AZAM FC WAIKOMALIA KAGAME, SASA NGUVU ZAO WAMEWEKEZA HUKU

0

UONGOZI wa Azam FC umesema kuwa kwa sasa hesabu kubwa ni kukiandaa kikosi cha ushindani kitakachofanya vema kwenye michuano ya Kagame inayotarajiwa kuanza mwezi Julai nchini Rwanda.Azam FC ni mabingwa watetezi walitwaa ubingwa kwa kuifunga Simba mabao 2-1 uwanja wa Taifa.Akizungumza na Salehe Jembe, Mratibu wa Azam FC, Philip Alando amesema kuwa mpango mkubwa ni kuwa na kikosi imara kitakacholeta...

YANGA YAWEKA MSIMAMO WAKE KUHUSIANA NA AJIBU, NI MOJA AU MBILI

0

Baada ya ukimya wa muda mrefu, hatimaye leo uongozi wa klabu ya Yanga umetoa msimamo wake kuhusiana na kiungo Ibrahim Ajibu Migomba.Yanga imesema mkataba wake na Ajibu unaisha mwishoni mwa mwezi huu. Tayari wamemka Ajibu nafasi ya kuamua kama atasajili au la.Makamu Mwenyekiti wa Yanga, Frederick Mwakalebela amesema tayari wameamuambia Ajibu kama anataka kubaki wanamhitaji lakini kama anataka kuondoka,...

SIMBA YAMSAINISHA MKATA UMEME KUTOKA AL HILAL YA SUDAN

0

Simba imeamua kujiimarisha zaidi katika sehemu ya kiungo cha ukabaji kwa kuvuka mipaka hadi nchini Sudan ambako imemsajili kiungo Bora mara mbili mfululizo wa Ligi Kuu ya Sudan.Huyo ni mchezaji wa timu ya taifa ya Sudan tangu akiwa na miaka 17 akitokea kwa mabingwa mara tatu mfululizo wa Ligi Kuu ya Sudan klabu ya Al Hilal. Sharaf Eldin Shiboub Ali...

MAJEMBE YA KAZI 11 YAMALIZANA FASTA NA MATAJIRI WA BONGO AZAM FC

0

KAZI bado inaendelea kwa sasa ndani ya kikosi cha Azam FC ambapo kwa sasa Azam FC nao wanaendelea na kazi ya kuongeza nguvu ya kikosi cha Azam FC.Mpaka sasa tayari Azam FC wana jumla ya wachezaji 10 ambao wameongeza mkataba huku ingizo jipya likiwa ni jembe moja tu kutoka Mbeya City.Hawa hapa mambo safi ndani ya Azam FC ambao...

WANA KINONDONI BOYS ‘KMC’ HAWALALI, WASAJILI MASHINE SABA MIAKA MITATU

0

UONGOZI wa KMC umeendelea kuongeza makali ndani ya kikosi chao baada ya kuwapiga pini jumla ya nyota wao saba ndani ya kikosi hicho kwa kandarasi ya miaka mitatu. KMC walianza  kwa kumuongezea kandarasi ya miaka mitatu, Hassan Kabunda hivyo mkataba wake utamalizika mwaka 2022.Mshambuliaji Charles Ilanfia baada ya  mkataba wake wa awali kubakisha miezi sita tu ameongezewa kandarasi ya miaka mitatu...

SIMBA HAWAPOI MTINDO WAO KIMYAKIMYA, MASHINE ZAO SABA KAMA SAA SABA

0

MABINGWA watetezi Simba hawapo nyuma kenye usajili kama ilivyo kwa wapinzani wao wa jadi Yanga namna wanavyoshusha mashine mpya.Msimu huu wao wamekuja na utaratibu mpya kabisa wanakwenda kwa muda ambapo kila ikifika majira ya saa saba wanaangusha jina la mchezaji ambaye wamemalizana naye.Mpaka sasa tayari wamewatangaza rasmi wachezaji saba ambao wamemalizana nao kila kitu na watawatambulisha rasmi Juni 21 Mwanza. Hawa hapa...

AKIWA HAJAMALIZA HATA WIKI, BALINYA ATUMA MJUMBE MZITO KWA WACHEZAJI BONGO

0

NYOTA mpya wa klabu ya Yanga, mshambuliaji Juma Balinya amefunguka kwamba kwake hawazi sana nani ambaye ataanza naye kwenye pacha ya ushambuliaji ya timu hiyo, kwani anaamini atashirikiana naye vizuri na kuifanya kazi yake ya kufunga.Balinya aliyefunga mabao 19 kwenye Ligi Kuu ya Uganda msimu uliopita, ametua Yanga kwa mkataba wa miaka miwili ambapo alitangazwa Jumamosi iliyopita.Balinya kwa msimu...

STRAIKA HATARI ORLANDO PIRATES KUTUA SIMBA, AAGA RASMI

0

Simba ipo kwenye mipango ya kukamilisha taratibu za kumsajili mshambuliaji mzambia wa Orlando Pirates ya nchini afrika kusini, Justin Shonga.Timu hiyo imepanga kufanya usajili bab kubwa katika kukiimarisha kikosi chao kinachojiandaa na Ligi ya Mabingwa Afrika na Ligi Kuu Bara. Simba hadi sasa imewasajili wachezaji wawili ambao ni Beno Kakolanya aliyekuwa Yanga na Kennedy Juma wa Singida United.Taarifa ambazo...

SIMBA YASAJILI BEKI WA KATI MBRAZIL, TAYARI YUKO JIJINI DAR

0

Mabingwa wa Soka Tanzania, Simba wameamua kuhamia nchini Brazil na kumsajili beki wa kati, Gerson Fraga Vieira.Vieira yuko nchini na imeelezwa ana uwezo wa kucheza pia kama kiungo mkabaji na Simba itakamilisha kila kitu kesho Alhamisi.Mbrazil huyo amewahi kukipiga nchini India ambako soka linachipukia kwa kasi kubwa.

Vieira?

0

Anaitwa Gerson Fraga Vieira (kazaliwa tarehe 4 Oktoba 1992), unaweza muita Gerson pia, ni Mbrazili anayecheza soka la kulipwa nchini India katika klabu ya ATK, akicheza nafasi ya beki.Je ndiye ambaye analelekea kutua katiks klabu ya Simba Sc?The post Vieira? appeared first on Kandanda.