KISA SARE NA NAMUNGO JANA….MGUNDA AFICHUA YANAYOENDELEA SIMBA SC…
Kocha Msaidizi wa Simba SC Juma Ramadhan Mgunda amesema, baada ya kuambulia matokeo ya 1-1 dhidi ya Namungo FC jana Jumatano (Mei 03), kwa sasa nguvu kubwa wameziweka katika mchezo wa Nusu Fainali Kombe la Shirikisho Tanzania Bara ‘ASFC’. Simba SC itacheza dhidi ya Azam FC Jumapili (Mei 07) katika Uwanja wa Nangwanda Sijaona mkoani Mtwara, na mshindi wa mchezo...
SAMATTA AACHIWA MSALA GENK…AKISHINDWA HAPO NDIO BASI TENA…
MCHECHETO kwa mashabiki wa KRC Genk huko Ubelgiji ni mkubwa huku presha ikipanda na kushuka, macho yao yanasubiri kuona chama lao lililoongoza msimamo Jupiler Pro kwa kipindi kirefu likitwaa ubingwa huo kwa mara wa tano. Ni jino kwa jino, KRC Genk ambayo anaichezea nahodha wa Taifa Stars, Mbwana Samatta imetinga hatua ya mchujo ya kuwania ubingwa huo ambayo ilianza juzi,...
WAFAHAMU MARUNO GALLANTS WAPINZANI WA YANGA CAF….WANAHALI NGUMU KILA KONA….
YANGA inakutana na Marumo Gallants ya Afrika Kusini kwenye mechi ya Nusu fainali ya Shirikisho Mei 10, ngoma ikianzia Jijini Dar es Salaam. Hizi dondoo za Marumo; UKATA Timu hiyo inakabiliwa na ukata mkubwa ambapo imekuwa ikihaha kujiendesha kwenye ligi ya ndani na hata kimataifa ingawa pia imekuwa na mashabiki wachache. Viongozi wao wawili walikuwa wameshikiliwa nchini Libya hivikaribuni kwa kushindwa...
KIUNGO MNIGERIA AJIPELEKA ‘KIAINA’ YANGA SC….AFUNGUKA KUSHINDWANA NA SIMBA ….
KIUNGO wa Rivers United ya Nigeria, Morice Chukwu amekiri kwamba kuna uwezekano mkubwa mwezi Julai mwaka huu akawa kwenye uzi wa njano au mwekundu ndani ya ardhi ya Tanzania. Staa huyo ambaye anacheza kama kiungo mshambuliaji na mkabaji, amefichua mazungumzo yake na Kocha wa Simba,Robert Robertinho na jinsi Nasreeden Nabi wa Yanga SC alivyomuita chemba baada ya mechi ya juzi...
A-Z JINSI SIMBA WALIVOPOTEANA MBELE YA NAMUNGO JANA….KIPA ALLY SALIM MHHH…..
MCHEZO wa Ligi Kuu Bara kati ya Namungo na Simba SC umemalizika kwenye Uwanja wa Majaliwa mkoani Lindi kwa timu hizo kufungana bao 1-1. Katika mchezo huu Simba SC ilikuwa ya kwanza kupata bao dakika ya 27 kupitia kwa mshambuliaji wake, Jean Baleke kabla ya Hassan Kabunda kuisawazishia Namungo dakika ya 39 kufuatia kipa, Ally Salumu kuutema mpira ndani ya...
KOCHA WA MURUNO GALLANTS AANZA KUWEWESEKA NA YANGA….AMTAJA MAYELE…
Pitia ukurasa wa mbele wa gazeti la Mwanaspoti la leo Alhamisi ya tarehe 4/5/2023
BOSI SIMBA AVUJISHA USAJILI MPYA…ATAJA MASTAA WAWILI…NABI APANGUA KIKOSI YANGA SC…
Pitia ukurasa wa mbele wa gazeti la Spoti Xtra la leo Alhamisi ya tarehe 4/5/2023
NYAKUA MPAKA THS 25000/= KAMA BONASI UNAPOJISAJILI KWA MARA YA KWANZA NA MERIDIANBET..
Mkubwa akiamua kufanya jambo lake hakuna anayeweza kuzuia, Meridianbet kupitia kasino ya mtandaoni wameanzisha promosheni kwa wateja wake wapya, lengo ni kuthamini umuhimu wao kwa kuwapa bonasi ya Tsh 25,000/= kucheza sloti za kasino ya mtandaoni kama aviator, poker na roulette na nyinginezo. Kila siku Meridianbet inakupa ofa kabambe, promosheni na bonasi nyingi kwenye moja ya michezo ya kasino ya...
MANJI AANZA NA CHUJI YANGA SC….AMUULIZIA CANNAVARO….
KIUNGO wa zamani wa Simba na Yanga SC, Athuman Idd 'Chuji' amesema Mwenyekiti wa zamani wa timu hiyo, Yusuf Manji alimuuliza alipo nahodha wa zamani wa Yanga, Nadir Haroub 'Cannavaro'. Manji aliibuka kwenye mchezo wa nusu fainali wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Rivers juzi na kuzua gumzo kwa mashabiki wa timu hiyo ambao walikuwa wamejazana kwenye mchezo huo,...
BAADA YA KUTOLEWA LIGI YA MABINGWA…MBRAZILI SIMBA ATAKA MBADALA WA CHAMA NA BALEKE…
Mkuu wa Benchi la Ufundi la Simba SC Roberto Oliviera ‘Robertinho’ ameutaka Uongozi wa klabu hiyo kuanza mchakato wa kumsaka Mshambuliaji hatari zaidi ya Jean Baleke na kiungo atakayekuwa mbadala wa Clatous Chama. Kauli hiyo ameitoa mara baada ya timu hiyo, kutolewa na Wydad AC ya Morocco kwa mikwaju wa Penati katika mchezo Robo Fainali, Ligi ya Mabingwa Barani Afrika...