao mawili muhimu kwenye mchezo wa play off dhidi ya Geita na kuifanya timu hiyo kubaki...