WAKATI YANGA WAKIKUBALI YAISHE KWA MAYELE…..KIFAA KIPYA KITAKACHOMRITHI HIKI HAPA…
UONGOZI wa Yanga umesema wiki ijayo watatikisa nchini kwa kukamilisha usajili ya nyota wa kingeni ambaye atakabidhiwa jezi na Sita baada ya kukamilisha usajili ya Winga Maxi Mpia Nzengeli Nzengeli amesainia mkataba wa miaka miwili kutoka Maniema Union ya Kindu, kutoka jimbo la Maniema, Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo (DRC). Max anakuwa mchezaji mpya wa nne kuelekea msimu noya wa 2023/24,...
YANGA WAIPA SIMBA UTARATIBU HUU WA KUMUAGA MKUDE UWANJANI….
Klabu ya Yanga imesema kuwa iwapo watani zao Simba wanataka kumuaga kwa heshima aliyekuwa mchezaji wao, Jonas Mkude basi wajitokeze Siku ya Mwananchi, Julai 22, 2023 katika Dimba la Mkapa. Hayo yamesemwa na Ofisa Habari Yanga, Ally Kamwe baada ya klabu ya Yanga kumsajili kiungo huyo aliyedumu Simba kwa miaka 13. "Kama wanataka kumuona au kumuaga Mkude kwa mara ya mwisho,...
MAYELE APEWA RUHUSU RASMI NA YANGA, HUYU HAPA NDIO MRITHI WAKE
UNAAMBIWA sasa ni rasmi kuwa mshahara wa milioni 50 aliopewa Fiston Mayele unamhalalisha hatakuwa mchezaji tena wa Yanga msimu ujao baada ya kuomba kwenda kukipiga nchini Saudi Arabia huku Yanga wakilambishwa zaidi ya Bilioni 1.2 kama dau la usajili. Mayele alijiunga na Yanga kwa mkataba wa miaka miwili kisha akaongezwa mmoja mwaka jana akitokea As Vita ya DR Congo. Wakati Mayele...
HAO SIMBA HUKO KAMBINI SIO POA TAZAMA TIZI LAO
BAADA ya Simba SC kutua Uturuki kwa maandalizi ya msimu wa 2023/24, timu hiyo imeanza matizi chini ya Kocha Mkuu, Roberto Oliveira ‘Robertinho’. Ikumbukwe kwamba, Julai 12, mwaka huu, Simba ilielekea Uturuki na kuanza mazoezi ikiwa na wachezaji wapya na wale waliokuwa katika kikosi hicho msimu wa 2022/23. Miongoni mwa mastaa waliopo kwenye kikosi hicho ni Sadio Kanoute, Mzamiru Yassin, David...
HUO MSHAHARA WA MIQUISSONE HAPO SIMBA KUFURU
INAELEZWA kiungo mshambuliaji wa Al Ahly ya Misri, Luis Miquissone raia wa Msumbuji ameletwa nchini kimyakimya na mabosi wa Simba na kufichwa katika mmoja ya hoteli maarufu zinazotumiwa na timu hiyo kufikia wachezaji wake. Simba imekuwa ikihaha kumrudisha nyota huyo aliyejiunga na Mabingwa wa Afrika, Al-Ahly mwaka 2021 akitokea Simba lakini hakuweza kupenya na kuwa mchezaji muhimu ndani ya kikosi...
YANGA KUMLETA MAYELE MPYA BALAA LAKE SIO POA
Uongozi wa Yanga umefikia makubaliano ya kumuuza nyota wao wa kimataifa wa DR Congo, Fiston Mayele baada ya nyota huyo kuonyesha nia ya kutaka kuondoka, huku mabingwa hao wakisaka mbadala wake wa kusaidiana na Kennedy Musonda. Mayele ambaye alikuwa mfungaji bora Ligi Kuu akifunga mara 17, akiwa pia kinara wa Kombe la Shirikisho Afrika (CAFCC) akifikisha mabao saba, anatakiwa na...
WAKATI MASHABIKI WA SIMBA WAKIFURAHI KUREJEA KWA LUIS, SAKHO NAE AJA NA JIPYA
SIMBA juzi ilimtambulisha Fabrice Ngoma aliyekuwa Al Hilal ya Sudan ili kukiongezea nguvu kikosi cha timu hiyo, huku winga machachari, Pape Ousmane Sakho inadaiwa ameomba kusepa klabuni hapo ili aenda kucheza soka la kulipwa barani Ulaya. Inaelezwa, Sakho amepata ofa kadhaa kutoka nchi za Ubelgiji na Ufaransa, lakini bado ana mkataba na Simba hivyo menejimenti ya mchezaji huyo imeuandikia uongozi...
SIMBA YAZIDI KUNOGA DILI JENGINE LA KIBABE LATIKI MCHEZAJI HUYU UHAKIKA KUKIPIGA SIMBA
SIMBA juzi iliendelea kutambulisha mastaa wapya wakati kundi la mwisho la wachezaji likijianda kupaa kwenda kambini jijini Ankara, Uturuki, lakini taarifa njema kwa mashabiki na wapenzi ni dili la winga wa zamani wa timu hiyo, Luis Miquissone kutoka Al Ahly ya Misri kukamilika. Ndio, kwa sasa ni rasmi Luis aliyeuzwa na Simba misimu miwili iliyopita atavaa uzi wa mwekundu na...
WATAKUJA KWELI, NDANI MTITI NJE MTITI MKWASA, PAWASA WATOA NENO
Habari mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam leo ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo
ISHU YA CHAMA KWENDA YANGA IMEBAKI STORI, SIMBA WAZIMA NGOMA KIBABE
ishu ya Clatous Chama na Simba ni kama imeisha na muda wowote kiungo huyo atarejea mzigoni. Chama alitingisha kutaka kutimka klabuni hapo kwa kile alichodai mkataba wake ulishamalizika na tayari ameshapata timu na ndipo Simba walipojiridhisha kwamba wakimuachia tu anatua Yanga. Mabosi wa Simba walishajua anachotaka na haraka wakaingiza fedha za ada ya usajili ambazo zilikuwa zimesalia kwenye mkataba wa mwaka...