YANGA KUCHUKUA MAKOMBE YOTE MSIMU HUU, KIUNGO AFUNGUKA
Kiungo mkabaji wa Yanga Mkongomani, Papy Tshishimbi amekiangalia kikosi kipya cha timu hiyo na kutamka kuwa msimu huu utakuwa mzuri kwao wa kuchukua makombe...
BEKI MPYA SIMBA AJA NA KITISHO YANGA
Haruna Shamte, beki mpya ndani ya Simba ambaye amesaini kandarasi ya miaka miwili amesema kuwa moto wake haupoi msimu ujao ataendelea kuwaliza wapinzani wa...
YONDANI ALIPWA NUSU YA FEDHA ZAKE LAKINI ……
Wakati Andrew Vincent na Juma Abdul wakiwa wanadai jumla ya milioni 58, beki Kelvin Yondani amelipwa nusu ya fedha zake.Yondani amelipwa milioni 15 kati...
WAWILI WADAI MILIONI 58 YANGA
Taarifa zinaeleza kwamba uongozi wa Yanga bado unapambana kulipa madeni ya wachezaji wao kadhaa ambao bado wanaidai klabu hiyo yenye masikani yake mitaa ya...
SIMBA YASHANGAZWA NA UWEPO WA KICHUYA ARDHI YA BONGO
PATRICK Aussems, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa anashangazwa na taarifa ambazo zinaeleza kuwa winga machachari fundi wa kutumia mguu wa kushoto yupoyupo Bongo...
KOCHA YANGA APANIA KUUFIKISHA MUZIKI KIMATAIFA
JUMA Pondamali, aliyekuwa kocha wa makipa ndani ya Yanga amesema kuwa kwa sasa atapambana na muziki kuufikisha hatua za kimataifa.Pondamali kwa sasa amekacha kazi...
YANGA YAENDA CHIMBO KUTAFUTA DAWA YA TOWNSHIP ROLLERS
KIKOSI cha Yanga leokimeanza safari kuelekea nyanda za juu kaskazini kwa ajili ya kujiandaa na mchezo wa kimataifa wa marudio dhidi ya Township Rollers.Mwenyekiti...
PAUL POGBA BADO PASUA KICHWA NDANI YA UNITED
PAUL Pogba, kiungo wa Manchester United amefungua mjadala mpya juu ya ishu yake ya kutaka kutimka ndani ya kikosi hicho.Pogba kabla ya msimu alisema...
SERIKALI YAIPA TANO ZA KUTOSHA TANZANITE
NAIBU Waziri wa Habari, Sanaa, Michezo na Utamaduni, Juliana Shonza amesema kuwa mafanikio ya timu ya Taifa ya Wanawake chini ya miaka 20 'Tanzanite'...











