BOCCO PASUA KICHWA AWAVURUGA VIONGOZI WA SIMBA, HUKU ISHU YA BALEKE NAYO IKO HIVI

0
Habari za Simba

WAKATI mabosi wa Simba wakiweka sawa ishu ya mkataba wa Jean Baleke na TP Mazembe lakini wapo kwenye mjadala mzito unaowapasua vichwa namna ya kuachana na Nahodha wao John Bocco. Hadi sasa, Simba wamekamilisha usajili wa mastaa wawili wa kigeni huku wakimaliza utata wa mshambuliaji wao Baleke aliyekuwa akidaiwa ana mkataba wa TP Mazembe. Usajili mpya wa Simba uliokamilika na kutangazwa...

BAADA YA THANK YOU ZA KUTOSHA SIMBA, SASA NI ZAMU YA KAPOMBE

0
CHAMA ASHTUSHWA KAPOMBE NA TSHABALALA KUACHWA STARS WADAU WAZUNGUMZA

Mlinzi wa kulia, Shomari Kapombe amesaini mkataba mpya wa miaka miwili kuendelea kusalia ndani ya kikosi cha Simba SC hadi mwaka 2025. Tangu alivyorejea kwa mara ya pili mwaka 2017 kutoka Azam FC, Kapombe amekuwa mchezaji wa kikosi cha kwanza mpaka sasa licha ya kupita kwa makocha tofauti ndani ya kikosi cha Wekundu hao wa Msimbazi. Licha yakuwa mchezaji muhimu ndani...

YANGA MPYA INGETAKIWA IWE HIVI

0
KOCHA YANGA AMPIGIA SALUTI DIARRA...AONGOZA KWA UOKOAJI SHIRIKISHO

YANGA ndio timu Bora Tanzania kwa sasa. Kama unapenda sawa. Kama hupendi, sawa pia. Hawakuchukua ubingwa wa ligi yetu kwa bahati mbaya. Hawakuchukuwa Kombe la FA kwa bahati mbaya. Ni ubora juu ya ubora. Hawakuwafunga TP Mazembe nje ndani kwa bahati mbaya. Hawakufika Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika kwa bahati mbaya. Ni ubora juu ya ubora. Asikwambie mtu, kocha...

YANGA WAITIA TUMBO JOTO SIMBA, VIONGOZI WAHAHA

0
Tetesi za Usajili Simba

MASHABIKI na wanachama wa Klabu ya Simba ya Mkoa wa Mwanza kwa pamoja wameazimia kwa kauli moja kuuvua madaraka uongozi wa matawi ya Simba mkoa wa Mwanza mara baada ya Uongoz huo kushindwa kufuata Katiba na taratibu walizjiwekea. Akiongoza mkutano huo kaimu Mwenyekiti wa muda Salya Ludanha amesema wameamua kuja na maamuzi hayo magumu mara baada ya Uongozi uliokuwa...

BAADA YA YANGA KUTWAA MATAJI KIBABE MSIMU HUU SPORTPESA WAFANYA JAMBO HILI KWA YANGA

0

KAMPUNI ya SportPesa ambao ni wadhamini wakuu wa Yanga, leo wameijaza noti klabu hiyo kwa kuipa bonasi ya Sh405 milioni kwa kutetea ubingwa wa Ligi Kuu Bara, Ngao ya Jamii Kombe la Shirikisho la Azam (ASFC) na kutinga hatua ya fainali Kombe la Shirikisho Afrika. Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya SportPesa, Tarimba Abbas amesema wamekabidhi Sh405 milioni ikiwa ni...

KOCHA MPYA WA YANGA AANZA KAZI KIBABE, AWAITA MASTAA WOTE AWAPA NENO HILI

0
Kocha Mpya wa Yanga

KOCHA Mpya wa Yanga Miguel Gamondi tayari yupo nchini kuanza kibarua akiwa ndani ya ardhi ya Tanzania, lakini alipotua tu kauli ya kwanza ikawa ni makombe na soka la maana kwa timu yake, kisha akaenda kupumzika kabla ya leo kupanga kufanya vikao vizito na viongozi wa klabu hiyo. Gamondi aliotua alfajiri ya kuamkia jana akitokea Hispania na leo atakutana na...

BAADA YA SIMBA KUTAMBULISHA WACHEZAJI WAKE WAPYA, ROBERTINHO AWAPIGA MKWARA MZITO YANGA

0
Habari za Simba SC

SIMBA jana iliendelea kuwapa raha mashabiki wake kwa kutambulisha chuma kingine kipya, huku kocha mkuu wa timu hiyo aliyerejea juzi mchana akisema kwa majembe yaliyosajiliwa kikosi sasa kimebalanzi na kuzipiga mkwara timu pinzani akisema; "Tukutane uwanjani muone". Kocha huyo Mbrazili alisema amekoshwa sana na namna mabosi wa Simba walivyotekeleza mapendekezo yako kwenye usajili kwani umeifanya timu hiyo ienee kila idara...

YANGA YASHUSHA BEKI HUYU KISIKI KUTOKA SC VILLA

0
YANGA YATOA SIRI NZITO USAJILI WA MUSONDA...ULE NI USAJILI WA KIMKAKATI

Klabu ya Yanga imekamilisha usajili wa beki wa kati Gift Fred kutoka katika klabu ya SC Villa kwa mkataba wa miaka mitatu kuitumikia timu hiyo. Gift ambaye pia ni beki wa timu ya Taifa Uganda anatajwa kumalizana na mabosi wa Yanga kwa ajili ya kuitumikia timu hiyo msimu ujao. Beki huyu ambaye ni nahodha wa SC Villa amesaini mkataba huo na...

YAMETIMIA MRITHI WA ONYANGO ATAMBULISHWA,…. MAYELE ANAJAMBO LAKE CAF

0

Habari mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam leo ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo

HII YA MAYELE KUFURU AWEKEWA OFA YA SHILINGI BILIONI 2, …. GAMONDI AANZA KUPITIA MAFAILI…..DILI LA ONYANGO LIPO HIVI….

0

Habari mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam leo ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo