MORRISON AZIDI KUWA HABARI NYINGINE

0

Nahodha msaidizi wa Yanga, Juma Abdul, amesema kuwa uwezo alionao kiungo mshambuliaji, Bernard Morrison, raia wa Ghana, ni habari nyingine kwani ana vitu vingi...

TAMKO JINGINE LA KOCHA YANGA JUU YA MORRISON, INAONESHA AMEKERWA

0

Kocha Mkuu wa Klabu ya Yanga, Luc Eymael amesema hapendi kuona mchezaji wake, kiungo Bernard Morrison akiwadhalilisha wapinzani wake kwa staili yake ya uchezaji.Kauli...

ISHU YA IST YA KABWILI, SIMBA WAITAJA TFF

0
Habari za Simba

Hii hapa ni taarifa ya Simba kuhusiana na tamko la Ramadhan Kabwili juu ya kupewa IST na viongozi wa klabu ya Simba. Moja ya...

SAMATTA KUANZA KUONYESHA MAKEKE YAKE LEO KWA MARA YA KWANZA

0

MBWANA Samatta aingia Jumla kwenye kikosi cha kwanza, leo kuanza kuonyesha makeke dhidi ya Leicester City, mchezo wa Kombe la Carabao.

SASA MAMBO KWA ULIMWENGU NI SAFI NDANI YA TP MAZEMBE, KESHO KUTAMBULISHWA RASMI

0

THOMAS Ulimwengu, mshambuliaji wa timu ya Taifa ya Tanzania aliyekuwa anakipiga kwenye klabu ya JS Saura ya Algeria yupo kwenye hatua za mwisho kutambulishwa...

ARGUERO AONGEZA URAFIKI NA NYAVU, KWA KUTUPIA TU BALAA

0

SERGIO Aguero,mshambuliaji wa Manchester City ameongeza urafiki na nyavu ambapo mpaka sasa ametupia jumla ya mabao 16 ndani ya Ligi Kuu England.Amecheza jumla ya...

SIMBA YATOA TAMKO ISHU YA IST YA KABWILI

0

UONGOZI wa Simba leo umetoa tamko rasmi kuhusu suala la mchezaji wa Yanga, Ramadhan Kabwili, kudai kwamba aliahidiwa kupewa gari aina ya Toyota IST...

KIJITONYAMA VETERANS KUMENOGA, UONGOZI MPYA WAPATIKANA, MOLANDI AANZA NA MKWARA WA KUMSHUSHA MORRISSON

0

TIMU ya Kijitonyama Veterans wikiendi hii ilifanikiwa kupata viongozi wapya watakaoiongoza timu hiyo kwa kipindi cha miaka minne baada ya ya kufanya uchaguzi.Katika uchaguzi...