KWA CV HII YA KOCHA MPYA WA AZAM FC….MSIMU UJAO WASIPOBEBA KOMBE ‘HAWATUSUI TENA’..

0
Kocha Mpya Azam FC

AZAM FC imemtangaza Kocha wao mpya, Youssouph Dabo raia wa Senegal kwa ajili ya kukifundisha kikosi hicho kwa msimu ujao akichukua nafasi ya Kally Ongala. Dabo anatua kwenye timu hiyo baada ya kuachana na ASC Jaraaf de Dakar huku akikumbukwa zaidi baada ya kuifundisha Teungueth iliyokuwa na staa wa Simba, Pape Sakho na Malikcou Ndoye wa Azam. Dabo mwaka 2016, akiwa...

ILE ISHU YA VIPERS KUMTAKA MAYELE….UKWELI UKO HIVI…WAJIKAKAMUA NA KUWEKA DAU ‘HABA’..

0
Habari za Yanga SC

MABINGWA mara nne wa Ligi Kuu Uganda, Vipers SC wameanza na straika matata wa Yanga SC, Fiston Mayele ili akakipige kwenye kikosi chao msimu ujao. Vipers SC imeanza mchakato wa kusuka kikosi chao kwa ajili ya msimu ujao kwa ajili ya michuano ya CAF. Kwa mujibu wa Pulse Sports ya nchini humo, Vipers imeshaanza na Mayele ili akakipige kwenye kikosi hicho...

BAADA YA KUTOLEWA LIGI YA MABINGWA AFRIKA….SIMBA SC WAAPA KUIHARIBIA YANGA SC…

0
Habari za Simba SC

Benchi la Ufundi la Simba SC chicni Kocha Roberto Oliviera ‘Robertinho’ limeweka wazi kuwa hesabu ambazo zipo kwa sasa ni kufanya vizuri kwenye michezo yote iliyobaki kwa kuwa bado wapo kwenye vita ya kuwania ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliopo mikononi mwa Young Africans. Young Africans inaongoza msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara ikiwa na alama 68, ikifuatiwa na...

SIKU ZA MBRAZILI SIMBA SC ZAHESABIKA…..MATAJIRI WA MISRI NA ANGOLA WAMTUMIA OFA NONO..

0
Habari za Simba SC

Klabu za Al Ittihad ya nchini Misri na Atlético Sport Aviação ya Angola, zimedhamiria kulitikisa Benchi la Ufundi la Simba SC kwa kuanza kummendea Kocha Mkuu wa Klabu hiyo ya Msimbazi Robert Olivieira ‘Robertinho’. Klabu hizo zinatajwa kumuwania Kocha huyo kutoka nchini Brazil kufuatia mafanikio yake ya muda mfupi tangu alipotua Simba SC ambapo hadi sasa hajapoteza mchezo wa Ligi...

KISA SIMBA SC KUTOLEWA CAF….YONDANI AIBUKA NA HILI JIPYA…AITAJA YANGA SC…

0
Habari za Simba SC

Aliyewahi kuwa Beki wa Simba SC ambaye kwa sasa anakipiga Geita Gold, Kelvin Yondani ameipongeza Klabu hiyo ya Msimbazi licha ya kuondolewa tena kwenye hatua ya Robo Fainali Ligi ya Mabingwa Afrika kwa mara ya tatu na moja Kombe la Shirikisho. Simba SC Ijumaa (Aprili 28) iliondolewa kwenye hatua ya Robo Fainali Ligi ya Mabingwa ugenini kwa mikwaju ya Penati...

HUYU HAPA KIUNGO WA RIVER UTD ANAYEZIGONGANISHA SIMBA NA YANGA….JAMAA NI BALAA NA NUSU….

0
Habari za Simba SC na Yanga SC

Klabu ya Simba SC na Yanga SC zinatajwa kupigana vikumbo kuiwania saini ya Kiungo wa Mabingwa wa Soka nchini Nigeria Morice Chukwu, ili acheze katika Ligi Kuu Tanzania Bara pamoja na Michuano ya Kimataifa msimu ujao 2023/24. Klabu hizo kongwe zinatajwa, kufuatia Kiungo huyo aliyekuwa kwenye kikosi cha Rivers United kilichoikabili Yanga SC kukiri kuna uwezekano mkubwa mwezi Julai mwaka...

KOCHA YANGA SC AINDALIA MBINU MBADALA MARUNO GALLANTS KUELEKEA MECHI YA CAF

0
Habari za Yanga SC

BAADA ya kutinga Nusu Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika kocha Mkuu wa Yanga SC Nasreddine Nabi, amesema kuwa sasa ameanza kuwapigia hesabu wapinzani wao Marumo Gallants. Marumo Gallants  wametinga hatua ya nusu fainali baada ya kuiondoa Pyramids FC  kwa mabao 2-1 wakianza na sare ya 1-1 kwenye Uwanja wa 30 June nchini Misri na baadae kushinda 1-0 nchini Afrika...

KUELEKEA MECHI YA CAF NA WASAUZI…TFF WAIPA MBELEKO YANGA KOMBE LA SHIRIKISHO BONGO….

0
Habari za Yanga SC

Shirikisho la Soka nchini Tanzania ‘TFF’ limetangaza mabadiliko ya ratiba ya Mchezo wa Pili wa Nusu Fainali Kombe la Shirikisho  ‘ASFC’ kati ya  Yanga SC dhidi ya Singida Big Stars. Mchezo huo namba 96 wa Michuano ya ASFC msimu huu 2022/23, ulipangwa kuchezwa Jumapili (Mei 07), katika Uwanja wa CCM Liti mkoani Singida na sasa utapangiwa tarehe nyingine. Afisa Mashindano wa...

ARTETA : ARSENAL BADO TUNA NDOTO ZA UBINGWA…

0
Arsenal FC

Meneja wa Kikosi cha Arsenal, Mikel Arteta amesema tena kwa msisitizo hakuna hata mmoja kwenye kambi yake ambaye amekata tamaa kwenye mchaka mchaka wao wa kuufukuzia ubingwa wa Ligi Kuu England msimu huu 2022/23. Manchester City imeiengua Arsenal kileleni kwenye msimamo wa Ligi Kuu England baada ya ushindi wao wa mabao 2-1 dhidi ya Fulham juzi Jumapili. Lakini, Arsenal inashuka uwanjani...

ISHU YA BEKI MPYA YANGA KUTOONEKANA …UKWELI WAANIKWA WAZI….MWAMNYETO ATAJWA KUWA CHANZO…

0
Habari za Yanga SC

Ikiwa imepita miezi kadhaa toka asajiliwe na kushindwa kuonekana uwanjani hata kwenye mechi za Kirafiki, Beki wa Yanga SC Mamadou Doumbia amepata mtetezi. Afisa Habari wa Yanga SC Ally Kamwe, amejitokeza kumtetea beki huyo kwamba hali anayopitia inatokana na kuimarika kwa viwango vya mabeki wengine kwenye timu hiyo. Kamwe amedai kuwa Mamadou anauwezo mzuri ila ameshindwa kupenya kwenye kikosi cha kwanza...