MASTAA YANGA WAANZA KUKIONA CHA MOTO KWA FOLZ….PACOME, CONTE MHHH…..

0
Habari za Yanga leo

KOCHA wa Yanga, Romain Folz bado anaendelea kukijenga kikosi cha timu hiyo mdogomdogo na jana asubuhi kilikuwa pale Fukwe za Coco, jijini Dar es Salaam. Yanga ilikuwa hapo kwa takribani saa mbili ikiwa na mastaa wake wote wakiwemo viungo Moussa Bala Conte, Pacome Zouzoua na Ecua Celestine, lengo likiwa ni kufanya mazoezi ya ufukweni kuongeza utimamu wa mwili. Zoezi hilo limekuja...

MERIDIANBET YATOA MSAADA WA VYAKULA KIJITONYAMA…

0
Meridianbet

Ikiwa leo hii ni Ijumaa ya tarehe 22 Agosti, wakali wa ubashiri Tanzania Meridianbet wameamua kugusa maisha ya wakazi wa Kijitonyama Kisiwani kwa kuwapelekea msaada wa vyakula, huku hii ikiwa ni namna ya kurejesha kwa jamii. Msaa wa vyakula ambao Meridianbet waliupeleka ni pamoja na mchele, sukari, unga wa ugali na ngano. Sabuni za kufulia, mafuta ya kupikia na mengine...

LEO UNAMPA NANI AKUPE MKWANJA?..

0
Meridianbet

Mechi za kufuzu Europa League na Conference League zinaendelea leo na zipo nyingi hivyo kazi ni kwako kuchagua nani atakupa pesa kibao. Tandika jamvi lako siku ya leo mechi uzitakazo na uibuke bingwa hapa. AEK Athens yeye atasafari kuchuana vikali dhidi ya RSC Anderletch ambao kwenye mtanange huu wa leo kushinda, wamepewa ODDS 2.12 kwa 3.35. Mara ya mwisho wawili...

DAU LA TZS 3,055/= LAMGEUZA MSHINDI KUWA MILIONEA..

0
Meridianbet

Ushindi mkubwa katika ulimwengu wa michezo unaweza kutokea wakati usiotarajiwa, na hiyo imethibitishwa na mshindi wetu wa hivi karibuni kutoka Meridianbet. Kwa dau dogo tu la TZS 3,055/=, alifanikiwa kubadilisha maisha yake kwa kushinda jumla ya TZS 14,996,310/= Hii ni ushahidi wa kwamba umakini, mikakati sahihi na jukwaa la kuaminika kama MeridianBet linaweza kuleta mapinduzi makubwa, hata kwa wachezaji wa...

KISA CAF….. SIMBA vs YANGA MAPEMA TU MSIMU HUU….TFF WABADILI KANUNI CHAP….

0
HABARI ZA SIMBA NA YANGA

KARIAKOO Dabi inatarajiwa kuchezwa mapema ikiwa ni ufunguzi wa msimu mpya wa 2025/26 kwenye mchezo wa Ngao ya Jamii (Community Shield) itakayowakutanisha Yanga SC na Simba SC, Septemba 16, 2025 jijini Dar. Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limethibitisha kuwa kwa mwaka huu, Ngao ya Jamii itachezwa kwa mchezo mmoja pekee kufuatia mabadiliko ya kanuni yaliyopitishwa na Kamati ya...

NYUMA YA PAZIA HUU…HIZI HAPA SABABU ZA FEI KUBAKI AZAM….SIMBA WAMKANA KWEUPEEE…

0
Habari za Simba leo

JUMANNE ya Agosti 12, 2025, nyota wa Azam FC, Feisal Salum 'Fei Toto' alisaini mkataba wa nyongeza wa mwaka mmoja utakaomfanya asalie Chamazi hadi 2027. Ilikuwa ghafla sana kwa uongozi wa Azam kwani hawakutegemea jambo hilo kutolea muda huo. Fei Toto alipewa mkataba mpya tangu Oktoba, mwaka jana, wakati akiwa timu ya taifa 'Taifa Stars' katika maandalizi kuekelea Kinshasa, DRC...

KWA HILI LA SOWAH HUKO SIMBA….MMAMAAH….FADLU ATAJWA A-Z…

0
Habari za SImba leo

JUZI jioni Simba ilimtambulisha rasmi beki raia wa Guinea, Naby Camara, lakini mapema mshambuliaji mpya wa timu hiyo, Jonathan Sowah ametoa msimamo mzito, huku akimtaja kocha Fadlu Davids. Sowah aliyesajiliwa na Simba hivi karibuni akitokea Singida Black Stars aliyoitumikia kuanzia Januari mwaka huu aliposajiliwa kupitia dirisha dogo ambapo katika mechi 15 za mashindano yote aliifungia timu hiyo mabao 14, yakiwamo...

UZINDUZI WA JEZI MPYA SIMBA …SPRAIZI INAYOSUBIRIWA HII HAPA…NCHI KUSIMAMA…

0
Habari za Simba leo

UONGOZI wa Simba SC umetaja siku rasmi itakayokuwa ni maalumu kwa uzinduzi wa uzi mpya wa timu hiyo kuelekea msimu mpya wa 2025/26 unaotarajiwa kuwa na ushindani mkubwa. Ahmed Ally, Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba SC ameweka wazi kuwa uzinduzi wa uzi mpya utakuwa watofauti kidogo kutokana na mpango kazi uliopo. “Jezi za Simba msimu huu tutazindua kwa...

OHHH…HUKO SIMBA MAMBO NI BADO KUMBE…VYUMA HIVI KUTUA KIMAFIA…

0
Habari za Simba leo

KLABU ya Simba imeonekana safari hii haina masihara kwenye usajili baada ya kubainisha kuwa inatarajia kuwatangaza wachezaji wengine wapya watatu wa kigeni ambao watafunga masuala ya usajili kuelekea msimu ujao wa mashindano. Meneja Habari na Mawasiliano wa Klabu hiyo, Ahmed Ally, amesema wachezaji ambao itawatangaza si kama inamalizia zoezi la usajili, la hasha, bali imeshafanya hivyo na imeshapata vibali pamoja...

KUELEKEA KUANZA KWA MSIMU MPYA…HII HAPA KAULI YA ENG HERSI KWA YANGA…SIMBA 😱😱..

0
Habari za Yanga leo

KLABU ya Yanga imesema imeridhishwa na kikosi chao cha msimu mpya ujao wa mashindano na kwamba ina matumaini makubwa ya kubakiza makombe yao yote iliyonayo na kufanya vema kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika inayotarajiwa kuanza katikati ya mwezi ujao. Wakizungumza kwa nyakati tofauti jijini Dar es Salaam jana, rais wa Klabu ya Yanga, Injinia Hersi Said na makamu wake, Arafat...