KUHUSU ISHU YA NYONI KUTEMWA SIMBA….MBRAZILI KAMTAZAMA WEE…KISHA AKAGUNA NA KUSEMA HILI..

0
Habari za Simba SC

Uwezo mkubwa na namna anavyobeba majukumu kiraka wa Simba SC, Erasto Nyoni anapokuwa uwanjani, umeelezwa kumrahisishia kazi ya upangaji wa kikosi kocha wa timu hiyo, Roberto Oliveira 'Robertinho', huku akisema ni mchezaji muhimu Simba. Akizungumza nasi juu ya mchezaji huyo mkongwe, Robertinho alitaja vitu vinne vinavyomfanya aone umuhimu wa Nyoni kuwepo kikosini, kwamba kuweza kuziba mapengo ya wachezaji wengine wanapokosekana,...

BAADA YA KUMALIZA MSIMU MIKONO MITUPU…HIVI NDIVYO CHAMA ‘ANAVYOKICHAFUA’ PALE SIMBA SC…

0
Habari za Simba SC

Mwamba wa Lusaka, Clatous Chama ndani ya Simba akiwa ni kinara wa kutengeneza pasi za mwisho kagawanyika vipandevipande kutokana na muda wote kuwa na makali kwenye kutengeneza pasi za mwisho. Rekodi zinaonyesha kuwa kwenye pasi 14 ambazo ametoa ndani ya ligi kila kipindi alitoa nusu ya pasi zinazomfanya awe amegawanyika vipandevipande kila kipindi jambo linalowaogezea ugumu mabeki kumzuia. Katoa pasi 7...

KUHUSU KUTUA JANGWANI….BRUNO GOMES AVUNJA UKIMYA…AFUNGUKA ALICHOTETA NA MABOSI YANGA…

0
Habari za Yanga SC

Kiungo mshambuliaji wa Singida Big Stars, Bruno Gomes raia wa Brazil ameamua kukata mzizi wa fitna kwa mashabiki wa chama lake baada ya kuhusishwa kwenye tetesi za kujiunga na Yanga msimu ujao, huku akisema waliongea mambo ya mechi siyo usajili. Bruno kwenye mechi dhidi ya Yanga ambayo Singida BS ilifungwa mabao 2-1 (Alhamisi) mchezaji huyo alisalimiana na benchi zima la...

ILI KUEPUKANA NA ‘FIGISU FIGISU’ ZA YANGA….WASAUZI WAAMUA ‘KUUCHUNA’…’WASUSA’ KILA KITU BONGO…

0
Habari za Michezo

Klabu ya Marumo Gallants kutoka Afrika Kusini ambayo itachuana na Yanga kwenye mchezo wa mkondo wa kwanza kombe la Shirikisho barani Afrika bado haijafanya mawasiliano na wenyeji wake, Klabu ya Yanga. Kwa mujibu wa kanuni za CAF, Yanga ikiwa mwenyeji wa mchezo huo ina jukumu la kuwapokea wageni wao na kuhakikisha wanapata huduma zote muhimu ikiwa ni pamoja na kuwapa...

KUELEKEA MECHI NA WASAUZI KESHO….YANGA WAPANGA KUINGIA NA MBINU ZA MAMELOD…

0
Habari za Yanga SC

Kocha Msaidizi wa Young Africans, Cedric Kaze ameibuka na kutoa kauli moja ya kibabe kwa kusema kuwa hawana wasiwasi tena juu ya wapinzani wao katika hatua ya Nusu Fainali ya Kombe la Shirikisho Barani Afrika, Marumo Gallants ya Afrika Kusini baada ya kupata muda wa kutosha kuwaangalia katika mchezo wao dhidi ya Mamelodi Sundowns. Kaze ametoa kauli hiyo kuelekea katika...

YANGA YAWASHIKA PABAYA MARUNO….MASTAA SIMBA WATOA DUKUDUKU LAO…

0
Gazeti la Mwanaspoti

Pitia ukurasa wa mbele wa gazeti la MwanaSpoti la leo Jumanne ya 9/5/2023.

KIPA RIVER UNITED ANUKIA SOKA LA BONGO….ATAJA TIMU ANAYOTAKA KUICHEZEA…

0
Tetesi za Usajili Bongo

Kipa wa Rivers United ya nchini Nigeria, Victor Sochima ameweka wazi malengo yake msimu ujao ni kucheza timu kubwa hapa Tanzania huku akitaja miongoni mwao zinazomvutia ni matajiri wa jiji la Dar es Salaam, Azam FC. Sochima alionyesha kiwango kizuri katika michezo yote miwili ya hatua ya robo fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Yanga hali iliyozifanya baadhi...

KUHUSU KUTUA JANGWANI…BRUNO AVUNJA UKIMYA…AANIKA ALIYOTETA NA MABOSI YANGA..

0
Tetesi za Usajili Yanga SC

Kiungo mshambuliaji wa Singida Big Stars, Bruno Gomes raia wa Brazil ameamua kukata mzizi wa fitna kwa mashabiki wa chama lake baada ya kuhusishwa kwenye tetesi za kujiunga na Yanga msimu ujao, huku akisema waliongea mambo ya mechi siyo usajili. Bruno kwenye mechi dhidi ya Yanga ambayo Singida BS ilifungwa mabao 2-1 (Alhamisi) mchezaji huyo alisalimiana na benchi zima la...

WAPINZANI WA YANGA CAF KUTUA BONGO LEO….KOCHA WAO AITAJA SIMBA MWANZO MWISHO..

0
Maruno Gallants

Wapinzani wa Young Africans katika Michuano ya Kombe la Shirikisho Barani Afrika Marumo Gallants wanatarajiwa kuwasili jijini Dar es salaam leo Jumatatu (Mei 08) tayari kwa mchezo wa Mkondo wa Kwanza wa Nusu Fainali. Young Africans itakuwa mwenyeji wa mchezo huo keshokutwa Jumatano (Mei 10) katika Uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es salaam saa kumi jioni, kisha itakwenda Afrika...

WAKATI MANULA AKIINUA MIKONO MAPEMA…HIVI NDIVYO DIARRA ANAVYOMTIMULIA VUMBI KWA UBORA…

0
Habari za Yanga SC

Djigui Diarra, kipa namba moja wa Yanga amewakimbiza wapinzani wake wote kwenye kucheza mechi nyingi bila kufungwa ndani ya Ligi Kuu Bara. Anapambania tuzo yake ya kuwa kipa bora msimu uliopita aliyosepa nayo alipokuwa akishindana na kipa namba moja wa Simba, Aishi Manula. Msimu huu wa 2022/23 Djigui ni mechi 24 kacheza kwenye ligi akisepa na dakika 2,127 akiwa hajafungwa kwenye...