HUKU SIO ODDS TU….MPAKA JAMII NI YETU SOTE….MERIDIANBET KIBINGWA ZAIDI…

0
Meridianbet

Katika kuendeleza dhamira yake ya kuchangia ustawi wa jamii na kugusa maisha ya Watanzania, kampuni inayoongoza kwa michezo ya kubashiri na kasino mtandaoni, Meridianbet, imefanya zoezi la kugawa vifaa vya kujifungulia (Maternity Kits) pamoja na diapers kwa watu wazima (Adult Diapers) kwa kina mama waliojifungua katika Hospitali ya Palestina, iliyopo Sinza jijini Dar es Salaam. Kampuni hiyo imekuwa mbele kabisa...

BAADA YA KUTINGA FAINAL KIBABE….HII HAPA NJIA YA SIMBA KUBEBA KOMBE KILAINIII…

0
Habari za Simba leo

KWA muda wa zaidi ya miaka 30, mashabiki wa Simba wamekuwa wakisubiri kwa hamu siku ambayo timu hiyo itaandika historia mpya katika ramani ya soka la Afrika. Hatimaye, siku hiyo imefika. Simba ilitinga fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika, Jumapili iliyopita huko Durban, Afrika Kusini baada ya miaka 32 ya kusubiri na sasa itavaana na RS Berkane kwenye mchezo wa...

HII HAPA CASINO YA KIBABE ..USHINDI UHAKIKA NDANI YA MERIDIANBET…

0
Meridianbet

Moja kati ya biashara nzuri na yenye mtaji mdogo ni uuzaji wa matunda, huhitaji kuwa na mamilioni ufanye uwekezaji bali unahitaji akili tu ya namna ya kuweka dau lako. Meridianbet Kasino ya Mtandaoni kuna huu mchezo wa Matunda unaitwa Sticky 777. Shinda Mamilioni kwa kujisajili na Meridianbet. Alama kubwa zaidi kwenye sloti hii ya kasino ya mtandaoni ni Sticky 777...

FT: HIZI HAPA DK 90 ZA VAR ZILIVYOIHAKIKISHIA SIMBA MABILIONI…ILIBAKI HIVI 🀏TU…

0
Habari za Simba leo

Sare ya bila kufungana dhidi ya Stellenbosch ugenini kwenye Uwanja wa Moses Mabhida, Durban Afrika Kusini leo Aprili 27, 2025 imeivusha Simba kwenda hatua ya fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika ikibebwa na ushindi wa bao 1-0 ilioupata katika mechi ya kwanza nyumbani Jumapili iliyopita. Stellenbosch ambao katika mechi nyingi za mashindano hayo wamekuwa wakicheza kwa kutegemea mashambulizi ya kushtukiza,...

YA MWAKA 93 KUJIRUDIA SIMBA…? HIZI HAPA DK 90 ZA SAUZI ZILIVYOUA HISTORIA YA YANGA….

0
Habari za Simba leo

KLABU ya Simba ya Tanzania imeandika historia mpya baada ya kufuzu fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika kwa mara ya pili katika historia yao. Simba imefuzu baada ya kutoka sare tasa (0-0) dhidi ya Stellenbosch FC ya Afrika Kusini kwenye mchezo wa marudiano uliochezwa katika Uwanja wa Moses Mabhida, mjini Durban, Afrika Kusini. Simba imetinga hatua hiyo kwa faida ya ushindi...

DAKIKA CHACHE BAADA YA KUTINGA FAINAL CAF….RAIS SAMIA ATIA ‘NGUVU’ SIMBA….

0
Habari za Simba leo

TIMU ya Simba imefanikiiwa kwenda Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika baada ya sare ya bila kufungana na wenyeji, Stellenbosch katika mchezo wa marudiano wa Nusu Fainali jioni ya leo Uwanja wa Moses Mabhida Jijini Durban, Afrika Kusini. Simba wananufaika na ushindi wa 1-0 kwenye mchezo wa kwanza wa Jumapili iliyopita Uwanja wa New Amaan Complex, Zanzibar, bao pekee la...

SHINDA SIMU MPYA ZA KISASA NA MERIDIANBET….!

0
Meridianbet

Meridianbet inazidi kuwapa wateja wake burudani ya kipekee! Sasa unayo nafasi ya kipekee ya kuondoka na moja kati ya Samsung A25 mpya kabisa (5x) kupitia promosheni ya kusisimua: Jisajili, Weka Amana, Cheza na Ushinde! Ni rahisi kushiriki: πŸ‘‰ Jisajili kwenye Meridianbet. πŸ‘‰ Weka amana kwenye akaunti yako. πŸ‘‰ Cheza Kasino au kubashiri Michezo yoyote. Kila hatua hiyo inakupa nafasi moja ya kuingia kwenye droo...

TAZAMA HAPA πŸ›‘LIVE 🎞️πŸŽ₯: STELLENBOSCH vs SIMBA πŸ”΄ πŸ”΄ πŸ”΄

0
Stellenbosch vs Simba

Karibu katika kutazama Live mechi ya nusu fainal kati ya Stellenbosch vs Simba, tumia link hapo chini kutazama mechi hii live hivi leo. Link 1 Link 2 PREVIEW NI wazi dakika 45 za kwanza zitatoa picha ya timu ipi inaweza kusonga fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika pale Stellenbosch itakapokuwa mwenyeji wa Simba, Jumapili hii. Timu hizo zinakutana katika mechi ya marudiano ya nusu...

JUMAPILI YA KUOKOTA NA MERIDIANBET HII HAPA….

0
Meridianbet

Jumapili ya mshindo na Meridianbet imefika ambapo leo hii una nafasi ya kuibuka bingwa na mechi za kibabe kuanzia pale Uingereza mpaka kule Italia. Suka jamvi lako la ushindi sasa hapa. Leo hii pale Uingereza kuna mechi mbili ambapo Manchester United atakuwa ugenini kukipiga dhidi ya AFC Bournemouth ambapo tofauti ya pointi kati yao ni 11 pekee. Mechi ya mwisho...

AMERICAN ROULETTE MCHEZO RAHISI WA KUBASHIRI GURUDUMU LA NAMBA…..

0
Meridianbet

Dkt Jerecki ndiye muanzilishi wa mchezo wa Roulette ambapo yeye binafsi alikuwa akifika kwenye jumba la kasino majokeri wenzake wanamkimbia kwa kuogopa kupunwa pesa zao. Jamaa alifariki akiwa na miaka 80 na kwa namna ya kipekee mchango wake kwenye ulimwengu wa michezo ya Kamari anakumbukwa. American Roulette sawa na michezo mingine ya Roulette unapatikana Meridianbet kwenye kasino ya mtandaoni kutoka...