YANGA: SIBOMANA, BALINYA WATATUFIKISHA MBALI KITAIFA NA KIMATAIFA

0

MWINYI Zahera, Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa kasi ya Patrick Sibomana raia wa Rwanda ya kushuka na kupandisha mashambulizi itawabeba kitaifa na kimataifa.Zahera amesema...

SIMBA YAIPIGIA HESABU KALI AZAM FC

0

PATRICK Aussems, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa kwa sasa mpango wake anauwekeza kwenye mchezo wa ngao ya jamii dhidi ya Azam FC utakaochezwa...

KUMBE! ROLLERS YAIPELEKA YANGA KILIMANJARO

0

UONGOZI wa Yanga umesema kuwa sababu kubwa ya kukimbilia Kilimanjaro kuweka kambi ni mazingira ya mkoa huo kuendana na yale ya nchini Botswana wanakotokea...

JKT WAIKACHA BONGO, WATIMKIA VISIWANI HUKO KWENYE UPEPO

0

KIKOSI cha JKT Tanzania kimejichimbia Visiwani Zanzibar kwa ajili ya maandalizi ya mwisho kuelekea kwenye Ligi Kuu Bara inayotarajiwa kuanza kutimu vumbi Agosti 23.JKT...

TANZANITE YAREJEA KIBABE, MBALI NA KOMBE WAMEBEBA TUZO NNE

0

JULIANA Shonza, Naibu Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo ameongoza msafara ulioipokea timu ya Taifa ya Wanawake chini ya miaka 20 'Tanzanite' ambayo...

JUMA ABDUL, ANDREW VINCENT PASUA KICHWA YANGA, TAMKO LA UONGOZI HILI HAPA

0

FREDRICK Mwakalebela, Makamu Mwenyekiti wa Yanga amesema kuwa bado hajajua wachezaji wa Yanga ambao hawajajiunga na kikosi watarejea lini kwa sasa.Juma Abdul na Andrew...

SABABU YA MCHEZO WA AZAM FC NA SIMBA KUBADILISHIWA UWANJA YATAJWA

0

SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) limetaja sababu kubwa iliyofanya kuurejesha mchezo wa ngao ya jamii kati ya Simba na Azam FC uwanja wa Taifa...

GUARDIOLA AUKANDIA MFUMO WA VAR, ATAMANI MAMUZI YABAKI MIKONONI MWA WAAMUZI

0

PEP Guardiola, Meneja wa Manchester City amesema kuwa mfumo wa sasa wa komputya wa VAR unaua utamu wa soka halisi la awali.City imeanza kutupa...

RONALDO AANZA KUCHUNGUZWA NA POLISI KISA KUSUSIA MECHI

0

POLISI wa Korea Kusini wameanza kufuatilia suala la Cristiano Ronaldo kugomea kucheza mechi ya kirafiki kati ya Juventus dhidi ya Kombaini ya mastaa wanaocheza...

BLUE KUKUSANYA KIJIJI LEO MBAGALA, KUPIGA SHOO YA KIBABE MFANO HAKUNA

0

 MSANII nguli kwenye muziki wa Bongo fleva, Mr. Blue amesema kuwa leo atatoa burudani ambayo haina mfano kwenye ukumbi wa Taifa wa Burudani Dar...