MBWANA SAMATTA AKOSA CHA KUWAAMBIA MASHABIKI
MBWANA Samatta, nahodha wa timu ya Taifa ya Tanzania anayekipiga klabu ya Aston Villa amesema kuwa hana cha kuwaambia mashabiki wa Tanzania zaidi ya...
KOCHA YANGA AKIWASHA TENA, AWAMU HII NI JUU YA WACHEZAJI
KOCHA Mkuu wa Yanga, Luc Eymael, amesema kuwa kuna tatizo linaloimaliza safu ya ulinzi taratibu na inahitaji kutafutiwa dawa mapema.Yanga ikiwa imecheza jumla ya...
NABII ATAKA BILIONI 115 AMFUFUE KOBE, ISHU NZIMA IMEKAA NAMNA HII
WAKATI dunia ikiendelea kuomboleza kifo cha nyota wa mpira wa kikapu wa Marekani, Kobe Bryant, bintiye Gianna pamoja na watu wengine saba, nabii mmoja...
MORRISSON AFANYA BALAA JIPYA YANGA, NDANI YA CHAMPIONI IJUMAA
MUONEKANO wa Ukurasa wa Mbele Gazeti la CHAMPIONI Ijumaa
NAMNA ULIVYO MZUKA WA SAMATTA KUELEKEA MECHI NA MAN CITY
STRAIKA ghali zaidi Afrika Mashariki, Mbwana Samatta, Jumanne ijayo anaanza kukipiga ndani ya klabu yake mpya ya Aston Villa.Habari za mchezaji huyo kukinukisha ndani...
STRAIKA ALIYEZUA GUMZO NCHINI AAMUA KUJIFUNGA, SABABU NI ….
Baada ya kuonyesha vitu adimu vilivyomkosha kila Mwanayanga na kuwaumiza wapinzani, straika wa Yanga, Bernard Morrison, ameingia chimbo kutengeneza dawa ya mabeki jeuri.Morrison aliyetua...
MORRISON MWINGINE KUSHUSHWA YANGA
WAKATI nyota wa Yanga raia wa Ghana, Bernard Morrison, akiendelea kuwafanya wapenzi wa timu hiyo washindwe kuamini anachofanya uwanjani, kocha mkuu wa Yanga, Luc...
KISA SIMBA, KOCHA YANGA AKIWASHA TENA, AWATAJA TFF
Kocha Mkuu wa Yanga amefunguka machache kuhusiana na matokeo ya mchezo baina ya Simba dhidi ya Namungo FC ambayo yalikuwa ni ushindi wa mabao...
HAZARD AREJESHA MATUMAINI REAL MADRID
STAA wa Real Madrid, Eden Hazard, ameanza kufanya mazoezi ya uwanjani baada ya kuwa nje kwa muda mrefu akiuguza majeraha.Hazard alianza mazoezi hayo juzi...
KOCHA SIMBA AMCHANA STRAIKA YANGA
ALIYEWAHI kuwa kocha wa Simba, Jamhuri Kihwelu ‘Julio’ amemuangalia straika Muivory Coast, Yikpe Gnamien ambaye Yanga wanatamba naye, akasonya kwa sauti na kukunja sura...












