HILI HAPA JESHI ZIMA LA MAUAJI LA LIPULI FC MSIMU MPYA
HILI hapa Jeshi Kamili la mauaji la Lipuli FC kwa msimu mpya wa mwaka 2019/20
ZAHERA AMUACHA KIUNGO YANGA
AKIWA na uhakika wa safari ya Botswana, kiungo mshambuliaji, Jaffer Mohamed ‘rasta’ juzi alikatwa dakika za mwisho na kuwekwa mshambuliaji raia wa Kenya, Maybin...
REKODI YAOBEBA SIMBA CAF
ZIKIWA zimebaki takribani siku nne kabla ya Simba kuivaa UD do Songo kutoka Msumbuji, rekodi zinaonyesha kuwa Simba wana asilimia kubwa ya kuibuka na...
SIMBA KUILIPIA YANGA KIKAO NA WAANDISHI
Na George Mganga,Dar es SalaamUongozi wa Simba kupitia Ofisa Habari wake, Haji Manara, umesema utalipia gharama za kikao na waandishi wa habari ambacho wamedhamiria...
STRAIKA YANGA: YANGA WAMEIFUNIKA SIMBA
WAKATI kikosi cha Yanga kikitarajia kushuka uwanjani Jumamosi ya wiki hii huko nchini Botswana, safu ya ulinzi ya timu hiyo imetajwa kuwa ndiyo itakayokuwa...
KISA BODI YA LIGI, MASAU BWIRE AIGOMEA YANGA ATOA ONYO
Na George Mganga,Dar es SalaamOfisa Habari wa klabu ya Ruvu Shooting, Masau Bwire, ameionya Bodi ya Ligi ya Shirikisho la Soka Tanzania (TPLB) kutoanza...
LIGI NDIYO INAANZA, KUNA MENGI YA KUJIFUNZA
LIGI Kuu Bara msimu wa 2019/20 inatarajiwa kuanza wikiendi hii kwa baadhi ya timu kupambana kwenye viwanja tofauti baada ya mchezo wa Ngao ya...
ZAHERA AFUNGUKA JUU YA KUONDOKA YANGA
Imeelezwa kuwa Kocha Mkuu wa Yanga, Mwinyi Zahera amekanusha taarifa zilizosambaa mitandaoni kuwa anataka kufutwa kibarua cha kuendelea kuinoa timu hiyo.Zahera ambaye hivi sasa...
YANGA WATIBUA MBINU ZA TOWNSHIP ROLLERS NAMNA HII
TUMEWATIBULIA! Hivyo ndivyo viongozi wa Yanga wanatamba ni baada ya kushtukia janja ya wapinzani wao Township Rollers ya nchini Botswana.Yanga inatarajiwa kuvaana na Rollers...
AJIBU ATUMA SALAAM ZA VITISHO SIMBA
BAADA ya kuwa nje kutokana na majeraha na kurejea kwenye mazoezi straika wa Simba Ibrahim Ajibu, amefunguka kuwa ameanza mazoezi atawakosa UD Songo ila...












