WAKATI SIMBA WAKICHANGA NOTI ZA KUMNG’OA…..YANGA WAMWITA PACOME CHAP CHAP…
NYOTA wa Yanga SC Pacome Zouzoua inaelezwa kuwa ameitwa na mabosi wa timu hiyo ili kujadili kuhusu kuongeza mkataba kuendelea kusalia ndani ya timu hiyo inayonolewa na Kocha Mkuu, Miloud Hamdi. Pacome ni chaguo la kwanza la Hamdi ambapo kwenye msimu wa 2024/25 kacheza jumla ya mechi 23 Pacome kahusika kwenye mabao 18 akiwa kafunga mabao 9 na kutoa pasi...
BAADA YA CAS ‘KUWABANIA’…HII HAPA ‘TURN OUT’ YA KIBABE YA YANGA KUHUSU MECHI NA SIMBA
KLABU ya Yanga imetangaza rasmi Jumatatu hii kutoshiriki mechi yao dhidi ya watani wa jadi Simba SC, ikiwa ni sehemu ya kupinga kile walichokiita "dhulma na uvunjwaji mkubwa wa kanuni" katika uendeshaji wa soka nchini. Taarifa rasmi iliyotolewa kwa umma, Yanga imethibitisha kuwa imepokea majibu kutoka Mahakama ya Kimataifa ya Usuluhishi wa Michezo (CAS) kuhusu kesi yao namba CAS 2025/A/11298,...
KUELEKEA MECHI YA FAINAL CAF….AHMED ALLY AIBUKA NA ‘MZUKA’ HUU KWA WAARABU…
KATIKA kilele cha mafanikio ya kihistoria, Meneja wa klabu ya Simba, Ahmed Ally, ameweka wazi kuwa safari yao kwenye michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika bado haijakamilika licha ya kufuzu kwa mara ya pili kwenye fainali ya michuano hiyo. Simba iliingia fainali baada ya ushindi wa jumla wa bao 1-0 dhidi ya Stellabocsh FC, uwanja wa New Amaan Complex, Zanzibar...
FT:- JKT 0-1 SIMBA SC……NGOMA AFANYA KILICHOMSHINDA KIBU….TIZI LA CAF LANOGA….
BAO la kiungo Fabrice Ngoma alilofunga katika dakika za nyongeza kipindi cha kwanza, limetosha kuipa Simba ushindi wa 0-1 dhidi ya JK Tanzania na kujihakikishia nafasi kubwa ya kushiriki michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika msimu ujao ikifikisha pointi 63 ikiwafuata watani zao wa jadi, Yanga. Kipindi cha kwanza Simba ilionekana kuhitaji bao la kuongoza ikiliandama lango la JKT Tanzania,...
SHINDA KIRAHISI NA CASINO YA GATES OF OLIMPIA NDANI YA MERIDIANBET….
Meridianbet inayo furaha kubwa kutangaza uzinduzi wa mchezo mpya wa slot unaochukua wachezaji katika safari ya kimungu isiyosahaulika. “Gates of Olimpia”, kazi mpya ya kipekee kutoka kwa Expanse Studios, sasa inapatikana kwa wateja wa Meridianbet pekee. Ikiwa katika dunia ya hadithi za Kigiriki, Gates of Olimpia huleta uhalisia wa miungu wa kale kupitia picha za kuvutia, mizunguko yenye kasi, na...
TAJIRIKA NA ODDS ZA MERIDIANBET…USHINDI NI UHAKIKA …
Je unajua kuwa siku hii ya leo ni rahisi sana wewe kutajirika ukiwa na wakali wa ubashiri Tanzania Meridianbet kwani mechi kibao za leo zina odds kubwa hivyo ni rahisi kutajirika. Ingia kwenye akaunti yako na ubashiri sasa. Meridianbet leo hii walianza kuiangazia ligi kuu ya Italia yaani SERIE A ambapo Monza atakiwasha dhidi ya Atalanta ambao wapo nafasi ya...
WILD 27 KASINO YENYE MAAJABU KIBAO….SHINDA NA MERIDIANBET..
Kama unapenda sloti za matunda, basi chaguo lako limepata kiburudisho chenye hisia kali kiasi kwamba huwezi kusubiri kupoteza hata dakika moja bila kucheza kasino ya mtandaoni ya Meridianbet. Wild 27 ni sloti kutoka kasino ya mtandaoni iliyoandaliwa na mtayarishaji wa michezo ya kasino Fazi . Kwenye mchezo huu wa sloti, kwa msaada wa matunda matamu, unaweza kucheza bonasi mara mbili....
ODDS ZA UJANJA HIZI HAPA LEO HII…
Ikiwa leo hii ni Jumamosi ya kwanza ya mwezi Mei wakali wa ubashiri wanakwambia hivi, endelea kubashiri na Meridianbet ujiweke kwenye nafasi ya kupiga mshindo wa maana. Mechi kibao za ushindi zipo hapa. EPL mechi zinatarajiwa kuendelea kibabe leo ambapo Everton atakipiga dhidi ya Ipswich ambapo mechi ya kwanza kukutana, wenyeji wlaiondoka na ushindi. Ikumbukwe kuwa nafasi ya kushinda pale...
NAFASI YA KUWA MILIONEA IKO HAPA NDANI YA ODDS HIZI KUTOKA MERIDIANBET…
Ijumaa ya leo ni siku nzuri ya wewe kuondoka na mshindo wa maana ambapo wakali wa ubashiri Tanzania Meridianbet wanakwambia hivi, ingia kwenye akaunti yako na usuke jamvi hapa. EPL leo hii itaendelea kwa mchezo mmoja ambapo Manchester City watakuwa nyumbani kukiwasha dhidi ya Wolves ambao wapo nafasi ya 13 huku mechi ya mkondo wa kwanza kukutana timu hizi mbili...
BET BUILDER YA MERIDIANBET INAKUJA KUKUHAKIKISHIA USHINDI….HII HAPA…
Wakali wa ubashiri Meridianbet, imewaletea wapenzi wa michezo huduma ya kipekee ya BET BUILDER. Huduma hii inawawezesha wateja kubashiri machaguo mbalimbali katika mchezo mmoja, kutoa nafasi ya kushinda kwa njia ya kipekee na kuongeza raha ya kubashiri kwa mashabiki wa michezo. Nini ni Bet Builder ya Meridianbet? BET BUILDER ni huduma ya kipekee inayotolewa na Meridianbet, inayowawezesha wateja kubashiri matukio mbalimbali...