SIMBA ILIVYOMNASA MIQUISSONE KIMAFIA, SINEMA ILICHEZWA KWA SIRI, ASUBURIWA KWA HAMU UTURUKI
Habari mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam leo ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo
WAKATI CHAMA AKIITINGISHA KIBERITI SIMBA…MO DEWJI ALIPUA JAMBO HUKO….
Baada ya majadiliano na uongozi kumalizika vizuri, Kiungo Mshambuliaji Clatous Chama ataondoka nchini muda wowote kutoka sasa kuelekea Uturuki kujiunga na wenzake kwa ajili ya maandalizi ya msimu ujao 2023-24. Kwa mujibu wa taarifa ambayo Simba wameitoa leo Julai 17, 2023, Chama ataondoka pamoja na kiungo mkabaji Fabrice Ngoma ambaye mchakato wa kupata vibali vya kuingia Uturuki unaendelea vizuri. Wawili hao...
ENDELEA KUVUNA MKWANJA KUPITIA MERIDIANBET….
Baada ya kumfahamu bingwa wa michezo ya Roulette moja kati ya mchezo pendwa kutoka Meridianbet kasino ya mtandaoni, Dkt Jarecki, ambaye tangu augundue alikuwa ni fundi wa kutupwa na jokeri mkubwa wa kuogopeka alitefariki akiwa na miaka 80s. Kuna huu mchezo wa kasino ya mtandaoni (American Roulette) uliotengenezwa na Microgaming kwa kushirikiana na Switch Studios, wachezaji na wadau wa kasino...
WAKATI MASHABIKI WAKIMUWAZA MIQUISSONE …AHMED ALLY AANIKA ‘CODE’ MUHIMU YA KUZINGATIA…
Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba, Ahmed Ally alisema atakuwa sehemu ya kuongoza msafara wa uzinduzi wa jezi mpya watakazovaa kwa msimu wa 2023/24. Alisema tamasha la Simba Day limerudishwa nyuma awali lilitakiwa kufanyika Agosti 8, mwaka huu sasa imerudishwa siku moja nyuma kwa sababu ya kuwapa muda wachezaji wao kupumzika. “Kutokana na taratibu kutokuwa rafiki ya Agosti inatulazimu...
HUKU ISHU YA CHAMA IKIZIMWA KIMYA KIMYA…MBRAZILI ASHINDWA KUJIZUIA KUHUSU MASTAA WAPYA…
KOCHA mkuu wa Simba, Mbrazil, Robert Oliveira 'Robertinho' ameuambia uongozi wa timu huyo kuhakikisha anawapata wachezaji wote wapya wenye kuivusha timu hiyo kimataifa kwa kupanda viwango kutoa saba hadi tatu. Robertinho ametoa kauli hiyo kufuatia baadhi ya nyota wapya waliosajiliwa ndani ya kikosi hicho kushindwa kulipoti kwa wakati katika kambi ya timu hiyo iliowekwa nchini Uturuki akiwemo Miquissone ambaye usajili...
SIMBA, YANGA KABLA YA LIGI KUANZA KIMESHAUMANA MAPEMAAA
LIGI imeanza mapema. Ndio, huko mtaani na kwenye mitandao ya kijamii ile ligi ya mashabiki na wapenzi wa klabu za Simba na Yanga imeanza. Hii imechangiwa zaidi na shusha nishushe inayoendelea baina ya klabu hizo. Simba ikishusha chuma kipya. Yanga nao wanashusha jembe lao na kuwapa burudani mashabiki na wapenzi wa klabu hizo. Simba ilianza kumtambulisha Willy Onana kuitoka Rayon...
HIYO YANGA U17 SIO POA SIMBA KIMYAA
Mabao mawili ya Mosses Samweli na Mohamed Salum dhidi ya JKU Academy juzi katika Uwanja wa Azam Complex, yamezidi kuifanya timu ya vijana ya Yanga chini ya umri wa miaka 17 izidi kuchanja mbuga kileleni mwa msimamo wa ligi hiyo iliyobakiza raundi tatu kumaliza mzunguko wa kwanza. Ushindi huo wa juzi umeifanya Yanga U17 kufikisha pointi 32 na kuendelea kuongoza...
HII HAPA SLOT YA MAPESA ILIYOFANYIWA UTAFITI NA WATAALAMU WA KUBETI…
Dk. Jarecki alianza kufanya utafiti kuhusu namna ambavyo roulettes fulani zinapendelea namba fulani. Mkewe na watu wengine kadhaa mara kwa mara walitazama roulette wakiwa kwenye kasino moja ya mchezo pendwa wa kasino ya mtandaoni kutoka Meridianbet. Utafiti huu mkubwa ulifanyika chini ya uangalizi maalum huku ikiwalazimu kutuma droo 10,000 mfululizo. Mtu anaweza kudhani ni biashara ya bure. Lakini zawadi inayoweza...
KOCHA WA YANGA AIPONGEZA SIMBA KWA USAJILI HUU
KOCHA wa zamani wa Yanga na AS Vita, Roul Shungu, amefunguka kuwa, kitendo cha Simba kufanikiwa kumpata aliyekuwa kiungo wa Al Hilal ya Sudan, Fabrice Ngoma, itawasaidia kuboresha safu ya kiungo ya timu hiyo kuelekea msimu ujao kutokana na kuufahamu vema ubora wa kiungo huyo. Shungu ambaye kwa sasa anafundisha timu ya Taifa ya DR Congo chini ya miaka 20,...
BAADA YA YANGA KUWATEMA, SINGIDA FOUNTAIN GATE WAFANYA KWELI
UONGOZI wa Singida Fountain Gate umesema kuwa wanatamani kuwa na kiungo Mkongomani Yannick Bangala na Mghana Bernard Morrison kwa ajili ya msimu ujao huku ukipanga kuweka wazi kila kitu hivi karibuni. Wachezaji hao wanahusishwa kutua Singida Fountain Gate kwa ajili ya msimu ujao ambao wanacheza Kombe la Shirikisho Afrika. Yanga tayari imetangaza kuachana na Morrison huku ikitajwa Bangala huenda ikamtoa kwa...