MANULA AVUNJA REKODI YA DAU USAJILI SIMBA

0

Kipa namba moja wa timu ya taifa, Taifa Stars na Klabu ya Simba, Aishi Manula, anatajwa kuwa mchezaji wa kwanza mzawa kusaini kwa dau kubwa ambalo ni Sh milioni 120.Manula ni kati ya wachezaji walioboreshewa mikataba yao baada ya ile ya awali kumalizika mwishoni mwa msimu uliopita.Wachezaji wengine walioboreshewa mikataba yao ni Erasto Nyoni, John Bocco, Shomari Kapombe, Meddie...

BEKI MPYA MANCHESTER UNITED AMTAJA ALIYEMPELEKA UNITED

0

AARON Wan- Bissaka ambaye ni beki mpya ndani ya Manchester United amesema kuwa meneja wa timu hiyo Ole Gunnar Solkjaer ndiye amesababisha ajiunge na timu hiyo.Nyota huyo amejiunga na kikosi hicho akitokea Crystal Palace na ametambulishwa rasmi kuitumikia timu hiyo msimu ujao."Nimefurahi kutua Manchester United, wakati nikiwa kijana nilikuwa natamani sana siku moja nitue hapa na kocha Solskajaer ni...

SABABU YA RUVU SHOOTING KUFANYA KLINIKI KWA WACHEZAJI YATAJWA

0

UONGOZI wa Ruvu Shooting umesema kuwa kwa wachezaji wote wenye vipaji na wanajua kucheza mpira ni zamu yao kujitokeza leo kwa wingi uwanja wa Mabatini ili kuanza mchujo kwa gharama zao.Akizungumza na Saleh Jembe, Ofisa Habari wa Ruvu Shooting, Masau Bwire amesema kuwa ni fursa kwa kila mchezaji kuonyesha uwezo wake na atakayepenya atasajiliwa moja kwa moja."Tunaanza leo asubuhi...

SIMBA YAIBUKA NA JINGINE KUBWA LA USAJILI WIKI HII

0

Alichokizungumza Ofisa Mtendaji wa Simba, Crescentius Magori kuhusiana na usajili wa timu hiyo kwa wiki hii.

KISA KITI, MISRI WATIA AIBU ZONE V UGANDA

0

WAKATI mchezo wa mpira wa kikapu kati ya Tanzania dhidi ya Kenya upande wa wanaume ukichezwa juzi Jumamosi kwenye Uwanja wa Lugogo, Kampala nchini Uganda, wachezaji wa timu ya taifa ya wanawake ya Misri walitia aibu na kuzua vurugu kubwa.Vurugu hizo zilizosababisha mchezo huo wa mashindano ya Kanda ya Tano (Zone V) kusimama ndani ya robo ya tatu, zilitokana...

STARS YAPIGWA 3-0 NA ALGERIA AFCON, SASA KUPANDA NDEGE TAYARI KUREJEA NYUMBANI

0

Kikosi cha Taifa Stars kimekamilisha rasmi safari ya michuano ya AFCON huko Misri kwa kupokea kichapo cha mabao 3-0 dhidi ya Algeria.Katika mchezo huo wa kundi C, Stars imepokea kichapo cha tatu mfululizo baada ya kufungwa na Senegal kwa mabao 2-0 kisha Kenya kwa mabao 3-2.Mabao ya Algeria usiku huu yamewekwa na Islam Silmani pamoja na Adam Ounas aliyeingia...

KMC WAIWAHI MAPEMA TP MAZEMBE

0

KIKOSI cha timu ya KMC Alhamisi hii kinatarajia kukwea pipa kuelekea nchini Rwanda kwa ajili ya kuwawahi wapinzani wao TP Mazembe katika michuano ya Kombe la Kagame.KMC ambao wanafundishwa na kocha Jackson Mayanja raia wa Uganda, ni miongoni mwa timu shiriki za kombe hilo la Kagame ambapo walipata nafasi hiyo baada ya Yanga na Simba kujitoa.KMC wamepangwa Kundi B...

KOCHA MBRAZIL APONGEZA SILVER NA FRAGA KUSAJILIWA SIMBA ‘ WAMEPATA VIFAA’

0

KOCHA Mbrazil aliyewahi kutamba na Taifa Stars na Azam, Itamir Amorin ameukubali usajili wa Wabrazil uliofanywa na Simba inayojiandaa na Ligi ya Mabingwa Afrika inayoanza Agosti 9.Itamir ambaye aliletwa Tanzania na Kocha Mbrazil mwenye heshima, Marcio Maximo kama msaidizi wake na mtaalam wa viungo wa Taifa Stars, ameliambia Spoti Xtra kwa njia ya simu kutoka Rio De Janeiro nchini...