KMC SASA KUSAJILI WA KIMATAIFA
BAADA ya kikosi cha Manispaa ya Kinondoni, KMC kupata zali la kushiriki michuano ya kimataifa msimu wa mwaka 2019/20 uongozi umepania kuboresha kikosi kwa ajili ya maandalizi ya michuano hiyo ya kimataifa.Akizungumza na Saleh Jembe, Ofisa Habari wa KMC, Anwari Binde amesema kuwa kwa sasa watabadilisha mtindo wa kusajili kutokana na kupata nafasi hiyo hivyo lazima wafanye kitu cha...
KUMEKUCHA NAMUNGO, BAADA YA KUIBOMOA ALLIANCE, SASA KUIBOMOA YANGA
BAADA ya Namungo FC kumsajili mshambuliaji wa Alliance FC, Bigirimana Blaise kwa kandarasi ya mwaka mmoja imeelezwa kuwa wanaiwinda saini ya mlinda mlango wa Yanga, Ramadhan Kabwili ili aongeze nguvu kwenye kikosi chao.Kabwili kwa sasa mkataba wake na Yanga imeelezwa umemalizika na bado hajaitwa mezani kuzungumzia ishu yake hali inayompa nafasi ya kuwa huru kuzungumza na timu yoyote inayomhitaji...
MUONEKANO WA UKURASA WA NYUMA GAZETI LA CHAMPIONI IJUMAA
MUONEKANO wa Ukurasa wa nyuma Gazeti la CHAMPIONI Ijumaa
MUONEKANO WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI IJUMAA
MUONEKANO wa Ukurasa wa Mbele Gazeti la CHAMPIONI Ijumaa
HIVI NDIVYO PLUIJM ALIVYOIBUKIA YANGA
KOCHA Mkuu wa Yanga, Mwinyi Zahera amesema kuwa anaogopa kufanya kazi na mzawa kwa kuwa ana mfano hai aliouona kwa kocha wa Azam FC Hans Pluijm ambaye alitimuliwa ndani ya Azam FC.Hii ni kutokana na kile kilichoelezwa kwamba anatafutiwa kocha msaidizi ambaye atafanya naye kazi msimu ujao kwenye benchi la ufundi.Zahera amesema kuwa alikaa na Pluijm baada ya kupigwa...
KIPA AGOMEA MKATABA SIMBA / KABWILI SAMATTA MFANO WA KUIGWA – VIDEO
Kipindi cha Spoti House kimeendelea tena, pata nafasi ya kuwasikiliza wachambuzi mbalimbali wa mabo ya soka kuhusiana na mpira wa miguu.
NYOTA SIMBA KUIBUKIA NAMUNGO
IMEBAINIKA kuwa nyota wa Simba, Adam Salamba amekuwa akiwindwa na klabu ya Namungo FC ambayo imepanda daraja pamoja na timu ambayo amewahi kuichezea na Lipuli FC.Salamba amekuwa akitajwa kuwa ni mchezaji wa simba ambaye Kocha Patrick Aussems hana mpango naye kwa msimu ujao wa ligi na huenda akachwaa au kutolewa kwa mkopo.Hivyo amekuwa akiwindwa na klabu ya Namungo ambayo...
KOCHA SIMBA KUIBUKIA TIMU NYINGINE LIGI KUU
KMC ambayo imepata nafasi ya dezo ya kushiriki Kombe la Shirikisho msimu ujao iko kwenye mazungumzo na Kocha wa zamani wa Simba na sasa Lipuli, Seleman Matola.Dili hilo limeanza baada ya KMC kushtukia kwamba Kocha wao wa sasa Etiene Ndayiragije huenda akatua Azam muda wowote.Habari zinasema kwamba Ndayiragije ambaye ni Mrundi amefikia pazuri na Azam lakini mambo yanakwenda kimyakimya.Viongozi...
KISA BEKI, MABOSI SIMBA WAISHINDWA YANGA
MABOSI wapya wa Yanga wamefanikisha mipango ya kumuongezea mkataba wa miaka mitatu beki wake, GadielMichael ambaye ilikuwa kiduchu tu asaini Simba.Dau alilowekewa mezani beki huyo lilikuwa ni Shilingi Milioni 40 na mshahara wa Milioni tatu. Habari za uhakika zinasema kuwa ni kwamba beki huyo wamefikia makubaliano na viongozi wa timu hiyo na wamemhakikishia mambo mazuri yanakuja akae mkao wa kula.Mmoja...
CHIRWA AIFANYIA MAAMUZI MENGINE YANGA
MAMBO yamemnyokea mshambuliaji wa Azam FC Obrey Chirwa baada ya kuelewana na kukubaliana kusaini mkataba wake mpya na klabu hiyo tukio ambalo litafanyika Jumamosi.Awali Chirwa ambaye ni Mzambia ligoma kusaini mkataba mpya na klabu hiyo na inatajwa kuwa malengo yake yalikuwa ni kutaka kurejea Yanga lakini kocha Zahera akamkaushia.Chirwa aliwahi kuichezea Yanga kabla ya kutimkia Misri kisha kurejea na...