STARTIMES IPO KWA AJILI YA JAMII, MATUKIO YAKE YA 2019 HAYA HAPA, TUZO PIA ZIPO

0

MWAKA 2019 umeshameguka na sasa tupo mwaka 2020, leo ni Januari,29. Haya hapa ni matukio ya StarTimes 2019:-Tangu kuingia katika soko la Afrika Mwaka...

SIMBA YATINGA BUNGENI LEO, SPIKA AZINDUA KADI ZA MASHABIKI

0

UONGOZI wa Simba leo ukiongozwa na Mtendaji Mkuu, Senzo Mbatha, leoumeytia timu Bungeni, Dodoma.Simba ipo kwenye mchakato wa kuzindua matumizi ya kadi za mashabiki.Saa...

KIFO CHA KOBE BRYANT CHASIMAMISHA RATIBA YA MECHI NBA

0

CHAMA cha mpira wa Kikapu Marekani (NBA) kimeahirisha mchezo wa Ligi ya NBA kati ya Los Angeles Clippers uliopangwa kufanyika usiku wa kuamkia leo...

MO SALAH BADO WAMO NDANI YA EPL

0

MOHAMED Salah, mshambuliaji wa Liverpool,aametupia jumla ya mabao 11 kwenye Ligi Kuu England msimu huu wa 2019/20.Ana wastani wa kufunga kila baada ya dakika...

VITA YA SIMBA NA NAMUNGO LEO KUNOGESHWA NA HAYA HAPA

0

NAMUNGO ya Lindi itakuwa na kazi ya kuendeleza ubabe wao ndani ya Ligi Kuu Bara wakiwa na kumbukumbu ya kupindua meza kibabe mbele ya...

MBELGIJI AWAPIGA MKWARA NYOTA HAWA WA YANGA

0

LUC Eymael, Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa wachezaji wake wawili ambao ni Ditram Nchimbi na Feisal Salum waliomba msamaha kwa kutimka kambini bila...

MTIBWA SUGAR : HASIRA ZOTE SASA KWA AZAM FC

0

BAADA ya Mtibwa Sugar kutupwa nje kwenye mashindano ya Kombe la Shirikisho na Sahare Stars kwa kufungwa penalti 3-2 baada ya sare ya kufungana...

NAMUNGO YAZITAKA POINTI TATU ZA SIMBA LEO, TAIFA

0

HITIMANA Thiery, Kocha Mkuu wa timu ya Namungo amesema kuwa leo ataingia na mbinu mpya itakayompa nguvu ya kupata pointi tatu kwenye mchezo wao...

SAMATTA SASA KUKUTANA NA MANCHESTER CITY AMA MANCHESTER UNITED FAINALI YA CARABAO

0

MBWANA Samatta, mshambuliaji wa timu ya Aston Villa alitumia dakika 65 ndani ya Uwanja kuonyesha makeke yake mbele ya Leicester City wakati timu yake...

CHAMPIONI JUMATANO, JANUARI,29,UKURASA WAKE WA MBELE UPO HIVI LEO

0

MUONEKANO wa UKURASA wa mbele GAZETI la CHAMPIONI Jumatano, Januari,29.