MAJAMBAZI WAWILI WAUAWA NJOMBE

0

Jeshi la Polisi mkoani Njombe kwa kushirikiana na wananchi limefanikiwa kuwaua majambazi wawili huku mmoja akifanikiwa kutoroka kwa kutumia gari ndogo aina ya Special.Akizungumza na vyombo vya habari makao makuu ya jeshi hilo mjini Njombe kamishna msaidizi wa jeshi la polisi mkoa wa Njombe Salum hamduni amesema majambazi hao wameuawa kwa kujaribu kufanya unyang’anyi wa kutumia silaha mjini makambako...

HILI NDIYO KOSA LA UWOYA

0

Mwanadashosti Mwenye mvuto wake kuna Bongo Movies, Irene Pancras Uwoya, kwa mara ya kwanza amefunguka kosa kubwa alilolifanya kwenye maisha yake.Uwoya aliliambia gazeti alipendalo la Ijumaa kuwa, huko nyuma alikuwa akimuamini kila mtu akijua ni watu wazuri kama alivyowachukulia na kuwaacha wawe karibu yake, jambo ambalo halikuwa sahihi.“Hilo ndilo kosa kubwa ambalo nimelifanya katika maisha yangu kwa kuwaacha watu...

BREAKING NEWS!! KAGERA SUGAR YASALIA LIGI KUU, MWADUI NAYO YACHEKELA DHIDI YA GEITA

0

Na George MgangaMabao ya Ally Ramadhan mnamo dakika ya 51 kipindi cha pili na Japhet Makalai katika dakika ya 79 yameiwezesha Kagera Sugar kusalia kunako Ligi Kuu Bara msimu ujao.Kagera imefanikiwa kupata ushindi huo wa mabao 2-0 ikiwa ni baada ya dakika 45 za kipindi cha kwanza kumalizika matokeo yakiwa ni 0-0 dhidi ya pamba kutoka jijini Mwanza.Matokeo hayo...

MWADUI WABISHI KINOMAA, WAIKOMALIA GEITA

0

Salim Aiyee mshambuliaji wa Mwadui FC leo ameibuka shujaa baada ya kufunga mabao 2 ya ushindi yaliobakiza timu yake Ligi Kuu Bara.Aiyee alianza kucheka na nyavu dakika ya 32 kabla ya Geita kusawazisha dakika ya 50 kupitia kwa Baraka Jerome.Zikiwa zinahesabiwa sekunde kadhaa mchezo kuisha Aiyee aliwanyanyua mashabiki wa Mwadui FC kwa kupachika bao la pili dakika ya 90. Baada...

Timu za Ligi kuu msimu 2019/2020 hizi hapa

0

Baada ya mechi za mtoano kumalizika,  Mwadui Fc na Kagera Sugar zimeungana na timu 18 za awali zikiwemo timu mbili zilizopanda daraja msimu 209/2020. Msimu huo sasa utawaka moto kwa timu hizi hapa chini.#TimuPFAGDPts0Alliance FC000000Azam FC000000Biashara FC000000Coastal Union FC000000JKT Tanzania SC000000KMC FC000000Kagera Sugar FC000000Lipuli FC000000Mbao FC000000Mbeya City FC000000Mtibwa Sugar FC000000Mwadui FC000000Namungo FC000000Ndanda FC000000Polisi Tanzania000000Ruvu Shooting000000Simba SC000000Singida Utd...

PLAYOFF LIVE: KAGERA SUGAR 0-0 PAMBA

0

Kagera Sugar 0-0 PambaUwanja wa KaitabaKipindi cha kwanzaMCHEZO kwa sasa kati ya Kagera Sugar na Pamba FC zote za kanda ya ziwa umeanza ikiwa ni kipindi cha kwanza uwanja wa Kaitaba.Ushindani ni mkubwa na mashabiki wengi wamejitokeza kuona mchezo huu amabao utaamua hatma ya timu hizi mbili kubaki ndani ya TPL kwa Kagera Sugar ama kupanda kwa Pamba FC.Mpira...

MCHEZO WA KAGERA SUGAR V PAMBA WAINGIWA NA DOA, DAKIKA 16 ZAPITA

0

MCHEZO wa Playoff kati ya Kagera Sugar na Pamba uwanja wa Kaitaba umekumbwa na sintofahamu baada ya kupita dakika 17 bila kuanza.Mechi hiyo ambayo ni marudio ilipaswa ianze muda wa saa 10:00 kwani muda ulipofika timu zote zilitia timu uwanjani ila mpira bado haukuanza.Licha ya waamuzi kukagua wachezaji bado kuna taratibu za kiufundi ambazo zilikuwa zinakamilishwa.Baada ya taratibu kukamilika...

LEO NI LEO…TANZANIA vs ALGERIA….DEZO LOTE HILI NI KWA MSELELEKO ULE ULE WA DStv NA KWA ‘MTONYO’ ULE ULE…

0

@edgarkibwana anasema soka la nguvu linaendelea ndani ya @dstvtanzania pekee!Unaenda wapi? Furahia mechi bomba kabisa za kukata na shoka ikiwemo ya Tanzania vs Algeria ndani ya kifurushi cha Poa Jumatano hii na mechi ya Wales vs Netherlands siku ya Alhamisi tarehe 8 Juni.Umelipia? Piga *150*53# kulipia kifurushi chako cha Poa ufurahie mechi hizi.#DStvEwaaaah

ETO’O: STARS ITAFANYA MAAJABU AFCON

0

NGULI wa soka wa Cameroon, Samuel Eto’o ameweka wazi kuwa anaamini timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars itafanya kweli katika mashindano ya Kombe la Afrika ‘Afcon’ mwaka huu.Stars inatarajiwa kushiriki Afcon ambayo imepangwa kuanza kutimua vumbi Juni 21 hadi Julai 19, mwaka huu nchini Misri.Eto’o ni mshindi mara mbili wa Afcon mwaka 2000 na 2002 akiwa na kikosi...