MUONEKANO WA GAZETI LA CHAMPIONI KATIKA UKURASA WA MBELE LEO JUMATANO
MUONEKANO WA GAZETI LA CHAMPIONI KATIKA UKURASA WA MBELE LEO JUMATANO
YANGA YAFUNGUKA JUU YA KUMSAJILI NDEMLA
KOCHA Mkuu wa Yanga, Mwinyi Zahera amesema kuwa kwa sasa hana mpango wa kumsajili kiungo wa Simba, Said Ndemla ambaye amekuwa akihusishwa kujiunga na kikosi chake.Zahera amesema kuwa mpango wake ni kuwa na kikosi bora ambacho kitakuwa na ushindani msimu ujao kutokana na aina ya wachezaji ambao anawataka."Sina mpango wa kumsajili Said Ndemla, simjui huyo mchezaji na hayupo kabisa...
NDUGU YAKE NA MEDDIE KAGERE AMWAGA WINO YANGA
Imefahamika kuwa winga hatari wa kulia na kushoto anayekipiga Klabu ya Mukura Victory Sports ya Rwanda, Patrick Sibomana, usiku wa kuamkia juzi alipanda ndege ya Rwand Air na kutua nchini kwa ajili ya kufanya mazungumzo na Yanga.Kocha Mkuu wa Yanga Mkongomani, Mwinyi Zahera aliwahi kuliambia Gazeti la Championi kuwa yupo kwenye mazungumzo na baadhi ya wachezaji sita wa kimataifa...
ZAHERA: NITAWAFUKUZA WACHEZAJI WOTE – VIDEO
TIMU ya Azam FC jana Jumanne, Mei 28, 2019 wamelipa kisasi baada ya kuifunga Yanga Sc kwa mabao 2-0, mchezo wa mwisho wa Ligi Kuu Tanzania bara uliopigwa katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.SIKILIZA ALICHOKIZUNGUMZA ZAHERA HAPA KUHUSIANA NA WACHEZAJI YANGA
ZAHERA AMZUNGUMZIA KIVINGINE KABISA SAID NDEMLA, AIBUA KIOJA KWA MKAPA
TIMU ya Azam FC jana Jumanne, Mei 28, 2019 wamelipa kisasi baada ya kuifunga Yanga kwa mabao 2-0, mchezo wa mwisho wa Ligi Kuu Tanzania bara uliopigwa katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.Bao la kwanza limefungwa na Daniel Amouh dakika ya 45 ya kipindi cha kwanza na bao la pili limefungwa na Mudathir Yahya dakika ya 50.Timu...
RASMI SIMBA KUWEKA KAMBI MAREKANI
KOCHA Mkuu wa Simba, Patrick Aussems, raia wa Ubelgiji na mwekezaji wa timu hiyo, mfanyabiashara Mohammed Dewji wamekubaliana kwa pamoja kuipeleka timu hiyo nchini Marekani katika kambi ya maandalizi ya msimu ujao.Aussems amekubaliana hivyo na Mo baada ya kufanikiwa kutetea ubingwa wa Ligi Kuu Bara. Na amefunguka hivyo katika mahojiano yake Jumatatu kwenye Hoteli ya Sea Scape jijini Dar...
UFAFANUZI NAMNA KAGERA ILIVYOSHUKA DARAJA
Kwa mujibu wa takwimu kutoka Bodi ya Ligi kabla ya michezo GD ya Stand United ilikuwa -9 na GD ya Kagera Sugar ilikuwa -11 matokeo ya LeoFT' JKT Tanzania 2-0 Stand United FT' Mbao FC 1-1 Kagera SugarMaana yake Stand United imebaki na pointi zake 44 na GD ya -11 na Kagera Sugar imekuwa na Pointi 44 na GD ya...