BALINYA AMTIKISA KAGERE BONGO

0

MSHAMBULIAJI mpya wa kikosi cha Yanga, Juma Balinya aliyesajiliwa na klabu hiyo kutoka Polisi ya Uganda, amefunguka kuwa moja ya malengo yake kwa msimu ujao ni kuhakikisha anarudia kitendo alichokifanya nchinikwao cha kuwa mfungaji bora.Balinya ni miongoni mwa nyota 10 wapya wa kikosi cha Yanga ambao wamesajiliwa kwa ajili ya msimu ujao.Mshambuliaji huyo msimu uliomalizika katika Ligi Kuu ya...

MNYARWANDA WA YANGA ATIMKIA ZAMBIA

0

KAMA Yanga hawatakaza uzi vizuri basi wapo mbioni kumkosa beki Mnyarwanda, Eric Rutanga ambaye wamekuwa wakimpigia hesabu kwa kiasi kikubwa kutokana na beki huyo kuwa njiani kutua Nkana FC ya Zambia.Rutanga ambaye anacheza nafasi ya beki wa kushoto, ni mmoja wa wachezaji ambao kocha wa Yanga, Mwinyi Zahera anayetaka asajiliwe na mabosi wa timu hiyo kwa msimu ujao.Rutanga anayeichezea...

Kiungo wa Simba amwaga wino Namungo fc

0

Kiungo mshambuliaji John Mbise amesajiliwa kwa mkataba wa miaka miwili kutumikia Wana wa Ruhangwa ya Lindi baada ya kuipandisha Ligi Kuu.John Mbisse aliepitia Simba kati ya mwaka 2014 na 2016 akiwa katika kikosi cha kina Mbaraka Yusuph, Idd Kipagwile, Issa Ngoa na Denis Richard.Baada ya kumwaga wino John Mbise alisema “Ni furaha kuendelea kubaki Namungo tena, ni...

KOTEI MWENYEWE AFUNGUKA JUU YA KWENDA YANGA

0

Kiungo mkabaji ambaye mkataba wake umemalizika na klabu ya Simba, Mgahana, James Kotei amesema haelewi juu ya hatma yake ndani ya kikosi hicho kutokana na kutopata mawasiliano na kiongozi yeyote wa Simba juu ya kuhitajika kwa msimu ujao.“Kwa sasa mimi nipo mapumziko tu huku nyumbani, ninacheza na watoto na familia yangu kiujumla sifahamu lolote juu ya usajili wangu.“Hadi sasa...

MANARA AIBUKA NA KALI NYINGINE JUU YA TAIFA STARS – VIDEO

0

Ofisa Habari wa klabu ya Simba, Haji Manara, amefunguka machache kuelekea mechi ya Taifa Stars dhidi ya Kenya Juni 27,  2019.

JUUKO AVURUGA HALI YA HEWA KWA VIONGOZI SIMBA

0

Jumamosi iliyopita inadaiwa kuwa viongozi wa Simba hawakuamini kile walichokiona kutoka kwa beki wao wa kati Mganda, Juuko Murshid alipokuwa akiitumikia timu yake ya taifa ya Uganda dhidi ya DR Congo katika michuano ya AFCON inayoendelea nchini Misri.Uwezo wa juu aliounyesha Juuko katika mchezo huo na kuiwezesha Uganda kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 ndiyo hasa uliyowavuruga viongozi hao...

HII KALI!! KINDOKI ATAKA MILIONI 45 YANGA, SABABU ATAJA

0

Kumekuwa na taarifa ambazo zinaeleza kuwa klabu ya Yanga huenda ikaachana na kipa wako Mkongomani Klaus Kindoki.Taarifa hizi zimesababisha mwenyewe kuibuka na kudai kiasi cha shilingi milioni 45 za kitanzania ili aweze kuondoka.Imeelezwa kuwa Kindoki anataka fedha hizo ili avunje mkataba na kama asipopewa hawezi kuondoka kwa namna yoyote ile.Licha ya tetesi za kuachwa na Yanga, awali ilielezwa kuwa...