COASTAL UNION YAMKOMALIA KIBA
JUMA Mgunda, Kocha Mkuu wa Coastal Union amesema kuwa nyota wa timu hiyo ambaye pia ni mwanamuziki wa Bongo Fleva Ally Kiba yupo sana ndani ya kikosi hicho.Kiba msimu uliopita ndani ya Coastal Union alicheza mechi mbili tu kutokana na kubanwa na majukumu ya kazi za muziki.Akizungumza na Saleh Jembe, Mgunda amesema kuwa kwa sasa wapo kwenye harakati ya...
RATIBA YA TIMU ZILIZOTINGA 16 BORA AFCON
BAADA ya timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' kupoeza mechi zake zote kwenye kundi C michuano ya Afcon zilizotinga hatua ya 18 hizi hapa na ratiba yake ipo namna hii:-Egypt v South AfricaMadagascar v DR CongoNigeria v CameroonSenegal v UgandaAlgeria v GuineaMorocco v Benin Mali v Ivory CoastGhana v Tunisia
MRITHI WA SARRI, LAMPARD KUTANGAZWA KESHO
Mchezaji wa zamani wa Chelsea Frank Lampard atatangazwa kama kocha mpya wa kikosi cha Chelsea kuja akichukua mikoba ya Maurizio Sarri.Sarri ametimkia kukinoa kikosi cha Juventus na tayari ameshatambulishwa.Wengi wanampa nafasi ya kufanya vizuri kwa kigeo cha kuitambua vema timu yake hiyo ya zamani.
EXCLUSIVE: GADIEL MICHAEL AFUNGUKA JUU YA KUSAINI SIMBA
Beki wa kushoto wa Yanga, Gadiel Michael, amekanusha taarifa zilizozagaa kuwa amesaini mkataba na Simba na kwamba hajafanya mawasiliano yoyote na klabu hiyo.Amesema suala la kuongeza mkataba na klabu yake ya sasa ya Yanga litakamilika siku chache zijazo baada ya kurejea kutoka kwenye mashindano ya ubingwa kwa nchi za Afrika (AFCON) yanayofanyika Misri.Beki huyo amefunguka kufuatia kuzuka kwa tetesi...
STRAIKA MPYA YANGA AWACHIMBA MKWARA WABRAZIL SIMBA AKIWA KWAO RWANDA
Mshambuliaji mpya wa Yanga, Issa Bigirimana ‘Walcott’ amesikia taarifa za usajili wa mabeki wapya wa Kibrazili wa Simba na kutamka kuwa hao ndio anaowataka.Kauli hiyo ameitoa ikiwa ni siku chache tangu Simba itangaze usajili wa wachezaji watatu kutoka Brazil, kati ya hao wawili mabeki ambao ni Tairone Santos da Silva, Gerson Fraga Vieira na mshambuliaji, Wilker Henrique da Silva.Bigirimana...
SIMBA KUKIPIGA NA ARSENAL KWA MKAPA
Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini wa Klabu ya Simba na mwekezaji wa Klabu hiyo, Mohammed Dewji ‘Mo’, ameonekana akiwa na jezi ya Timu ya Arsenal ambayo imesainiwa na wachezaji huku akiishukuru timu hiyo kubwa duniani.Mo kupitia akaunti yake ya Instagram, ameandika ujumbe wa kuishukuru Arsenal inayoshiriki Ligi Kuu ya Uingereza (EPL) kwa zawadi hiyo huku akisema kuwa anatarajia kuwa...
KOCHA YANGA ASHINDWA KUJIZUIA, ATOA TAMKO JUU YA WABRAZIL SIMBA
Kocha wa timu ya wanawake ya Yanga, Mohamed Hussein ‘Mmachinga’, amesema kuwa wachezaji wote wa kigeni ambao wamesajiliwa na Simba, wataibeba timu hiyo kimataifa ila ndani ya Ligi Kuu Bara itakuwa pasua kichwa.Kwa sasa tayari Simba imemalizana na wachezaji wanne wa kigeni ambao wana uhakika wa kuonyesha makeke yao msimu ujao ikiwa ni pamoja na Wilker Henrique da Silva,...
MARKO ARNAUTOVI ATAKA KUSEPA WESTHAM NA KUTIMKIA CHINA
MARKO Arnautovic anahitaji kuiacha timu yake ya West Ham ili kujiunga na ligi ya China licha ya timu nyingi zinazoshiriki Ligi Kuu ya England kuhitaji saini yake. Mshambuliaji huyo mwenye miaka 30 raia wa ambaye anawakilishwa na kaka yake Daniejel bdo hajapewa barua ya uhamisho kutoka timu yake ya wagonga nyundoHata hivyo bado anaamini kwamba kabla ya dirisha la usajili...
AGREY MORIS KUKAA NJE YA UWANJA MIEZI MIWILI
AGREY Moris, nahodha wa klabu ya Azam FC anatarajia kuwa nje uwanja kwa muda wa miezi miwili baada ya kufanyiwa upasuaji wa goti nchini Misri juzi.Moris aliumia kwenye mchezo wa kirafiki wa timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' dhidi ya Misri wakati ikijiandaa na michuano ya Mataifa ya Afrika (AFCON) inayoendelea kutimua vumbi nchini Misri.Kwa mujibu wa ripoti...