HII HAPA MASHINE YA MAGOLI YA MARUMO ILIYOWAINGIZA VITANI MABOSI WA SIMBA NA YANGA…

0
Tetesi za usajili bongo

Klabu za Simba na Yanga, zimeingia katika vita nzito ya kusaka saini ya straika wa Marumo Gallants ya Afrika Kusini, Ranga Chivaviro. Simba na Yanga zimepanga kuziboresha timu zao katika nafasi mbalimbali ikiwemo ya ushambuliaji ambayo imeonekana tatizo katika pande zote mbili. Hiyo yote ni katika kuhakikisha wanaiwakilisha vema nchi katika michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika msimu ujao ambapo timu...

WAKATI IKIWA KARIBU NA KUWEKA HISTORIA MPYA TZ..BACCA NA NABI LAO MOJA YANGA SC…

0
Habari za Yanga SC

Achana na ushindi wa mabao 2-0 ilioupata Yanga juzi nyumbani uwanja wa Benjamin Mkapa dhidi ya 'Wasauzi' Marumo Gallants, habari ya mjini ni safu ya ulinzi ya timub hiyo, huku staa wa sasa wa nafasi hiyo, Ibrahim Bacca sambamba na kocha Nasreddine Nabi walifichua siri ya kucheza jumla ya dakika 540 bila kuruhusu bao kwenye Kombe la Shirikisho Afrika. Ndio....

SIKU CHACHE BAADA YA KUPATA DILI ULAYA…OPPA AFUNGUKA ISHU YA KURUDI ZAKE BONGO..

0
Habari za Michezo Bongo

Muda wowote kuanzia sasa mshambuliaji wa Kimataifa wa Tanzania anayecheza katika klabu ya Beskitas ya Ligi Kuu Uturuki Opah Clement atarejea Bongo baada ya ligi yao kumalizika. Opah alicheza mechi yake ya mwisho ya ligi kwa msimu huu juzi na kushuhudia timu yake ikipoteza kwa mabao 3-0 dhidi ya ALG Spor. Opah alisema, atarejea nyumbani kupumzika akisubiri msimu mpya wa ligi...

WAKATI UKIENDELEA KUVUNA MKWANJA NA ‘KUENJOY ODDS’…MERIDIANBET WAENDELEA KUIGUSA JAMII..

0
Meridianbet

Ikiwa ni siku nyingine kabisa Kampuni ya kubashiri Meridinabet imeendelea na kuwaunga mkono wananchi mbalimbali kwa kutoa msaada wa vitu kadhaa ambavyo vina uhitaji mkubwa na sasa wameenda mpaka Mbagala kutoa reflectors kwa bodaboda. Msafara huo wa kwenda kutoa reflectors ulikuwa umejumuisha Mkuu wa kitengo cha masoko na mawasiliano Meridianbet Matina Nkurlu, pamoja na wafanyakazi wenzake ambao moja kwa moja...

BAADA YA KUONA MSIMU HUU WAMETOKA KAPA TENA….’TRY AGAIN’ ATAJA SIMBA ILIPOFELI…

0
Habari za Simba SC

Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba SC, Salim Abdallah ‘Try Again’ amewaomba radhi Wanachama na Mashabiki wa klabu hiyo kwa kushindwa kutwaa taji lolote ikiwa ni msimu wa pili mfululizo. Try Again aliyasema hayo akieleza kuwa kwenye mpira hali hiyo ni ya kawaida na haipaswi kunyoosheana vidole katika kipindi hiki na badala yake wanapaswa kujipanga kwa ajili ya msimu...

BAADA YA KUSIKIA NABI ANATAKA KUSEPESHWA NA MATAJIRI…YANGA WAIBUKA NA MSIMAMO HUU..

0
Habari za Yanga SC

Rais wa Klabu ya Yanga, Eng. Hersi Said amewatoa hofu mashabiki wote wa Yanga duniani kote kuwa wanatambua kazi nzuri ambayo inafanywa na benchi la ufundi wakiongozwa na Kocha Mkuu, Mohamed Nasreddine Nabi. "Sisi kama viongozi hatupo tayari kuona kocha yoyote ambaye yupo Kwenye benchi letu la ufundi anaondoka kwa sasa, tunaendelea kuijenga Yanga imara kwa sasa. "Bado tuna malengo,,mipango endelevu...

WAKATI JOHORA AKIPEWA ‘TALAKA’…YANGA ‘WAMUOA’ JUMLA JUMLA METACHA…

0
Habari za Yanga SC

Mabosi wa Yanga wajanja sana, baada ya kuamua kumuongezea mkataba wa miaka miwili kipa, Metacha Mnata kutokana na kuridhishwa na uwezo aliouonyesha na kumvutia kipa Nasreddine Nabi kumuamini kikosini, lakini hatua hiyo inaelezwa imefungua mlango wa kutoka kwa Erick Johola. Metacha alijiunga na Yanga kwa mkopo wa miezi sita katika dirisha dogo la usajili la msimu huu akitokea Singida Big...

MTIFUANO WA USAJILI SIMBA WAANZA…MABOSI WASHINDWA KUAMUA KATI YA DUCHU AU MWENDA…

0
Habari za Simba SC

Mkataba wa Mlinzi wa kulia wa Simba, Israel Patrick Mwenda ndani ya Simba SC unatamatika Mwishoni mwa Msimu huu. Mvutano Mkubwa ndani ya Uongozi wa kikosi hicho ni kuwa wapo wanaohitaji aendeelee kusalia kikosini humo na wengine wakisema arejeshwe David Kameta 'Duchu' anayekipiga Mtibwa sugar kwa Mkopo. Mwenda alijiunga na Simba Agosti 2021 akitokea Klabu ya KMC, wakati Duchu alijiunga na...

TRY AGAIN;- MANZOKI ALIKUBALI KUJA SIMBA TUKASHINDWANA KWENYE MSHAHARA…

0
Habari za Simba SC

Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba SC, Salim Abdallah 'Try Again' amesema, amezungumza na mchezaji Cesar Manzoki na kuna uwezekano akajiunga na Simba siku zijazo. Try Again aliyasema hayo hivi karibuni alipokuwa akifanya mahojiano na chombo cha habari ambapo alisema, waliwahi kutaka kumsajili kwenye dirisha la usajili lililopita lakini bahati mbaya akapata timu China. "Alikubali kabisa lakini bahati mbaya au...

KUHUSU MANULA KURUDI AZAM…JAMBO LINAPIKWA KIMYA KIMYA AISEE…

0
Habari za Simba leo

Utake usitake, ila fahamu kwamba tayari Kocha mpya wa Azam FC, raia wa Senegal Youssoph Dabo, ameshapewa mafaili ya wachezaji wote waliopendekezwa kujiunga na kikosi hicho msimu ujao na miongoni mwao kuna majina ya Fiston Mayele, Fei Toto na Aishi Manula. Hivi karibuni kabla ya Azam FC kuanza safari ya kuelekea mjini Mtwara Kwenye mchezo wa Nusu Fainali ya Michuano...