TAJIRIKA NA SLOT YA KEOPS WILD NDANI YA CASINO YA MERIDIANBET…HUKU PESA IMELALA TU…
Fahamu mengi kuhusu siri za Misri ya kale unapocheza sloti ya Keops Wild kutoka kwa watengenezaji wa michezo ya kasino Spearhead. Katika mchezo huu wa kasino ya mtandaoni, utaona kaburi la Farao, ambalo linaficha siri nyingi, na utajiri wa kumwaga. Ukiwa na mchezo huu unaanza safari ya kuelekea nchi ya ajabu na yenye utajiri sana kupitia. Meridianbet mabingwa wa odds kubwa, bonasi kibao, michezo...
SIMBA KUNEEMEKA KUTOKA CAF BAADA YA LIGI KUBADILISHWA JINA
SHIRIKISHO la Soka Barani Afrika(CAF) limebadilisha jina la mashindano yake mapya, lakini Rais wake,Patrice Motsepe amesisitiza kwamba yatakuwa na neema kubwa ya mkwanja Simba ikiwa mshiriki pekee wa Cecafa hadi sasa. Awali mashindano hayo ambayo pendekezo la awali ni kushirikisha timu nane, yanaanza Oktoba yalipangwa kuitwa Super League lakini sasa yatajulikana kama African Footbal League (Ligi ya Soka ya Afrika). “Marafiki...
SIRI YA GAMONDI KUTUA YANGA YAFUCHUKA, NABI AHUSISHWA
Dar es Salaam. Kocha wa Yanga, Migel Gamondi amesema mafanikio makubwa iliyopata Yanga msimu uliopita ndiyo sababu kubwa iliyomvuta Jangwani, kwani yeye ni muumini wa mafanikio. Gamondi alikiri kuwa kazi kubwa ya kufanya aliyonayo mbele yake kuvuka mafanikio ya mtangulizi wake, Nasreddine Nabi. Nabi, ambaye alikaa na Yanga kwa misimu miwili na nusu alifanikiwa kutwaa mataji mawili ya Ligi Kuu Tanzania...
KOCHA WA YANGA AKUTANA NA MASTAA WA KLABU HIYO LEO KWA MARA YA KWANZA
Kocha Mkuu mpya wa Young Africans Miguel Gamondi, leo Jumatano (Julai 12) anakutana na wachezaji wake kwa mara ya kwanza, kuanza mazoezi ya ‘Gym’ kuweka miili sawa kabla ya kwenda uwanjani. Gamondi raia wa Argentina, hivi karibuni alipewa mkataba wa miaka miwili kuinoa timu hiyo akichukua mikoba ya Nasreddine Nabi, aliyeondoka baada ya msimu wa 2022/23 kufikia tamati mwezi Juni. Meneja...
BAADA YA SIMBA KUMTEMA MKUDE KOCHA WA YANGA KUAMUA JAMBO HILI
Mabingwa wa Soka Tanzania Bara Young Africans wameshamalizana kimazungumzo na Kiungo Mzawa, Jonas Mkude lakini imeliacha faili lake kwa Kocha Miguel Gamondi afanye uamuzi wa mwisho muda wowote juma hili atatangazwa. Mkude aliitumikia Simba SC kwa zaidi ya miaka 10 kwa mafanikio, lakini klabu hiyo ya Msimbazi ilimtema ikiwa ni sehemu ya kujipanga upya baada ya kupoteza makombe kwa msimu...
YANGA WASHINDWA KUMZUIA MAYELE, ATIMKIA TIMU HII USAJILI WAKE KUFURU
Baada ya juhudi za kumshawishi kuendelea kuitumikia timu yao kukwama, uongozi wa Klabu ya Young Africans, umefikia makubaliano ya pamoja kumweka sokoni Mshambuliaji wao kutoka DR Congo Fiston Mayele, imefahamika. Mayele ambaye amebakiza mkataba wa mwaka mmoja, alikuwa kwenye mvutano na uongozi wa klabu yake kwa kufanya vikao kadhaa kabla ya juzi Jumatatu (Julai 10) kufanyika cha mwisho, lakini mshambuliaji...
KAZE BYE BYE YANGA NAFASI YAKE YACHUKULIWA NA MCAMEROON HUYU
Mwanaspoti Soka Yanga yashusha Msenegal Jumatano, Julai 12, 2023 By Aisha Mbuma Summary Klabu ya Yanga katika kujiimarisha upya na msimu ujao imefanikiwa kumshusha Moussa Ndao kuwa Kocha Msaidizi akichukua nafasi ya Cedric Kaze Dar es Salaam. Klabu ya Yanga imemtangaza Mousa Ndao raia wa Senegal kuwa kocha msaidizi wa timu hiyo akisaidiana na Kocha Mkuu, Miguel Gamondi kuhakikisha wanatengeneza timu imara msimu wa 2023/2024. Ndao (54)...
KLABU YA SINGIDA FOUNTAIN GATE IMEELEZA MALENGO YAKE, HUKU AKILI YOTE IPO KWA SIMBA
Klabu ya Singida Fountain Gate, imeweka wazi malengo yao kuelekea msimu ujao wa michuano yote watakayoshiriki msimu wa 2023/24, huku ikishindwa kukunjua makucha yao katika suala zima la kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Вага. Singida Fountain Gate FC, katika msimu wa 2022/23, ilifanya vizuri kwa kumaliza nafasi ya tatu katika Ligi Kuu hivyo kukata tiketi ya kushiriki michuano ya...
SIMBA SC HATUJAMALIZA ZOEZI LA USAJILI, VYUMA VINGINE HIVI HAPA
Pamoja na kutangaza wachezaji watatu mpaka sasa, klabu ya Simba SC imesema bado haijamaliza zoezi la usajili, huku ikitangaza nafasi tatu hadi nne ambazo inatarajia kushusha ‘vyuma’ vipya vya kimataifa kabla ya dirisha kufungwa. Meneja Habari na Mawasiliano wa Klabu hiyo, Ahmed Ally, amesema mpaka sasa walichofanya ni kama dibaji tu, lakini bado hawajamaliza usajili kwani tangu mwanzo waliahidi kuwa...
SASA NI KITU BAADA YA KITU, YANGA WALIAMSHA MKUDE AIKATAA JEZI YA FEI TOTO, DAR,
Habari mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam leo ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo