HUU HAPA MSIMAMO WA RAGE KUHUSU MASHABIKI SIMBA KUISHANGILIA YANGA KIMATAIFA…

0
Habari za Simba

Aliyekuwa Mwenyekiti wa Simba SC Ismail Aden Rage, amewataka watanzania wote ikiwamo mashabiki wa klabu yake kuungana pamoja kuiombea Young Africans ili itinge Fainali ya Kombe la Shirikisho Barani Afrika msimu huu 2022/23. Young Africans imetanguliza mguu mmoja hatua ya Fainali baada ya kupata ushindi wa mabao 2-0 katika mechi yake ya kwanza ya Nusu Fainali dhidi ya Marumo Gallants...

JEMEDARI SAIDI ‘AIAMSHIA’ TFF….AFUNGUKA NAMNA WANAVYOFANYA MADUDU NA KUPENDELA TIMU..

0
Habari za Simba

Dakika chache baada ya Shirikisho la Soka Tanzania kutoa taarifa za kufungiwa maisha kwa Mwenyekiti wa Klabu ya Kiteyose inayoshiriki Ligi ya Championship Yusuph Kitumbo sambamba na Kocha Mkuu wa klabu hiyo Ulimboka Mwakingwe, Shirikisho hilo limekosolewa kwa maamuzi hayo yaliyotolewa kupitia Kamati yake ya Maadili. Kabla ya kusikilizwa kwa kesi hiyo TFF iliingizwa kwenye hisia za kutokutenda haki kutokana...

FT: SIMBA 3-0 RUVU SHOOTING….CHAMA, SAKHO WAPELEKA KILIO KWA ‘WAJEDA’…

0
Simba vs Ruvu Shooting

KICHAPO Cha mabao 3-0 ilichokipata Ruvu Shooting kutoka kwa Simba usiku wa leo kimeifanya timu hiyo kushuka daraja hadi Championship kimahesabu. Katika mchezo huo uliopigwa uwanja wa Azam Complex, mabao ya Simba yamefungwa na Clatous Chama dakika ya 30 na Pape Sakho aliyefunga mawili dakika ya 72 na 90. Kimahesabu Ruvu imeshuka daraja kwani imesalia mkiani na alama 20 huku ikiwa...

KUHUSU ULE MPANGO WA YANGA KUJITANGAZI UBINGWA…DODOMA JIJI WAIKATALIA YANGA….

0
Habari za michezo

Uongozi wa Dodoma Jiji umeweka wazi kuwa wanahitaji pointi tatu muhimu dhidi ya Yanga ambao watacheza nao Mei 13, mwaka huu kwenye Uwanja wa Azam Complex, Chamazi nje kidogo ya Dar. Dodoma Jiji ipo nafasi ya 10 baada ya kucheza mechi 27 ina pointi 31 na Yanga ambaye yuko kileleni na alama zake 71 kama akishinda mchezo huo basi atakuwa...

KUHUSU KUMSHAWISHI FEI TOTO….’BOSI KAZI’ WA AZAM FC AVUNJA UKIMYA…AANIKA DILI LILIVYO..

0
Tetesi za Usajili

Ofisa Mtendaji Mkuu wa Azam FC Abdulkarim Nurdin Amin ‘Popat’ ameshauri kumalizwa kwa hali ya usalama na Amani sakata la Kiungo kutoka visiwani Zanzibar Feisal Salum ‘Fei Toto’ ambaye amedhamiria kuvunja mkataba na Klabu ya Young Africans. Kiungo huyo amekwama katika mpango huo kwa zaidi ya mara moja mbele ya Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji ya Shirikisho la...

KIPIGO TOKA AZAM CHAZIDI KUMVURUGA MBRAZILI….AWAPIGIA MAGOTI MABOSI, MASHABIKI…

0
Habari za Simba leo

Hatimaye Kocha Mkuu wa Simba SC Roberto Oliveira Gonçalves do Carmo ‘Robertinho’, amewaomba radhi Mashabiki na Wanachama wa Klabu hiyo, baada ya kikosi chake kushindwa kutinga Fainali ya Kombe la Shirikisho Tanzania Bara ‘ASFC’. Simba SC ilipoteza 2-1 mbele ya Azam FC juzi Jumapili (Mei 07) katika mchezo wa Nusu Fainali uliochezwa Uwanja wa Nangwanda Sijaona mkoani Mtwara. Kocha Robertinho amesema...

BAADA YA KUSIKIA SIMBA WANAMTAKA AKAMINKO….MABOSI AZAM WAVUNJA UKIMYA…WAANIKA DILI LILIVYO…

0
Habari za Michezo

Ofisa Mtendaji Mkuu (CEO) wa Azam FC Abdulkarim Amin ‘Popat, amesema kiungo wa timu hiyo, Mghana James Akaminko bado yupo sana Azam na haondoki. Popat amesema licha ya mchezaji huyo kuhitajika na baadhi ya timu, bado yupo kwenye mipango ya muda mrefu, ivyo hawapo tayari kumuweka sokoni kwa sasa. “Ndio kwanza tumemsajili msimu huu, na sisi tuna shida naye, hatuwezi kumuachia...

PAMOJA NA KUTOKA KAPA MSIMU HUU….MASTAA HAWA WATATU WAMEPELEKA HESHIMA SIMBA..

0
Ligi Kuu Tanzania 2023/24

Zimebaki kama wiki mbili tu kabla ya pazia la Ligi Kuu Bara msimu wa 2022-2023 halijafungwa rasmi mnamo Mei 28 kwa mujibu wa kalenda inavyosomeka kwa sasa. Tayari dalili zinaonyesha Yanga inalitetea taji hilo kwa msimu wa pili mfululizo kutokana na pointi ilizonazo kwa sasa na idadi ya mechi zilizosalia, licha ya watani wao, Simba kuwafukuzia nyuma yao kwenye nafasi...

KIMBUNGA CHA USAJILI CHANUKIA SIMBA….MBRAZILI APANIA KUIBOMOA VIPERS…MASTAA HAWA KUMFUATA…

0
Tetesi za Usajili Simba

Kocha Mkuu wa Simba SC Robertinho ameanza kuhusishwa na mpango wa kusajili baadhi ya wachezaji ambao watakiboresha kikosi chake kuelekea msimu ujao wa Ligi Kuu, Kombe la Shirikisho na Michuano ya Kimataifa. Simba SC msimu huu 2022/23 imeshindwa kuchukua Kombe lolote baada ya kutolewa kwenye Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Barani Afrika kabla ya kutupwa nje pia katika hatua...

JE NI FIGISU ZA YANGA?….HUU HAPA UKWELI WA KWANINI KOCHA WA MARUMO ALIKAA JUKWAANI JUZI…

0
Habari za Michezo

Imefahamika kuwa, Kocha wa Klabu ya Marumo Gallants, Dylan Kerr alikaa jukwaani kwenye mchezo wa juzi dhidi ya Yanga Sc kwa sababu hana vibali vya kufanya kazi nchini Afrika Kusini. Hayo yamefahamika baada ya wadau wa soka kuhoji kwa nini kocha huyo alikuwa jukwaani badala ya kukaa kwenye benchi la ufundi wakati timu yake ikipoteza katika dimba la Mkapa kwa...