KUWA MJANJA KWA KUKUSANYA PESA KUPITIA CASINO YA HOT 40 NDANI YA MERIDIANBET…

0
Meridianbet

Sloti ya Wild Hot 40            Kasino ya Mtandaoni inayokupa ushindi wa uhakika na rahisi, Meridianbet imekuongezea sloti nyingine rahisi kucheza na kushinda mkwanja mrefu, ni Wild Hot 40 mchezo wa kasino wa matunda umekuwa pendwa sana na wachezaji wengi. Moja kati ya mchezo ambao unakupa matumaini ya kuongeza hela kwenye dau lako uliloweka ni sloti ya Wild Hot 40 kutoka...

TRA AGAINA AFICHUA WALIOIFELISHA SIMBA….ATAJA WACHEZAJI WALIOZINGUA WOTE…

0
Habari za Simba SC

Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Simba SC, Salim Abdallah ‘Try Again’ amesema maandalizi ya michuano ya Super League ambayo yanatarajiwa kuanza kutimua vumbi mwishoni mwa mwaka huu, yanapaswa kuwa makubwa. Super Cup ni mashindano yanayosimamiwa na Shirikisho la Soka Barani Afrika ‘CAF’ ambayo yanachezwa kwa mfumo wa ligi na jumla ya fedha za zawadi zitakuwa Dola za Marekani milioni...

WINGA GEITA GOLD ANUKIA SIMBA SC…KINA MAYELE WAPANIA REKODI MPYA CAF…SAUZI YAZIZIMA YANGA TU..

0
Gazeti la Mwanaspoti la leo

Pitia Ukurasa wa mbele wa gazeti la MwanaSpoti la leo Jumanne ya 16/5/2023.

KISA MSHAHARA KIDUCHU…..MANULA AIPIGA CHINI OFA YA AZAM FC…

0
Habari za Simba leo

Kipa namba moja wa Simba na Timu ya Taifa ya Tanzania, Aishi Salum Manula amesema sababu ya kuondoka kwake Azam FC kwenda Simba ilikuwa ni baada ya mabadiliko ndani ya Wauza Ukwaju wa Dar ikiwa ni pamoja na kumpunguzia mshahara wake. Manula amesema hayo wakati akifanya mahojiano maalum na Millard Ayo kuhusu maisha yake ya Soka. “Mimi kuondoka Azam FC ilinibidi...

SIKIZA…KILA UNAPUA ZOMBI MERIDIANBET WANAKULIPA KUPITIA CASINO YAO YA ZOMBIE APOCALYPSE…

0
Meridianbet

Kuna movie nyingi za kuvutia na kusisimua moja kati ya movie hizo ni Zombie huwa katika aina yake ya masimulizi na matukio. Meridianbet wamekuja na mchezo wa kasino ya mtandaoni wa Zombie Apocalypse ambapo unahitaji kupambana na Mazombie kwenye mji ulioharibika, ushindi unaupata kirahisi sana. Hatua Hizi Zitakupatia Ushindi. Mchezo huu una mistari 20 ya malipo, ushindi wote hulipwa kutoka kushoto...

SIMBA WAZIDI KUIKAZIA TP MAZEMBE KWA BALEKE….TAMKO LAO JIPYA HILI HAPA…

0
Habari za Simba SC

Meneja Habari na Mawasiliano wa Simba Sc, Ahmed Ally kupitia kipindi cha #SportsArena ya #WasafiFm amethibitisha kuwa Baleke ni mchezaji halali wa Simba kwa kandarasi ya miaka miwili. “Baleke ni Mshambuliaji wa Simba amesaini kandarasi ya kuitumikia Simba kwa muda wa miaka miwili, TP Mazembe walipewa pesa yao na ametumikia kandarasi yake miezi minne tu. “Niwatoe shaka wana Simba ya kwamba...

YANGA WAIKIMBIZA SIMBA KIMATAIFA…REKODI MPYA ZAIPAISHA ANGA ZA WAARABU…

0
Yanga SC na Simba SC

Shirikisho la Kimataifa la Historia na Takwimu za mpira wa Miguu (IFFHS) limetoa orodha ya viwango bora kwa kipindi cha Mei 1, 2022 hadi Aprili 30, 2023 ambapo timu mbili za Tanzania zimeingia 10 bora. Mabingwa wapya wa Ligi Kuu Bara, Young Africans SC wanashika nafasi ya 9 Afrika na 104 duniani huku Simba ikishika nafasi ya 10 Afrika na...

PAMOJA NA KUBEBA UBINGWA WA LIGI….INJINIA HERSI BADO ‘AKUNJA USO’ YANGA…TAMKO LAKE HILI HAPA..

0
Habari za Yanga

Baada ya juzi Jumamosi kutangazwa rasmi kuwa mabingwa wa Ligi Kuu Bara msimu wa 2022/23, Rais wa Yanga, Injinia Hersi Said ameweka wazi kuwa bado hawajamaliza, msimu sasa mipango yao ni kuhakikisha wanashinda makombe ya michuano miwili iliyosalia ambayo ni Kombe la Shirikisho Afrika na Kombe la Shirikisho la Azam Sports. Yanga juzi Jumamosi wakicheza nyumbani kwenye Uwanja wa Azam...

KAIZER CHIEFS WAMNYEMELEA MRITHI MA MAYELE YANGA…JAMAA LINATUPIA SIO KITOTO …

0
Habari za Yanga SC

Imefahamika kuwa Klabu ya Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini inahusishwa kuingia katika vita dhidi ya Yanga ya kuwania saini ya mshambuliaji wa Marumo Gallants ya nchini humo, Ranga Chivaviro. Chivaviro ni kati ya wachezaji wanaotajwa kuwepo katika rada za kusajiliwa na Yanga katika msimu ujao ambao wamepanga kufanya vizuri zaidi katika Ligi ya Mabingwa Afrika. Yanga inaihitaji saini ya mshambuliaji huyo...

KUHUSU TETESI ZA MASTAA SIMBA KUKIMBIA..AHMED ALLY AVUNJA UKIMYA…AANIKA HALI ILIVYO..

0
Habari za Simba SC

Wakati tetesi zikiendelea kuzagaa kila kona kuwa mastaa wa Simba wanatakiwa katika vilabu mbalimbali Afrika na hata Ulaya, Meneja wa Mawasiliano wa Klabu ya Simba Ahmed Ally ameibuka na kusafisha hali ya hewa. Tetesi hizo ambazo nyingi zimewaacha Mashabiki na wapenzi wa Simba katika hali ya Sintofahamu ni kama zimekanushwa na Msemaji huyo wa Klabu ambapo kupitia kurasa zake za...